Serikali inathamini wananchi wake, mfano ni Wanamsomera

Serikali inathamini wananchi wake, mfano ni Wanamsomera

Rashda Zunde

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2022
Posts
204
Reaction score
231
Miaka ya 1970 wananchi walihama kutoka sehemu moja hadi nyingine ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii.

Sasa wananchi wanatoka Ngorongoro kwenda Msomera kwenye huduma bora za kijamii zilizowekwa na Serikali ya Awamu ya 6.

Wanapohamia Msomera wanaenda kuwa maisha bora na kupata huduma zote muhimu kwa urahisi sana jambo ambalo walikua wanalikosa walipokua kwenye eneo la hifadhi.

Serikali inajali wananchi wake na kuwathamini na ndio maana inafanya juhudi zote kuhakikisha maisha yao yanakua mazuri na huduma za uhakika zinatolewa.
 
Acha ulofa wewe, msomera Kuna huduma za kuzidi ngorongoro kwa jamii inayotegemea ufugaji. Wamasai hawataki umeme wala internet wao wanahitaji sehemu ya kuhifadhi na kulisha mifugo
 
Back
Top Bottom