Serikali inayobadilisha maamuzi yake kwa kutegemea upepo ni Serikali dhaifu, haifai

Mwendazake Sikuwahi kumkubali ila kwenye kusimamia maamuzi aliyoamini alikuwa poa.

Sasa tumekosa kiongozi shupavu haiingii akilini unashindwa kusimamia maamuzi,udhaifu mkubwa huu.
 
Kwani nikisema miundo mbinu wewe unaelekeza akili kwenye barabara na reli?

Kaa tuliza kichwa utanielewa
 
Mwendazake Sikuwahi kumkubali ila kwenye kusimamia maamuzi aliyoamini alikuwa poa.

Sasa tumekosa kiongozi shupavu haiingii akilini unashindwa kusimamia maamuzi,udhaifu mkubwa huu.
Hakuna jambo zuri or baya 100%, misimamo ni mizuri lakini lazima kushirikisha bongo pia, angalia alivyohandle issue ya corona! So kila aina ya uongozi/utawala una pande chanya na hasi pia! Muhimu hasi zisizidi sana chanya
 
The thing is Mwigulu hakuwa mtu sahihi kuzungumzia umuhimu wa kodi hiyo.

Hiyo kodi ni mpya, na hiyo kodi ndio ilikuwa fursa ya mama kutengeneza maono yake na kujibrand kwa watanzania. Huu ndio mwaka mpya wa fedha unaoanza na mama akiwa top na angetumia fursa hii kuja na speech kabambe ya kuimarket hiyo kodi na kuwaaminisha watanzania kwamba zama zimebadilika, ulimwengu umebadilika na nchi yetu imebadilika pia. Angetumia fursa hiyo pia kujiweka kwamba yeye kama mkuu wa serikali ana nia ya kuongeza kasi ya maendeleo ya nchi yetu kwa namna jumuishi lakini yenye ahadi ya kuleta maendeleo jumuishi. Ndio maana amekuja na hii kodi.

Jambo kubwa kama lile anatutumia Mwigulu......!

If you cant be serious kwenye mambo serious watu hawawezi kukuchukulia serious pia, na ndio maana watu wakambeep kupitia kusuasua kwa transactions za mpesa. Naye naona kashabipika. Yote kati ya yoye it matters who says it and how it is being said.
 
Tamaa za kutaka hela nyingi kwa wakati mmoja ndio chanzo cha kukosa kabisa. Hebu jiulize, ada ya kutuma Tsh 45,000 ni Tsh 410 ambayo inakatwa na mtandao husika. Serikali imeongeza Tsh 1,500 na kufanya iwe Tsh 1,910. Hilo ni ongezeko la zaidi ya 300%

Kwanini hapo wasingeongeza japo Tsh 90 ili iwe Tsh 500 kwa ujumla. Yaani inakua ni reasonable kwa watumia huduma. Hapo bado kwenye kutoa. Hivi unadhani kuna hela ya kuchezea kiasi hicho wakati hali zenyewe ni ngumu ki-uhalisia
 
Hiyo hela si kubwa kihivyo na si kweli kwamba haimuduki.

Hawatetea ipasavyo hizo charges.
 
Hiyo hela si kubwa kihivyo na si kweli kwamba haimuduki.

Hawatetea ipasavyo hizo charges.
Sio kubwa??? Kwa mwenye nayo hiyo hela sio kubwa. Kwa mimi ninayelipwa 4000 kwa siku ni kubwa sana hiyo. Maana unayemtumia ili atoe inatakiwa awe na Tsh 3,850 ya ziada.

Maana yake ukiwa na Tsh 45,000 ukimtumia mtu mpaka kuitoa ni Tsh 39,000....

