ahahaha 😂 😂Akipona awahi kukutibia.
Hiyo Bawasili stage 5 inakupa sana msongo wa mawazo na mfadhaiko mkali.
Shughuli yako ya ubwabwa unaifanyia kin
Hahahaaa umenizidi sasaBora mama ake angepokea bao lake kwa njia ya mkungu akamjambe mbele huko
Kama wewe unavyotiwa dole daily na unavyolikatikiaHuyu Daktari lazima tumtie dole la maQalio
Kwa nini tusianze kwanza na nyinyi wala rushwa, wapiga dili na mafisadi? Mna faida gani nyinyi kwenye hii nchi zaidi ya kujilimbikizia mali?Nchi hii ina wasomi wengi sasa.
Zamani ukiwa Daktari au Daktari bingwa unaweza kuchagua uajiriwe na taasisi gani na unaweza kuwaringia kuwa kazi utaanza muda unaoutaka wewe.
Nakumbuka zamani ukiwa na degree ya afya ukiingia tu JWTZ moja kwa moja unaenda kwenye kozi ya uafisa Monduli na ukimaliza tu unamwagiwa manyota kama yote.
Sasa hivi wasomi wako wengi.
Sheria ifuate mkondo wake, Daktari kichaa yule wa Mloganzila afukuzwe kazi haraka.
Mloganzila inaongoza kwa wagonjwa kufa kizembe.
Mloganzila inaongoza kwa rushwa. Ukienda na Bima yako jamaa wanakuona kama nyau tu, watakuzungusha mpaka utoe pesa ndo ushughulikiwe.
Mtumishi gani wa umma anakosa nidhamu mpaka umzae askari barabarani?
Serikali ikichekea hii issue ipo siku mtu atamwaibisha kiongozi mkubwa.
Ni kama Nabii Tito, akachekewa mpaka alipogusa kiti cha Rais ndo wakamkamata.
Afukuzwe haraka.
Yule daktari ana element za ugaidi
Nchi hii ina wasomi wengi sasa.

Yaani anadhani ni kufukuza tu hakuna taratibu. Na huyo ukute ni mtumishi. Akipata kacheo haki ya kusikilizwa ndo kwisha