Serikali inatambua umuhimu wa Bandari ya Dar, haiwezi ikaibinafsisha. Puuzeni upotoshaji

Kuna wakati naona Kabisa filatu havimtoshi......kabisa Yaani serious na ukweli kbs
Rais Samia Ni kiongozi aliye kamilika na mwenye sifa zote anazopaswa kuwa nazo mkuu wa nchi, hii ndio sababu ya Nchi na Taifa letu kupiga hatua za kimaendeleo
 
Kwa pabde hili, Utakuwa umelambishwa asali na mama
 
Kwa hiyo Mama kule Dubai alienda kuwang'ong'a waarabu halafu akarudi,he he salamaleko.
 
Ni kweli lazima tupuuze upotoshaji wako huu.. wewe ni mzalendo wa Tumbo lako. Shame on you mad man
 
Wale wa bunge wa CCM hawawezi kukuelewa inamaana wewe una akili kuliko wabunge wa CCM
 
Hivyo vyombo vya usalama sio malaika,vinaongozwa na wapigsji TU,
Hivyo vyombo SI vilikywepo wakati wa skandali ya Richmond,meremeta,escrow,madini,mbuga?
Hakuna Jema ccm,bungeni,serikalini,kwenye vyombo vya usalama kote wamejaa wezi watupu
 
Hawa viongozi wangeondolewa Kinga, pili kungekuwa na sheria kwamba kiongozi yoyote atakayeliingiza chaka taifa iwe ni kwenye mikataba, miradi au ubadhirifu wowote adhabu iwe kunyongwa hadharani na mali zake kufilisiwa hapo ungeona kama kuna upuuzi kama huu wa bandari ungekuja.
 
Unaongea uongo kisa teuzi. Kuna mikataba gani ya maana tumewahi kuingia. Unakumbuka TRL ya wahindi na Netgroup solutions TANESCO? Leo yapo wapi? Acheni ujinga.
 
Usilishe ujinga wako ,wakati mkataba upo wazi
 
Lucas nafikiri sakata hili linaloendelea kuhusiana na kuridhia uendeshaji mpya wa bandari zetu ni kubwa sana kwako kulielewa kiasi kwamba kuanza kulifanyia propaganda.Sijui kama una ufahamu wa kina kuhusu masuala ya MoU na mikataba ya kitamataifa.

Ukiona jambo kama hilo linapokelewa kwa "public censure" na makundi ya watu wengi makini, basi ni lazima ujue mpo watu wa aina yako ambao mtakuwa "oblivious" kisa tu kutaka kujipendekeza ili mpate kuonekana tu kwa watawala, na wala si kwa kusukumwa na uzalendo.

Misingi iliyopo katika makubaliano ya awali ni nyeti na ya hatari, ndiyo maana unasikia kelele za tahadhari zikitolewa ili serikali iwe makini kabla ya kuingia kichwa kichwa ndani ya mkataba rasmi. Pia PW World haina rekodi nzuri katika mikataba mingine iliyokwisha ingia na nchi nyingine.

There is a saying, "A stitch in time saves nine" meaning that it is better to deal with a problem in its early stages, in order to prevent it getting worse.
 
Unaongea uongo kisa teuzi. Kuna mikataba gani ya maana tumewahi kuingia. Unakumbuka TRL ya wahindi na Netgroup solutions TANESCO? Leo yapo wapi? Acheni ujinga.
Tusiwe na wasiwasi maana mbele yetu yupo Rais Samia mzalendo wa kweli wa Taifa letu
 
Hivyo vyombo vya usalama sio malaika,vinaongozwa na wapigsji TU,
Hivyo vyombo SI vilikywepo wakati wa skandali ya Richmond,meremeta,escrow,madini,mbuga?
Hakuna Jema ccm,bungeni,serikalini,kwenye vyombo vya usalama kote wamejaa wezi watupu
Ukiona ufisadi mkubwa mkubwa unaibuliwa lazima ufahamu ya kuwa Ni kazi njema na ya kizalendo inayokuwa imefanywa na vyombo vyetu nyuma ya pazia kwa maslahi mapana ya Taifa letu
 
Peleka ujinga katika familia yako
 
Labda tukupuuze wewe na serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…