Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa mikoani ni waduanzi tuKwasababu ndio lango kuu la kuingia katika Jiji la DSM.
Lakini stendi ya mabasi ya Magufuli inaingiza wageni wote kutoka mikoa yote na pia nchi jirani kama; Kenya, Uganda, Burundi, DRC, Malawi, msumbiji, n.k.
Pia Mbezi bado kuna nafasi ya kutosha, hakuna msongamano kama ilivyo kkoo.
Muda, wataokoa muda, mfanyaboashara atashuka kwenye basi Kisha atafanya manunuzi yake palepale bila kusumbuka kwenda kkoo.
Hivyo naishauri Serikali ijenge kkoo nyingine hapo Mbezi mwisho.
Kivipi tena wakati watu wa mikoani ndio wanunuzi wakubwa wa bidhaa kutoka DSM?Watu wa mikoani ni waduanzi tu
Kuweka soko karibu na stendi ya mabasi ya mikoani, unakuwa na mkakati gani, sio vurugu ya malori na mabasi, watu n.k?Tatizo kubwa ni kuwa na soko kubwa eneo moja ndio maana wafanyabiashara wanapata jeuri ya kuivimbia Serikali, kuna haja sasa kwa Serikali kuanzisha soko kubwa la kimkakati katika maeneo ya Mbezi mwisho karibu kabisa na stendi ya mabasi ya Magufuli.
Tumeona adha iliyo sababishwa na wafanyabiashara wa kkoo.
Mbezi mwisho ni eneo la kimkakati kwani ndipo lipo stendi ya mabasi kutoka mikoa mbalimbali pamoja na nchi mbalimbali, hivyo ni vyema Serikali ikaamua kujenga solo kubwa la kisasa ikawa ni kkoo nyingine badala ya kutegemea kkoo moja.
Wanakuja kununua nini wakati maduka hata huko mikoani yapo? Hawaogi, hawapaki deodorant, full harufu za vikwapa.Kivipi tena wakati watu wa mikoani ndio wanunuzi wakubwa wa bidhaa kutoka DSM?
... in fact manispaa zote za Dar es Salaam zinatakiwa kila moja iwe na Kariakoo yake - Ubungo, Temeke, Ilala, Kigamboni, na Kinondoni. Watafute mahali sahihi pa kujenga Kariakoo hizo.Mbezi, Tegeta, Kigamboni, Mbagala, Gongo la Mboto,
Set up ya business centre kama Kariakoo kwa sasa ni kurudi kwenye ujima au stone age. Hakuna mpangilio, ni hectic.... in fact manispaa zote za Dar es Salaam zinatakiwa kila moja iwe na Kariakoo yake - Ubungo, Temeke, Ilala, Kigamboni, na Kinondoni. Watafute mahali sahihi pa kujenga Kariakoo hizo.
Tofautisha kati ya Center na city center. Mbezi Haina raia kama mbagala asikudanganye mtu yeyote. Labda useme soko KUU la kibiashara wilaya ya UBUNGO ili imeki sensi. Nje ya hapo ni msukumo na matwaka ya wakazi wa msuguri kuvutia upande wao.Stendi ya kimataifa ipo Mbezi, inaingiza wageni kwa maelfu usiku na mchana.
Mbezi watu hawalali.
Kama soko kubwa la kisasa litaanzishwa basi biashara zitafanyika usiku na mchana.
Kwa sasa Mbezi ni centre.
Nakubaliana na wewe mkuu... in fact manispaa zote za Dar es Salaam zinatakiwa kila moja iwe na Kariakoo yake - Ubungo, Temeke, Ilala, Kigamboni, na Kinondoni. Watafute mahali sahihi pa kujenga Kariakoo hizo.
Kusifu na kuabudu hawajaachaWhy mbezi magufuli?
Hoja nzur sana itaifanya city center ipumueKwasababu ndio lango kuu la kuingia katika Jiji la DSM.
Lakini stendi ya mabasi ya Magufuli inaingiza wageni wote kutoka mikoa yote na pia nchi jirani kama; Kenya, Uganda, Burundi, DRC, Malawi, msumbiji, n.k.
Pia Mbezi bado kuna nafasi ya kutosha, hakuna msongamano kama ilivyo kkoo.
Muda, wataokoa muda, mfanyaboashara atashuka kwenye basi Kisha atafanya manunuzi yake palepale bila kusumbuka kwenda kkoo.
Hivyo naishauri Serikali ijenge kkoo nyingine hapo Mbezi mwisho.
Kila kitu kina solutionKuweka soko karibu na stendi ya mabasi ya mikoani, unakuwa na mkakati gani, sio vurugu ya malori na mabasi, watu n.k?
Mbezi inapaswa kuwa business hub mpya.... in fact manispaa zote za Dar es Salaam zinatakiwa kila moja iwe na Kariakoo yake - Ubungo, Temeke, Ilala, Kigamboni, na Kinondoni. Watafute mahali sahihi pa kujenga Kariakoo hizo.
Ubungo ni shopping mall, tunacho kitaka ni soko kubwa lililopqngaliwa katika eneo la MbeziInajengwa ubungo
Labda Mpigi Magoe na MakabePia Mbezi bado kuna nafasi ya kutosha, hakuna msongamano kama ilivyo kkoo.
Itasaidia sana wasio na ulazima wasifike Kariakoo. Itapunguza sana foleni mjini huku.Huna lolote lengo lako umtaje magufuli tu.
Ushafikilia athari za kuweka soko maeneo hayo? Sasa hivi tu hamna soko lkn foleni yake na msongamano sio wa kitoto vipi ukiweka na soko kubwa?