Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itikadi na sera ya ccm ni kujali maslahi ya umma na kuhakikisha usawa wa kijamii na uchumi.
Tangu ameingia madarakani rais samia na kupewa uenyekiti wa ccm wananchi wamekua wakinusa harafu ya sera za kibinafsi na kutaka kugeuza muelekeo wa taifa kwenye ubepari mkali wa kuambatana na kudhulumu wanyonge.
Kitendo cha kuwekeana sahihi na falme za kiarabu kutaka kuwakabidhi bandari zote za nchi kwa masharti sawa na kuwapa kumiliki wao kinastaajabisha. Masharti aliyoweka sahihi waziri mbarawa mengi yanakiuka sheria hadi kutakiwa nchi kubali sheria zake. Nini maana ya sheria ikiwa kila rais akiingia anata abadili sheria za nchi ili kuleta wawekezaji wake.
Awamu ya tano tumebadili sheria za uwekezsji ili kulinda maslahi ya nchi. Bahati mbaya rais aliyeingia madarakani kwa ridhaa kubwa ya wananchi akafariki dunia kwenye mazingira hadi sasa wananchi hawaamini halafu anakuja mtu anatasema analifungua taifa na kutaka kugeuza mambo ya msingi yote mtangulizi wake amefanya.
Tunawaomba wabunge wanapojadili uwekezaji huu wa falme za kiarabu kuzingatia sheria zilizopo na kuepuka lolote linalotaka kubadilishwa sheria kwa matakwa ya muwekezaji.
Lazima kuzingatia tanzania sio nchi inayouza bandari. Kama kuna mtu anataka kununua bandari aangalie kwingine.
Hakuchaguliwa we vip?Itikadi na sera ya ccm ni kujali maslahi ya umma na kuhakikisha usawa wa kijamii na uchumi.

2020 hapakuwepo na uchaguzi, ulikuwa uchafu.Wewe ndio ulikuwa unapiga Kampeni 2020? Au baba Yako ndio alikuwa mgombea mwenza?
Maslahi ya watu binafsi ni yapi na ya nyie Wananchi ni yapi?
kwahiyo tukusaidiejeZile lugha za mama,"anafungua nchi",,mama anaupiga mwingi",tunaona matokeo yake.
alienda Dubai picha yake ikawekwa Burj Khalifa tukafurahi kumbe bwana wanamlainisha auze mipaka ya nchi.
Hakuna Bora hapoYaani ni bora tungempa Kagame (Jirani) hiyo Bandari kuliko hawa magabachori.
Ondoa hiki kipengele tafadhali acha kuwasingizia CCM mamb ambayo sio utaratib wao!!!Itikadi na sera ya ccm ni kujali maslahi ya umma na kuhakikisha usawa wa kijamii na uchumi. Huu ndio msingi wa amani ya tanzania.
Kama tumefikia ile inayosomeka; "enough is enough" "inatosha na imetosha" then tuiondoe CCM madarakani na tufanye utaratibu mpya kupata mwelekeo sahihi.Ondoa hiki kipengele tafadhali acha kuwasingizia CCM mamb ambayo sio utaratib wao!!!
Upo sahihi ✔️Kama tumefikia ile inayosomeka; "enough is enough" "inatosha na imetosha" then tuiondoe CCM madarakani na tufanye utaratibu mpya kupata mwelekeo sahihi.
Ikiwa bado, hatujafikia hatua hiyo, basi tuendelee kucheza na maneno humu mitandaoni.
Wewe utakuwa umehongwa.tuwe wawazi huyu mama anatupeleka pabaya,nchi itauzwa Ndugai alisema mkamletea shida.Time will tellWewe ndio ulikuwa unapiga Kampeni 2020? Au baba Yako ndio alikuwa mgombea mwenza?
Maslahi ya watu binafsi ni yapi na ya nyie Wananchi ni yapi?
una stress na njaa pia.kwahiyo tukusaidieje
Hapana sijahongwa Bali naongea ukweliWewe utakuwa umehongwa.tuwe wawazi huyu mama anatupeleka pabaya,nchi itauzwa Ndugai alisema mkamletea shida.Time will tell