Ebu tuonyeshe wapi Ali Gire alishikwa? I'm waiting.Napenda namna mnavyo angaika kumfuatilia Jpm badala ya kushughulika na matatizo tenu,
Kwa hiyo wapotoshaji waachwe tu waendelee kupotosha na kudanganya?
Kenya pia mtu alirekodi lile tukio la ndege kutoka china kuingia Kenya akashikwa,
Na nyie hamna tofauti na north korea?
Kwa kupenda udaku haujambo,
Hiyo video ndio uthibitisho?
Recorded voice ambayo hata mimi naweza kurekodi uwongo na kuusambaza,
Post video ikionesha wakitoroka tuone na sio kupost sauti zilizorekodiwa,
Kwa hiyo vioo vilivyo vunjwa ndio hizo kwa hiyo pic kwenye hiyo video 😂
Embu angalia hii picha kwenye hii link kisha uangalie hiyo iliyowekwa kwenye hiyo video.
https://m.facebook.com/Amanahospitalkuttiyadi/
Sijafikia uwezo wako mdogo wa kufikiri,Huwa nakupuuza maana uwezo wako wa kujaadili hoja ni mdogo sana, kwa hili nakuelekeza ukapambane na hawa huku
Ebu tuonyeshe wapi Ali Gire alishikwa? I'm waiting.
Mungu wangu ingawa baadhi ya ndugu zetu hufurahia majanga kwetu hili linanitia hasira! Mbona si wangepewa adhabu nzito kuliko hayo mafaini?Hawa wahurumie kwa sasa, yaani wanafanya vitu vya aibu sana na kuletea Afrika aibu, hebu ona hizi taarifa Duh! Mabaharia wa China watosa wazamiaji wa Tanzania baharini kwa kuogopa Corona - JamiiForums