- Thread starter
- #21
Tathimini katika eneo unaloishi wangapi wapo tayar na chanjoYeah inaweza enda indirectly japo ni makosa still..ila huyu mwamba mleta mada anasuggest iwe direct.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tathimini katika eneo unaloishi wangapi wapo tayar na chanjoYeah inaweza enda indirectly japo ni makosa still..ila huyu mwamba mleta mada anasuggest iwe direct.
Watanzania tatizo letu ni kutopima mambo kwa undani. Sijui ni kwa sababu ya elimu yetu ya kukariri hivyo tunashindwa kutafakari. Hili la kusema Gwajima hana kosa na anatumia haki yake ya uhuru wa kuongea wamelikariri watu wengi. Ukilichukulia kwa haraka bila kutafakari utaona ni kweli hana kosa. Lakini ukiingia kwa undani unakuta Gwajima ana nyadhifa mbili. 1. Kiongozi wa ''kiroho'' 2. Kiongozi wa wananchi i.e. mbunge. Hapo ndipo linakuja tatizo. Na tatizo ni mgongano wa maslahi. Suala la chanjo limepishapishwa na serikali ya CCM kwa kutumia wataalam. Inakuwaje tena mbunge wa CCM anapinga? Kama anataka kupinga basi ajiuzulu! Kuna kosa lilifanywa la kuruhusu kiongozi wa dini kuwa mbunge bila kujiuzulu wadhifa wake wa kuongoza dini. Alipopata ubunge alitakiwa aambiwe ajivue wadhifa wa kuongoza kanisa ili kuepusha mgongano wa maslahi. Hili lipo duniani kote. Kwa mfano kama mtu ni mkurugenzi na mmiliki wa kampuni kubwa, na akitaka kugombea nyadhifa za kisiasa basi huwajibika kujiuzu ule ukurugenzi ili kuepusha mgongano wa maslahi. Hili la Gwajima kuhusu chanjo ni moja ya mambo mengi tu yanaweza kuleta mgongano kama ataendelea kuwa kiongozi wa kiroho. Hebu chukulia mfano wa condomu. Msimamo wa seriakli ni kuwahimiza wananchi kutumia kondomu. Gwajima kama mbunge, hawezi kuunga mkono kwa sababu za kidini. Kwa kifupi anatakiwa achague moja. Ama kubaki na ubunge lakini ajiuzulu uongozi wa kiroho na abaki kuwa muumini wa kawaida au ajiuzulu ubunge ili aendelee na kupinga chanjoWe jamaa ungekuwa hata tu Waziri mkuu ungekuwa dikteta zaidi ya Hitler au Mussolini.
Mama Samia yuko sahihi kuwaacha watu waongelee mambo haya ikiwemo chanjo. Amiri Jeshi mkuu anapaswa kuwa na ngozi ngumu maana maamuzi yake yanaweza leta madhara makubwa. Kiufupi hufai hata kuongoza kijiji, sijui hata ubavu wa kumshauri mtu mzito kama CiC unaupata wapi?
Rais sio muoga wala sio kwamba hajitambui. Watu wasiojitambua kama wewe ndio mnamuona hivyo.
By the way kama wanaokataa chanjo wana sababu za kijinga na zisizo na mashiko, mbona sasa unataka kuwanyamazisha? Si uwaache watu wachambue mchele na pumba? Au una maana Watanzania ni vilaza plus na hawana akili hata chembe ya kujua mpaka wapate handlers kama wewe?
Shame on you dictator!
Siwezi jua mkuu. Sehemu nayoishi hatukutani vibarazani kupiga stories. We umechanjwa lakini?Tathimini katika eneo unaloishi wangapi wapo tayar na chanjo
nijibuRais Magufuli hahusiki na hii mada. Unakuwaje obsessed na marehemu wewe?
Sitakujibu kwa sababu haihusiani na mada mezani. Anzisha mada nitakujibu huko!nijibu
nijibuSitakujibu kwa sababu haihusiani na mada mezani. Anzisha mada nitakujibu huko!
Nikushauri tu uache kiherehere cha kujiona kama umeshafika mbinguni hivi. Bado upo duniani, na jifunze kuwa mnyenyekevu na persuasive badala ya kuwa dikteta!
imuombe gwajiboy au imkamate na kumsweka ndani!Jana nilimskiliza tena askofu Gwajima! Matamshi yake yanaungwa mkono na watu wengi sana kuliko hata watu waliopewa ubalozi wa Corona. Nashauri yafuatayo:
1. Serikali iongeze elimu juu ya chanjo
2. SerikaLi imuombe Gwajima abaki na msimamo wake lakini asiongelee chanjo
3. Itangaze chanjo kuwa lazima
4. Vyama vya upinzani vishirikishe hatua kwa hatua ilikuleta umoja katika kupambana na hili janga.
ÑB: Clip za Gwajima zinauzwa na warusha movie tsh 300 na unaambiwa mauzo ni makubwa. Jana kwenye kijiwe cha chai tuliwekewa hiyo video mpaka watu wakasahau kuangalia movie.
