#COVID19 Serikali iongeze elimu dhidi ya chanjo ya COVID-19, imuombe Askofu Gwajima asiongelee chanjo

Sasa ni kwanini chanjo huwa zinafanyiwa majaribio ya usalama kwa miaka hadi 15 kabla hazijapewa ruhusa ya kugawiwa kwa watu? (Ukiacha emergency use authorization), Kwanini wasitest usalama wake kwa siku 40 tu?

Pia naomba andiko lolote la kitabibu linalosema sideeffects haziwezi kujitokeza baada ya siku 40 (longterm effects).
 
Hiyo habari ya kwamba safety inapimwa kwa miaka 15 umeitoa wapi?
 
Hiyo habari ya kwamba safety inapimwa kwa miaka 15 umeitoa wapi?
Hiyo si habari, ni utaratibu wa hatua za kuhakikisha usalama wa Chanjo. Ila tuseme hata sio miaka 15, tuseme usalama wa chanjo ni siku 40, naomba andiko lolote la kitabibu linalosema kwamba baada ya siku 40 chanjo haiwezi kuleta madhara. Mfano ukachomwa chanjo leo, baada ya mwaka ukazaa mtoto mwenye defect flani za kivinasaba, utasemaje baada ya siku 40 hapawezi kutokea madhara? Umetumia logic gani?
 
History shows this is a common pattern. When new vaccines are released, the unknown side effects, if any, show up within two months of vaccination. This history goes back to at least the 1960s with the oral polio vaccine and examples continue through today.

 
Again vaccine does nothing on your DNA
 
Yaani serikali impigie magoti mpotoshaji tena.
Sukuma ndani tu na ka saccos chake cha kupigia nacho fungilia mbali
 
Again vaccine does nothing on your DNA
Okay, tufanye haifanyi chochote kwenye DNA, nimetolea mfano tu, inaweza ikawa baada ya mwaka ukajikuta unashindwa kudungisha mwanamke ujauzito, na ikabainika ni matokeo ya hiyo chanjo, ni mfano tu, utasemaje kwamba madhara yanaishia siku 40? Umetoa wapi hiyo? Umetumia logic ipi kusema hivyo?
 
Hahahah, yaani wewe unaleta propaganda za madalali wa chanjo halafu unategemea mtu mwenye akili timamu aamini, mfano leo mtu akachomwa chanjo, halafu baada ya mwaka akajikuta anashindwa kudungisha mimba, au anashindwa kupata mimba, utasemaje sasa kwamba madhara ya chanjo huishia miezi miwili? Ni logic ipi imetumika hapo?
 
Kama umechanjwa utaambukizwaje UVIKO-19?

HIARI huwa haina masharti na endapo yeyote atabuni mbinu yoyote inayosababisha kuifanya kuwa na sharti na kukubali hiyo huitwa lazima bila ridhaa ambapo ni kosa la kuingilia faragha

LAZIMA ina masharti ambapo isiyezingatia hupata adhabu

TUME iliyoundwa kwa mamlaka tendaji ya Rais ilitamka hadharani na kwenye maandishi kwamba CHANJO ya UVIKO-19 ni HIARI

Kwanini mtu alazimishe kwa kisingizio cha kwamba asiyechanja hana HIARI ya kuambukiza wakati hata aliyechanja naye anaambukiza sawia?

Huu ni uonevu wa bayana kabisa
 
Wewe lijamaa ni lijinga sana, wakati hao waliokuletea chanjo wanafikiria kuacha kuchanjana kwa sababu herd immunity imegoma wewe unasisitiza iwe lazima, you must be sick.
 
40 days sijasema mimi, wamesema wataaalamu wa chanjo na sio chanjo ya korona tu chanjo ma nyingine pia... Kutokana na maswali yako nimesoma zaidi chap, nimeona sio siku 40 exactly bali ni siku chache kama chini ya miezi miwili. Unaweza kusoma na wewe mifano kwenye chanjo mbali mbali kwenye link hii:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…