Serikali inawatafuta wakenya 50 waliotoroka karantini

Serikali inawatafuta wakenya 50 waliotoroka karantini

Napenda namna mnavyo angaika kumfuatilia Jpm badala ya kushughulika na matatizo tenu,
Kwa hiyo wapotoshaji waachwe tu waendelee kupotosha na kudanganya?
Kenya pia mtu alirekodi lile tukio la ndege kutoka china kuingia Kenya akashikwa,
Na nyie hamna tofauti na north korea?
Ebu tuonyeshe wapi Ali Gire alishikwa? I'm waiting.
 
Kwa kupenda udaku haujambo,
Hiyo video ndio uthibitisho?
Recorded voice ambayo hata mimi naweza kurekodi uwongo na kuusambaza,
Post video ikionesha wakitoroka tuone na sio kupost sauti zilizorekodiwa,
Kwa hiyo vioo vilivyo vunjwa ndio hizo kwa hiyo pic kwenye hiyo video 😂
Embu angalia hii picha kwenye hii link kisha uangalie hiyo iliyowekwa kwenye hiyo video.
https://m.facebook.com/Amanahospitalkuttiyadi/

Huwa nakupuuza maana uwezo wako wa kujaadili hoja ni mdogo sana, kwa hili nakuelekeza ukapambane na hawa huku

 
Huwa nakupuuza maana uwezo wako wa kujaadili hoja ni mdogo sana, kwa hili nakuelekeza ukapambane na hawa huku


Sijafikia uwezo wako mdogo wa kufikiri,
Ningekuwa na uwezo mdogo wa kufikiri ningekua nafungua nyuzi za kitopolo kama wewe,
Fool.
 
Back
Top Bottom