Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Viongozi wa serikali ya Tanzania wameamua kujitoa ufahamu ili kuibeba kampuni ya DP world. Yaani sote tunajua shughuli za bandari zinahitaji usalama wa hali ya juu na madhubuti kwa sababu ya unyeti wake huku ukiratibiwa na vyombo vyote vya usalama vya nchi.
Sasa, maajabu ya karne viongozi wa Tanzania kwa ujasiri mkubwa, wanakuja hadharani kwa mbwembe kusema pale bandarini tangu kupata uhuru pamejaa wizi mtupu, na suluhisho la huo wizi ni kumpatia bandari muarabu wa Dubai na huo wizi utakomeshwa kabisa!
Yaani serikali yenye vyombo vyote vya ulinzi na usalama kwa miaka zaidi ya 60 imeshindwa kabisa kudhibiti wizi bandarini lakini mara moja muarabu wa Dubai akipewa kuendesha bandari papo hapo wizi utakoma na kubakia kuwa historia!
Yaani muarabu anayekuja Tanzania na ndevu zake huku amebeba makabrasha ya makaratasi, atakuwa na suluhisho la wizi bandarini!
Huu kama sio uwendawazimu wa mlevi wa gongo aliyevuta bangi, kutafuna mirungi na kujidunga madawa ya kulevya basi utakuwa ni utaahira wa kiwango cha SGR.