Serikali inasubiri nini kumfukuza kazi daktari aliyempiga Trafiki?

Kwa nini tusianze kwanza na nyinyi wala rushwa, wapiga dili na mafisadi? Mna faida gani nyinyi kwenye hii nchi zaidi ya kujilimbikizia mali?
 
KAMA AMBULANCE INARUHUSIWA KUPITA SERVICE ROAD HALAFU GARI YA DAKTARI INAZUIWA DOES IT MAKE SENSE?
KAMA GARI ZA WANASIASA ZINARUHUSIWA HOW COMES YA DAKTARI ISIRUHUSIWE,KATI YA MWANASIASA NA DAKTARI NI YUPI ANAWAHI DHARURA YA KWELI?
 

Attachments

  • AMBULANCE.jpg
    56.8 KB · Views: 9
Your browser is not able to display this video.
 
SIO rahisi KWA daktari kumpigana kwa maadili ya kazi yake na kiapo chake,hakuna daktari anahepiga watu ila anatibu watu,na inawezekana alitukanwa matusi mabaya ama alipokonywa funguo ya gari huku akitukanwa matusi,hivyo katika kuchukua funguo ya gari yake Kali yake ili awahi kwenda kutimiza majukumu yake ndipo sasa Waka angushana katika kupokonyana funguo ya gari,HAKUNAGA DAKTARI ANAYEPIGA WATU,hapo daktari alicheleweshwa kwenda kutimiza majukumu yake ya kuhudumia wagonjwa.DAKTARI YEYOTE HAWEZI KUPIGA WAGONJWA WAKE.
 
Haya yatakwisha kama vyombo vya usalama vitakubali mahusiano kati ya raia na vyombo vya usalama hasa polisi ni kama hakuna!
Raia hatuwapendi polisi kabisa kabisa kabisa...
Na polisi wanaokaa uraiani wako kwenye hali ngumu sana...
 
Mkuu hapana. Kumfukuza daktari bingwa kazi ni hasara kubwa kwa taifa. Hao watu bado ni wachache duniani. Kwa sababu ana kesi mahakamani tusubiri uamuzi wa mahakama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…