Serikali iongeze umri wa kustaafu Kwa baadhi ya kada kutoka miaka 60 ya Sasa mpaka 65

kulagha nenga

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2026
Posts
690
Reaction score
1,375
Kutokana na uzoefu nilionao nimgundua kuwa Kuna watumishi ambao ni muhimu na wakistafu kupatikana mwingine wakuziba pengo ni ngumu, mfano watumishi wakada ya ualimu na afya. Naleta maelezo na ufafanuzi kama ifuatavyo

1. Huko vijijini ambako mazingiria ni magumu utamkuta nesi na tabibu ambao wamejitolea kufanya kazi hapo, wananchi wanafaidika na wanaridhika na utendaji kazi wao ,Sasa kimbembe kinakuja muda wakustaafu umefika anastaafu tabibu au nesi kuja kuletwa mwingine inachukua muda mrefu wakati huyo anaye staafu Bado ana nguvu.
Hali hii inawaumiza sana wananchi kwakukosa mtaalamu WA kuwahudumia waongezewe umri wa kustaafu ili waendelee kutoa huduma, Kuna sehemu zingine watumishi wakipangiwa hawataki kwenda wapo tayari hata kuacha kazi.

2. Walimu nao ni kada muhimu yakuangaliwa kwenye umri wa kustaafu, tunaenda shule huko vijijini ina wanafunzi mianne au miatano LAKINI walimu waloajiliwa na serikali wapo watatatu harafu Kuna walimu wanne wakujitolea, inafika wakati mwalimu anastaafu , kumbuka hayo maeneo hakuna watumishi wako tayari kwenda kufanya kazi Sasa kama hao waliopo wana nguvu na wamejitolea kufanya kazi hapo kwenye mazingiria magumu unamtafishaje wakati uwezekano wakum nileta mwalimu mwingine ni mgumu.

Mapendekezo yangu Kwa serikali yangu tukufu ni kuwa Kuna kada ni muhimu sana na wapo karibu nchi nzima katika maeneo mbalimbali ambayo mengine Yana mazingiria magumu ya kuishi na kufanya kazi kama wapo tayari kuendelea kufanya kazi waongezewe umri wa kustaafu kwasababu wakistafu kumpata mbadala inachukua muda mrefu wakati huo wananchi wanakuwa wanaumia Kwa kukosa huduma za elimu na afya.

Ingawa baadhi ya wadau watasema Kwa nini serikali isiajili LAKINI ukweli ni kwamba hata ikiajiri Bado Kuna watumishi hawako tayari kwenda kufanya kazi baadhi ya maeneo. Naomba tuwashikilie waliopo wakati tunatafuta mbadala
 
1. Waalimu hapana, Wastaafu tu at 60, Wakafundishe wajukuu.

2. Kada Ya Afya, Hawa wana umuhimu ndio, lkn hata tukiongeza kua 65yrs badi wata staafu na tatizo litakua lile lile, Cha muhimu replacement ziwe zinafanyika kabla muhusika hajaondoka ili kue na utaratibu wa kuwafanyia trainings wanao baki
 
Kutokana na uzoefu nilionao nimgundua kuwa Kuna watumishi ambao ni muhimu na wakistafu kupatikana mwingine wakuziba pengo ni ngumu, mfano watumishi wakada ya ualimu na afya. Naleta maelezo na ufafanuzi kama ifuatavyo

1. Huko vijijini ambako mazingiria ni magumu utamkuta nesi na tabibu ambao wamejitolea kufanya kazi hapo, wananchi wanafaidika na wanaridhika na utendaji kazi wao ,Sasa kimbembe kinakuja muda wakustaafu umefika anastaafu tabibu au nesi kuja kuletwa mwingine inachukua muda mrefu wakati huyo anaye staafu Bado ana nguvu.
Hali hii inawaumiza sana wananchi kwakukosa mtaalamu WA kuwahudumia waongezewe umri wa kustaafu ili waendelee kutoa huduma, Kuna sehemu zingine watumishi wakipangiwa hawataki kwenda wapo tayari hata kuacha kazi.

2. Walimu nao ni kada muhimu yakuangaliwa kwenye umri wa kustaafu, tunaenda shule huko vijijini ina wanafunzi mianne au miatano LAKINI walimu waloajiliwa na serikali wapo watatatu harafu Kuna walimu wanne wakujitolea, inafika wakati mwalimu anastaafu , kumbuka hayo maeneo hakuna watumishi wako tayari kwenda kufanya kazi Sasa kama hao waliopo wana nguvu na wamejitolea kufanya kazi hapo kwenye mazingiria magumu unamtafishaje wakati uwezekano wakum nileta mwalimu mwingine ni mgumu.