Hakuna hili neno kwenye kitabu cha Jacques Attali cha “Verbatim”. Hiyo ni fojari ya Warusi wenye msimamo mkali wa kidini waliokuwa wamepania kumtangaza Attali kama freemason mwenye misheni ya kutengeneza NWO kupitia gonjwa kuu (pandemic) na tiba/kinga yake.
Wewe utukuwa ni mchawi siyo bure!! Una kiu na damu ya watu!!Jana nilimskiliza tena askofu Gwajima! Matamshi yake yanaungwa mkono na watu wengi sana kuliko hata watu waliopewa ubalozi wa Corona. Nashauri yafuatayo:
1. Serikali iongeze elimu juu ya chanjo
2. SerikaLi imuombe Gwajima abaki na msimamo wake lakini asiongelee chanjo
3. Itangaze chanjo kuwa lazima
4. Vyama vya upinzani vishirikishe hatua kwa hatua ilikuleta umoja katika kupambana na hili janga.
ÑB: Clip za Gwajima zinauzwa na warusha movie tsh 300 na unaambiwa mauzo ni makubwa. Jana kwenye kijiwe cha chai tuliwekewa hiyo video mpaka watu wakasahau kuangalia movie.
Hivi kwa nini mnataka uhuru wa kuongea kuhusu chanjo ubinafisishwe na wachache? Hilo haliwezekaniki duniani pote!! Wala usidhani upinzani wa chanjo uko Tanzania tu!! Tena hapa kwetu chamtoto!! Angalia hapa!!Watanzania tatizo letu ni kutopima mambo kwa undani. Sijui ni kwa sababu ya elimu yetu ya kukariri hivyo tunashindwa kutafakari. Hili la kusema Gwajima hana kosa na anatumia haki yake ya uhuru wa kuongea wamelikariri watu wengi. Ukilichukulia kwa haraka bila kutafakari utaona ni kweli hana kosa. Lakini ukiingia kwa undani unakuta Gwajima ana nyadhifa mbili. 1. Kiongozi wa ''kiroho'' 2. Kiongozi wa wananchi i.e. mbunge. Hapo ndipo linakuja tatizo. Na tatizo ni mgongano wa maslahi. Suala la chanjo limepishapishwa na serikali ya CCM kwa kutumia wataalam. Inakuwaje tena mbunge wa CCM anapinga? Kama anataka kupinga basi ajiuzulu! Kuna kosa lilifanywa la kuruhusu kiongozi wa dini kuwa mbunge bila kujiuzulu wadhifa wake wa kuongoza dini. Alipopata ubunge alitakiwa aambiwe ajivue wadhifa wa kuongoza kanisa ili kuepusha mgongano wa maslahi. Hili lipo duniani kote. Kwa mfano kama mtu ni mkurugenzi na mmiliki wa kampuni kubwa, na akitaka kugombea nyadhifa za kisiasa basi huwajibika kujiuzu ule ukurugenzi ili kuepusha mgongano wa maslahi. Hili la Gwajima kuhusu chanjo ni moja ya mambo mengi tu yanaweza kuleta mgongano kama ataendelea kuwa kiongozi wa kiroho. Hebu chukulia mfano wa condomu. Msimamo wa seriakli ni kuwahimiza wananchi kutumia kondomu. Gwajima kama mbunge, hawezi kuunga mkono kwa sababu za kidini. Kwa kifupi anatakiwa achague moja. Ama kubaki na ubunge lakini ajiuzulu uongozi wa kiroho na abaki kuwa muumini wa kawaida au ajiuzulu ubunge ili aendelee na kupinga chanjo
Mashabiki hawalioni hilo....Akiwa upande wao wanafurahia akiwa kinyume chao wanagomba....huwezi kutumikia imani na siasa ukabaki salamaWatanzania tatizo letu ni kutopima mambo kwa undani. Sijui ni kwa sababu ya elimu yetu ya kukariri hivyo tunashindwa kutafakari. Hili la kusema Gwajima hana kosa na anatumia haki yake ya uhuru wa kuongea wamelikariri watu wengi. Ukilichukulia kwa haraka bila kutafakari utaona ni kweli hana kosa. Lakini ukiingia kwa undani unakuta Gwajima ana nyadhifa mbili. 