Serikali inapaswa ianzishe Kariakooo nyingine maeneo ya Mbezi Louis

Kariakoo ni Maeneo ya watu binafsi, Serikali pale ina soko la wakulima tu ambalo liliungua, ila maduka yote kuanzia Jangwani hadi Kamata yote yalikuwa majumba ya watu
 
Watu wa mikoani ni waduanzi tu
 
Kuweka soko karibu na stendi ya mabasi ya mikoani, unakuwa na mkakati gani, sio vurugu ya malori na mabasi, watu n.k?
 
Huna lolote lengo lako umtaje magufuli tu.
Ushafikilia athari za kuweka soko maeneo hayo? Sasa hivi tu hamna soko lkn foleni yake na msongamano sio wa kitoto vipi ukiweka na soko kubwa?
 
Kivipi tena wakati watu wa mikoani ndio wanunuzi wakubwa wa bidhaa kutoka DSM?
Wanakuja kununua nini wakati maduka hata huko mikoani yapo? Hawaogi, hawapaki deodorant, full harufu za vikwapa.
 
Mbezi, Tegeta, Kigamboni, Mbagala, Gongo la Mboto,
... in fact manispaa zote za Dar es Salaam zinatakiwa kila moja iwe na Kariakoo yake - Ubungo, Temeke, Ilala, Kigamboni, na Kinondoni. Watafute mahali sahihi pa kujenga Kariakoo hizo.
 
... in fact manispaa zote za Dar es Salaam zinatakiwa kila moja iwe na Kariakoo yake - Ubungo, Temeke, Ilala, Kigamboni, na Kinondoni. Watafute mahali sahihi pa kujenga Kariakoo hizo.
Set up ya business centre kama Kariakoo kwa sasa ni kurudi kwenye ujima au stone age. Hakuna mpangilio, ni hectic.

Tuwe na malls kubwa zenye ku accommodate wafanyabiashara wengi, wapangwe kwa aina ya biashara wanazofanya na wasiruhusu machinga kuingia
 
Stendi ya kimataifa ipo Mbezi, inaingiza wageni kwa maelfu usiku na mchana.

Mbezi watu hawalali.

Kama soko kubwa la kisasa litaanzishwa basi biashara zitafanyika usiku na mchana.

Kwa sasa Mbezi ni centre.
Tofautisha kati ya Center na city center. Mbezi Haina raia kama mbagala asikudanganye mtu yeyote. Labda useme soko KUU la kibiashara wilaya ya UBUNGO ili imeki sensi. Nje ya hapo ni msukumo na matwaka ya wakazi wa msuguri kuvutia upande wao.
 
... in fact manispaa zote za Dar es Salaam zinatakiwa kila moja iwe na Kariakoo yake - Ubungo, Temeke, Ilala, Kigamboni, na Kinondoni. Watafute mahali sahihi pa kujenga Kariakoo hizo.
Nakubaliana na wewe mkuu
 
Hoja nzur sana itaifanya city center ipumue

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
unafikiri mgomo umesababishwa na soko kuwa sehem moja? acha ujinga sababu za msingi ni makodi yasiyo na kichwa Wala miguu hata Hilo soko wakilihamishia mikumi mbugani kama Kodi ni hizo mgomo lazima
 
... in fact manispaa zote za Dar es Salaam zinatakiwa kila moja iwe na Kariakoo yake - Ubungo, Temeke, Ilala, Kigamboni, na Kinondoni. Watafute mahali sahihi pa kujenga Kariakoo hizo.
Mbezi inapaswa kuwa business hub mpya.
 
Inajengwa ubungo
Ubungo ni shopping mall, tunacho kitaka ni soko kubwa lililopqngaliwa katika eneo la Mbezi

Mitaa ya kkoo imejaaa hakuna hewa ni msongamano tu.

Maafisa wetu wa mipango miji wanapaswa wafanye mchakato.
 
Huna lolote lengo lako umtaje magufuli tu.
Ushafikilia athari za kuweka soko maeneo hayo? Sasa hivi tu hamna soko lkn foleni yake na msongamano sio wa kitoto vipi ukiweka na soko kubwa?
Itasaidia sana wasio na ulazima wasifike Kariakoo. Itapunguza sana foleni mjini huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…