Serikali ingeviwezesha vyuo rasmi kutoa mafunzo kwa vitendo ili kukidhi mahitaji ya kujiajiri

Serikali ingeviwezesha vyuo rasmi kutoa mafunzo kwa vitendo ili kukidhi mahitaji ya kujiajiri

gati

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
283
Reaction score
160
Nimekuwa nikifuatilia tambo za Mawaziri wa Kilimo na Mifugo na uvuvi juu ya mpango wa kuwaweka vijana katika makambi maalum ya kulimo, ufuhaji ssmaki na unenepeshaji wa mifugo.

Sijui concept hii ina maana gani. Huenda nilikuongeza ujuzi ama ni kutaka kuongeza uzalishaji, hatahivyo, naamini concept hii inapigiwaa chapua kwakuwa mitaala ya ufugaaji samaki, kilimo cha mazao, ufugaji samaki na uzalishaji wa mifugo imekuwa dhaifu.

Ukitazama mitaala ya vyuo vilivyokuwa vinatoa elimu hii kwa ngazi ya cheti na diploma imebadilika sana, aidha, vyuo havina nyenzo za kuweza kutoa elimu inayoweza kumwezesha mhitimu kufanya kwa vitendo kile alichofundishwa.

Maoni yangu ni kuwa ni bora serikali ingeviwezesha vyuo rasmi kutoa mafunzo kwa vitendo ili kukidhi mahitaji ya kujiajiri
 
Back
Top Bottom