Sinister
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 1,531
- 1,577
Ebu tuonyeshe wapi Ali Gire alishikwa? I'm waiting.Napenda namna mnavyo angaika kumfuatilia Jpm badala ya kushughulika na matatizo tenu,
Kwa hiyo wapotoshaji waachwe tu waendelee kupotosha na kudanganya?
Kenya pia mtu alirekodi lile tukio la ndege kutoka china kuingia Kenya akashikwa,
Na nyie hamna tofauti na north korea?