FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Sasa ni kwanini chanjo huwa zinafanyiwa majaribio ya usalama kwa miaka hadi 15 kabla hazijapewa ruhusa ya kugawiwa kwa watu? (Ukiacha emergency use authorization), Kwanini wasitest usalama wake kwa siku 40 tu?Mpaka sasa hakujawahi kutokea chanjo yenye kuleta side effects baada ya siku ya 40 baada ya kuchoma chanjo. Hivyo hivyo kwa chanjo ya uviko na kwa kuangalia viambata vilivyomo ndani ya chanjo za uviko, wataalamu hawategemei kama kutakua na side effects zitazoweza kutokea zaidi ya siku ya 40 baada ya kuchoma chanjo ya uviko.
Pia naomba andiko lolote la kitabibu linalosema sideeffects haziwezi kujitokeza baada ya siku 40 (longterm effects).