Serikali inasubiri nini kumfukuza kazi daktari aliyempiga Trafiki?

Wewe kenge nchi haiendeshwi kihuni ,nchi inaendeshwa kwa sheria ,taja kosa na kifungu alichovunja ambacho unasema afukuzwe kazi.
 
Umesoma Tena ulichoandika ww kwel ,afukuzwe kazi Kwa kipi hapo ??? Hao mbona 29/10 waliua watu 500+ na hakuna aliye ulizwa licha ya kufukuzwa kazi? Dr.kutaka kumchoma sindano moja mnapiga keleleleee!!!
 
Madaktari ni binadamu, hope kuna siku ataeleza kwanini alikosa reasoning na kuamua kushambulia, namuombea apone haraka.
 
We bwege madaktari wangekuwa wengi tungewaona. HAO WAKIGOMA NCHI INASIMAMA.
 
Mkuu nenda taratibu.
.......Sheria ifuate mkondo wake, Daktari kichaa yule wa Mloganzila afukuzwe kazi haraka.
Unasema eti Daktari kichaa yule ......!!
Una uthibitisho wa hilo ulisemalo? Huku unasema sheria ichukue mkondo wake halafu unatoa hukumu afukuzwe haraka. Wapi na wapi.? Kama
1. Kama unaridhia Sheria ichukue mkondo wake, basi tulia uiachie Sheria nafasi yake.
2. Kama unamhukumu afukuzwe haraka, elewa; jinsi unavyoona ni vigumu kwa Serikali kutoa ajira; ujue ndivyo ilivyo vigumu kumfukuza mtumishi kazi tena kwa kosa ambalo halijathibitishwa kama hilo.
Vigezo na masharti ya Ufukuzaji ni lazima yazingatiwe.
 
We ni mse.nge tu..unatishia ajira ya serikali kwa mshahara gani?....
Hiyo takataka mnayowalipa madaktari ni mshahara?...we jamaa lofa kweli...nenda hapo Agakhan uone specialist wanampa shilingi ngapi...ninyi chawa ni washamba sana
 
We ni mse.nge tu..unatishia ajira ya serikali kwa mshahara gani?....
Hiyo takataka mnayowalipa madaktari ni mshahara?...we jamaa lofa kweli...nenda hapo Agakhan uone specialist wanampa shilingi ngapi...ninyi chawa ni washamba sana
Una point nzuri sana ila Dah! Lugha uliyotumia mmmm
 
Ni rahisi trafiki kufukuzwa kazi kuliko Dactari kwa taarifa yako Daktari anaweza akakuua kwa sindano ya maji au kivyovyote na asifanywe chochote
 
Askari hawezi kufukuzisha Daktari bingwa! Ingekuwa huyo Dr kaonekana kwenye majukwaa ya siasa akinadi upinzani ni shwaaa.

Muulize Prof Safari kilichomtoa Chuo cha Diplomasia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…