Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Nchi hii ina wasomi wengi sasa.
Zamani ukiwa Daktari au Daktari bingwa unaweza kuchagua uajiriwe na taasisi gani na unaweza kuwaringia kuwa kazi utaanza muda unaoutaka wewe.
Nakumbuka zamani ukiwa na degree ya afya ukiingia tu JWTZ moja kwa moja unaenda kwenye kozi ya uafisa Monduli na ukimaliza tu unamwagiwa manyota kama yote.
Sasa hivi wasomi wako wengi.
Sheria ifuate mkondo wake, Daktari kichaa yule wa Mloganzila afukuzwe kazi haraka.
Mloganzila inaongoza kwa wagonjwa kufa kizembe.
Mloganzila inaongoza kwa rushwa. Ukienda na Bima yako jamaa wanakuona kama nyau tu, watakuzungusha mpaka utoe pesa ndo ushughulikiwe.
Mtumishi gani wa umma anakosa nidhamu mpaka umzae askari barabarani?
Serikali ikichekea hii issue ipo siku mtu atamwaibisha kiongozi mkubwa.
Ni kama Nabii Tito, akachekewa mpaka alipogusa kiti cha Rais ndo wakamkamata.
Afukuzwe haraka.
Yule daktari ana element za ugaidi