Serikali inatambua umuhimu wa Bandari ya Dar, haiwezi ikaibinafsisha. Puuzeni upotoshaji

Itikadi ya CCM ni kufanyaje?!!

Em rudia kusoma ulichoandika.
 
Wakati unapiga kura kumchagua magufuli, uliona kwenye picha Yuko Peke yake?
 
Yaani ni bora tungempa Kagame (Jirani) hiyo Bandari kuliko hawa magabachori.
 
Hakuchaguliwa we vip?
 
Wewe ndio ulikuwa unapiga Kampeni 2020? Au baba Yako ndio alikuwa mgombea mwenza?

Maslahi ya watu binafsi ni yapi na ya nyie Wananchi ni yapi?
2020 hapakuwepo na uchaguzi, ulikuwa uchafu.
 
Nimeshindwa kusoma mpaka mwisho..

Hapo mwanzo tu umeeandika eti kuwa "Itikadi na sera ya ccm ni kujali maslahi ya umma na kuhakikisha usawa wa kijamii na uchum"
Nani kakwambia maneno hayo toka lini serikali ya ccm ikajali maslahi ya umma!!?
 
Wakati unapiga kura ili kumchagua rais, maana yake pia ni kwamba, iwapo litatokea lolote aidha kifo basi mgombea mwenza atashika nafasi ya urais.
Kwa hiyo samia tulimchagua kupitia njia hiyo.
Sikubaliani na yanayoendelea ktk swala la bandari
 
Ondoa hiki kipengele tafadhali acha kuwasingizia CCM mamb ambayo sio utaratib wao!!!
Kama tumefikia ile inayosomeka; "enough is enough" "inatosha na imetosha" then tuiondoe CCM madarakani na tufanye utaratibu mpya kupata mwelekeo sahihi.

Ikiwa bado, hatujafikia hatua hiyo, basi tuendelee kucheza na maneno humu mitandaoni.
 
Upo sahihi ✔️
 
Wewe ndio ulikuwa unapiga Kampeni 2020? Au baba Yako ndio alikuwa mgombea mwenza?

Maslahi ya watu binafsi ni yapi na ya nyie Wananchi ni yapi?
Wewe utakuwa umehongwa.tuwe wawazi huyu mama anatupeleka pabaya,nchi itauzwa Ndugai alisema mkamletea shida.Time will tell
 
Kuna wakati naona Kabisa filatu havimtoshi......kabisa Yaani serious na ukweli kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…