Serikali inatumia gharama kubwa sana kutunza pesa zake zilipo kwa watu hasa noti

Serikali inatumia gharama kubwa sana kutunza pesa zake zilipo kwa watu hasa noti

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Hivi kwanini kusiwe na utaratibu mazuri wa namna ya kutunza cash za noti? Unakuta noti za elfu kumi, elfu moja, elfu mbili au elfu tano zinawekwa ovyo sana kwa kukunjwa kunjwa na watu kiasi ambacho Ile durability tunayoambiwa haipo tena.

Nchi zilizoendele noti zote zipo electronically na hakuna mwanachi yupo interested kubeba minoti mfukoni ni ushamba mkubwa.

Au ipitishwe sheria kwamba kila mtu awe na wallet na awe anaweka ndani pesa zake mana kwenye waleti pesa zinakuwa zimenyooka na hazikunjiki.

Kwa Msingi huo basi serikali itakuwa inaingia ghrama kila mara kuprint pesa. Mostly pesa za nchi hizi zinazoendelea zinapringiwa nje na makampuni na serikali inalipia cost of printing.

Sasa serikali iunatumia gharama kubwa sana kiuzembe kabisa. Unakuta makonda au yeyote yule kaikunja mpaka unaionea huruma.
 
serikali itengeneze viwanda vya fedha iprint yenyewe.... pia iongeze quality ya material ya fedha ili zisiwe rahisi kuharibika.
 
Hao wanaozikunja ndio hao hao wanalipa hizo gharama za ku print.

Halafu unazungumzia wallet hizi hela za madafu zinatosha kwenye wallet kweli au ulimaanisha mabegi
 
Back
Top Bottom