Sasa nini faida hapo kwa mtumiaji wa huduma hiyo? Yaani 6,000 nzima sio yako tena
 
Hakuna jambo zuri or baya 100%, misimamo ni mizuri lakini lazima kushirikisha bongo pia, angalia alivyohandle issue ya corona! So kila aina ya uongozi/utawala una pande chanya na hasi pia! Muhimu hasi zisizidi sana chanya
Ngoja tuone nyie mnaoshirikisha bongo kama mtakusanya mapato ya kutosha na kutatua changamoto za maendeleo,bahati nzuri saizi si TRA wala halmashauri wanaosisitiza kukusanya mapato ya serikali .Wafanyabiashara na wananchi wanakwepa kodi.Nasubiri nione matokeo ya serikali sikivu
 
Hizo changamoto ziliwahi kutatuliwa lini? Watu walikalishwa benchi miaka 5, no ajira mpya, no kupandishwa madaraja, no ongezeko la mishahara. Makato ya bodi yakaongezwa kutoka 8% to 15% bila kufuata mkataba, deni la taifa likaongezeka zaidi ya 15 trilions, hamna barabara mpya ya maana imejengwa zaidi ya zile alizoacha jk.

Hela zikakwapuliwa kutoka kwenye accounts za watu, TRA wakawa wanalazimishwa kupika data za mapato, hela za maendeleo kwenye halmashauri na manispaa zikawa hazipelekwi! Nchi imeongozwa kwa propaganda kwa miaka 5, now kila kitu kitakuwa wazi! Tutademka na kutukana sana tu, lakini ndiyo afya ya taifa hiyo!!
 
Na kama sio goli la mkono 2015 Sasa hivi tungekua tunaongea habari nyingine
 
Mkuu hebu tumia akili kidogo ziara za JK hazikuwa zikiwaguza watu wa vijijini moja kwa moja..ila hili la tozo liliwaguza hadi mafukara wa chini kabisa.. linapokuja suala la kukamua wananchi direct linaweza kuiyumbisha Serikali sio umesikia watu wameacha kutumia simu kutuma fedha kwa mamilioni ndani ya siku tatu tu..watu wamegomea maana yake hilo lengo la kupata hizo fedha limeshakufa
 
Kwani chadema ni raia kutoka Urusi? hawana haki ya kuchaguliwa acha akili za kizeee
 
Hivyo unavyovitaja utatatua kwa kutumia makalio yako au pesa? Maamuzi ya kijinga kama haya ya kuwasikiliza walalamishi,wakulaumu kama wewe na wajuaji wengine wasio na suluhisho ndio vimefanya tuendelee kuwa na changamoto zisizopungua miaka na mikaka.
 
Unadhani hizo kodi mwigulu alizozipendekeza ndo zitatatua hizo changamoto unajidanganya sana
 
Hivyo unavyovitaja utatatua kwa kutumia makalio yako au pesa? Maamuzi ya kijinga kama haya ya kuwasikiliza walalamishi,wakulaumu kama wewe na wajuaji wengine wasio na suluhisho ndio vimefanya tuendelee kuwa na changamoto zisizopungua miaka na mikaka.
Huwa unatumia makalio kutatua changamoto? Unataka ufanye upupu and watu wasilalamike? Acha ujinga
 
Then nani atalipa mawakala?
 
Jiwe hakufaa kuongoza hata familia yake na ndiyo maana ilimshinda na Sir God akaingilia kati, hiyo corona ndiyo imepita naye kwa sababu ya kushupaza shingo
 
Sukuma gang kazin
 
Kinachokwamisha serikali nyingi za kiafrika kutokusonga mbele ni UFISADI, na matumizi mabovu ya fedha, na ndio maana mwananchi anakuwa mgumu kulipa kodi, leo waziri wa fedha anaulizwa kwanini wasianze wao kupunguza matumizi kwenye misafara ya viongozi, eti ana jibu kwenye misafara ile hasa ya rais wengi wao wanatumia magari yao binafsi kweli?!!yale ya ma V8, ni ya kwao binafsi!!inshu wala sio kukusanya kama hujadhibiti upotevu wa hayo mapato ni bure, huyo mnyonge mtamuua tu, na kile mnachomuahidi kamwe hatakiona!!mfano awamu ya tano tuliaminishwa kuwa makusanyo yanakusanywa kweli kweli, na pesa haipotei!!lipi la maana sana lilifanyika, kama ni deni la taifa lilipaa sio kawaida!!
Hali ya madawa hospitalini haikuwa na unafuu wowote!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…