1. Kiongozi wa ''kiroho'' 2. Kiongozi wa wananchi i.e. mbunge. Hapo ndipo linakuja tatizo. Na tatizo ni mgongano wa maslahi. Suala la chanjo limepishapishwa na serikali ya CCM kwa kutumia wataalam. Inakuwaje tena mbunge wa CCM anapinga? Kama anataka kupinga basi ajiuzulu! Kuna kosa lilifanywa la kuruhusu kiongozi wa dini kuwa mbunge bila kujiuzulu wadhifa wake wa kuongoza dini. Alipopata ubunge alitakiwa aambiwe ajivue wadhifa wa kuongoza kanisa ili kuepusha mgongano wa maslahi. Hili lipo duniani kote. Kwa mfano kama mtu ni mkurugenzi na mmiliki wa kampuni kubwa, na akitaka kugombea nyadhifa za kisiasa basi huwajibika kujiuzu ule ukurugenzi ili kuepusha mgongano wa maslahi. Hili la Gwajima kuhusu chanjo ni moja ya mambo mengi tu yanaweza kuleta mgongano kama ataendelea kuwa kiongozi wa kiroho. Hebu chukulia mfano wa condomu. Msimamo wa seriakli ni kuwahimiza wananchi kutumia kondomu. Gwajima kama mbunge, hawezi kuunga mkono kwa sababu za kidini. Kwa kifupi anatakiwa achague moja. Ama kubaki na ubunge lakini ajiuzulu uongozi wa kiroho na abaki kuwa muumini wa kawaida au ajiuzulu ubunge ili aendelee na kupinga chanjo
Hapa ndipo tunaona watu mliokwisha chanjwa mmeshavurugwa.Itangaze chanjo kuwa lazima
Kwa sababu ipi unafikiri chanjo inatakiwa kuwa ya lazima kwa kila mmoja??Jana nilimskiliza tena askofu Gwajima! Matamshi yake yanaungwa mkono na watu wengi sana kuliko hata watu waliopewa ubalozi wa Corona. Nashauri yafuatayo:
1. Serikali iongeze elimu juu ya chanjo
2. SerikaLi imuombe Gwajima abaki na msimamo wake lakini asiongelee chanjo
3. Itangaze chanjo kuwa lazima
4. Vyama vya upinzani vishirikishe hatua kwa hatua ilikuleta umoja katika kupambana na hili janga.
ÑB: Clip za Gwajima zinauzwa na warusha movie tsh 300 na unaambiwa mauzo ni makubwa. Jana kwenye kijiwe cha chai tuliwekewa hiyo video mpaka watu wakasahau kuangalia movie.
Tehe Tehe.... Huu ndio mwisho wako wa kufikiri??Serikali ingetoa tamko moja tu,kuwa Kama hujachanja na ikatokea ukaumwa Corona Basi hakuna hospitali itakayokupokea.Watu wangechagua wenyewe.Sema Gwajima Kuna sehemu anaisitiri serikali chanjo milioni moja Ni kidogo mno
Wamevurugwa Hatari.... Embu watuache.... Na Hatuchanjwi. Period.Hapa ndipo tunaona watu mliokwisha chanjwa mmeshavurugwa.
Kwa nini mnapenda tusiochanjwa tulazimishwe? Kama mnaogopa kufa au kuwa mazombi na chanjo yenu,ni kwa nini mlienda wenyewe kuchanjwa?
Korona inaua kama njaa inavyoua,ni kwa nini hamjailazimisha serikali imgawie kila mwananchi kiloba cha mchele na mafuta ili kuepuka njaa?
Badala yake mnalazimisha watu wachanjwe.
Wapo watu wengi hawana mahitaji ya kuwapeleka watoto wao shule,mbona hamuonyeshi umoja wa kuwasaidia kupeleka watoto wao shule
lakini hili la chanjo mnataka wote masikini na matajiri wachanjwe,wakati kwenda shule mtoto wa masikini anakaa chini wa tajiri anasoma shule za kulipia na kupelekwa na magari.
Tumeishazoea kuishi kwa makundi, Hata katika hili matajiri nendeni mkachanjwe na watoto wenu,sisi wengine tuachie tukajichanje na limau na jua la mwenyezi Mungu.
Si alikuwa amekamatwa,hivi alitokaje vilee?imuombe gwajiboy au imkamate na kumsweka ndani!
Wewe ukichanjwa, umepewa kinga inakuuma nini wengine wasipochanjwa?Jana nilimskiliza tena askofu Gwajima! Matamshi yake yanaungwa mkono na watu wengi sana kuliko hata watu waliopewa ubalozi wa Corona. Nashauri yafuatayo:
1. Serikali iongeze elimu juu ya chanjo
2. SerikaLi imuombe Gwajima abaki na msimamo wake lakini asiongelee chanjo
3. Itangaze chanjo kuwa lazima
4. Vyama vya upinzani vishirikishe hatua kwa hatua ilikuleta umoja katika kupambana na hili janga.
ÑB: Clip za Gwajima zinauzwa na warusha movie tsh 300 na unaambiwa mauzo ni makubwa. Jana kwenye kijiwe cha chai tuliwekewa hiyo video mpaka watu wakasahau kuangalia movie.