Tunajua kuwa watumishi wengi karibu wote wanatumia mikopo kuendeleza/kuanzisha biashara zao,kusomesha watoto,kujisomesha na mambo mengine.
Hapo miaka ya nyuma kidogo bima ya mkopo ilikuwa inalipwa kwa awamu mpaka mkopo unaisha hii ilitoa nafuu kubwa Sana kwa mkopaji kwa sasa bima hii inakatwa kwa mara moja Jambo hili linaumiza Sana mkopaji hasa mtumishi pia riba zipo juu Sana.
Tafadhali serikali rudisheni utaratibu wa zaman wa kukata bima ya mkopo kwa awamu , utaratibu wa sasa unaumiza Sana wakopaji.
Jaman mkiwa mnaambiwa jaribuni kusikia na kuchukua hatua huu utaratibu wa sasa ni kandamizi Sana ama ni kwa sababu mkopaji Hana kusemea? Nimalize Kwa kuomba serikali iingilie kati bima ya mkopo ikatwe kwa awamu Kama ilivokuwa hapo awali.