Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Mwalimu ameandaliwa kuwatengeneza watoto hata kama ni wabovu ila ili aweze kufanya kazi yake kwa ufanisi anapaswa kuwa mzima na salama.Aina ya watoto wanaoingia shule za sekondari za Serikali naonni pasua kichwa kulaumu Serikali au walimu Mara ingine Ni kuwaonea
Mwalimu ameandaliwa kuwatengeneza watoto hata kama ni wabovu ila ili aweze kufanya kazi yake kwa ufanisi anapaswa kuwa mzima na salama.
Professionally Mimi ni Mwalimu haswaa.. na nimeandika nikiwa naelewa ni kwa nini nimeandika kila neno hapo.Tuanzie hapa wewe ni mwalimu kama sio mwalimu usiongee hitu usivyo vijue hivi unafahamu kuna watoto wanatoka shule za msingi hawajui kusoma na kuandika pili wengine hata kuongea kiswahili ni shida anakuja anakuja is secondary anakutana na lugha geni kwake hebu fikilia kimbembe kilichopo hapo mpo mjini ndio maana hamjui aza ya vijijini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichoandika kinaonyesha wazi Kama ulisomea ualimu hukuelewa ulichofundishwa.Kusoma na kuandika mtoto hufundishwa shule ya msingi.Sekondari sio sehemu ya mtu kufungishwa kusoma na kuandika.Mwenzio kasema vijijini mtoto anakuja sekondari hajui kusoma na kuandika unamfundishaje masomo ya sekondari ?Professionally Mimi ni Mwalimu haswaa.. na nimeandika nikiwa naelewa ni kwa nini nimeandika kila neno hapo.
Ipo hivi Kaka Mwalimu haandaliwi kufundisha wanaoelewa tu ila Wanafunzi wa aina zote na ninachoamini ili Waalimu tufanye vizuri sharti shule zetu ziwe katika mazingira yanayoruhusu ufundishaji wa Wanafunzi wa aina zote.
Nakuja na jibu lako jioni MkuuUlichoandika kinaonyesha wazi Kama ulisomea ualimu hukuelewa ulichofundishwa.Kusoma na kuandika mtoto hufundishwa shule ya msingi.Sekondari sio sehemu ya my kufungishwa kusoma na kuandika.Mwenzio kasema vijijini mtoto anakuja sekondari uakuja kusoma na kuandika unamfundishaje masomo ya sekondari ?
Sawa ila ujue Wengine huenda sekondari bila kujua kusoma na kuandika sababu mitihani Ni multiple choice anajaza tu kwa kupiga ramli unakuta mwingine huyo kaibuka lakini kichwani mweupe.Ndio maana sgukebza sekondari private hutaka wafanye upya mitihani hawategemei necta tuNakuja na jibu lako jioni Mkuu