- Thread starter
- #41
Mbezi bado kuna nafasi kubwa ilimradi tu maafisa wa mipango miji wafanye sketching,Labda Mpigi Magoe na Makabe
tuodokane na mazoea ya kila kitu kkoo, kila mtu kkoo..
sasa Dar imekuwa na wakazi wameongezeka sana, kuna haja sasa ya kuepusha msongamano kkoo na kuanzisha soko kubwa la kisasa Mbezi.