Mapendekezo yangu Kwa serikali yangu tukufu ni kuwa Kuna kada ni muhimu sana na wapo karibu nchi nzima katika maeneo mbalimbali ambayo mengine Yana mazingiria magumu ya kuishi na kufanya kazi kama wapo tayari kuendelea kufanya kazi waongezewe umri wa kustaafu kwasababu wakistafu kumpata mbadala inachukua muda mrefu wakati huo wananchi wanakuwa wanaumia Kwa kukosa huduma za elimu na afya.

Ingawa baadhi ya wadau watasema Kwa nini serikali isiajili LAKINI ukweli ni kwamba hata ikiajiri Bado Kuna watumishi hawako tayari kwenda kufanya kazi baadhi ya maeneo. Naomba tuwashikilie waliopo wakati tunatafuta mbadala
kufa uone kama pengo lako halitazibw faster sana .......una akili ndogo.
 
Mkuu Wakati Mimi nikijiaandaa kustafu at 55 ,maana 60 naiona ni mingi sana ,wewe unasema 65!?

Hakuna cha weledi kwenye ujenzi wa taifa ,kikubwa ni uwajibikiji wa wananchi na serikali.

Haya mawazo mabaya ya kuamini katika utendaji wa mtu binafsi badala ya mifumo iliyowekwa,ndo maana Kuna watu walianza kutetea JPM aongezewe muda badala ya kutetea uboreshwaji wa mifumo ili kufanya Kila raia awajibike
 
😂😂wee,usiambie upo serious mkuu??
Hapana, hapana kwa kweli…miaka 65 ni mingi mno…at least watumishi wastaafu na 45 yrs old…65?!!?😳
Umesema kweli. Miaka 60 Bado unapambana na wagonjwa sijui watoto wa shule.....
Tatizo ni utumwa wa mshahara kunawafanya watu waogope kustaafu
 
Kutokana na uzoefu nilionao nimgundua kuwa Kuna watumishi ambao ni muhimu na wakistafu kupatikana mwingine wakuziba pengo ni ngumu, mfano watumishi wakada ya ualimu na afya. Naleta maelezo na ufafanuzi kama ifuatavyo

1. Huko vijijini ambako mazingiria ni magumu utamkuta nesi na tabibu ambao wamejitolea kufanya kazi hapo, wananchi wanafaidika na wanaridhika na utendaji kazi wao ,Sasa kimbembe kinakuja muda wakustaafu umefika anastaafu tabibu au nesi kuja kuletwa mwingine inachukua muda mrefu wakati huyo anaye staafu Bado ana nguvu.
Hali hii inawaumiza sana wananchi kwakukosa mtaalamu WA kuwahudumia waongezewe umri wa kustaafu ili waendelee kutoa huduma, Kuna sehemu zingine watumishi wakipangiwa hawataki kwenda wapo tayari hata kuacha kazi.

2. Walimu nao ni kada muhimu yakuangaliwa kwenye umri wa kustaafu, tunaenda shule huko vijijini ina wanafunzi mianne au miatano LAKINI walimu waloajiliwa na serikali wapo watatatu harafu Kuna walimu wanne wakujitolea, inafika wakati mwalimu anastaafu , kumbuka hayo maeneo hakuna watumishi wako tayari kwenda kufanya kazi Sasa kama hao waliopo wana nguvu na wamejitolea kufanya kazi hapo kwenye mazingiria magumu unamtafishaje wakati uwezekano wakum nileta mwalimu mwingine ni mgumu.

Mapendekezo yangu Kwa serikali yangu tukufu ni kuwa Kuna kada ni muhimu sana na wapo karibu nchi nzima katika maeneo mbalimbali ambayo mengine Yana mazingiria magumu ya kuishi na kufanya kazi kama wapo tayari kuendelea kufanya kazi waongezewe umri wa kustaafu kwasababu wakistafu kumpata mbadala inachukua muda mrefu wakati huo wananchi wanakuwa wanaumia Kwa kukosa huduma za elimu na afya.

Ingawa baadhi ya wadau watasema Kwa nini serikali isiajili LAKINI ukweli ni kwamba hata ikiajiri Bado Kuna watumishi hawako tayari kwenda kufanya kazi baadhi ya maeneo. Naomba tuwashikilie waliopo wakati tunatafuta mbadala
umekaribia kustaafu nini hahahah

by the way ni hoja nzuri sana
kwa sisi afya tayari ilianza kutumika kitambo sisi ni 65
 
Kwa hayo maelezo yako uliyotoa solution yake sio kuongeza umri wa kustaafu.
Solution yake ni kupeleka wafanyakazi wengine wapya kwa wakati.
Kuna walimu na manesi maelfu hawana kazi inatakiwa waajiriwe wapelekwe huko
 
Mapendekezo yangu Kwa serikali ya

Kwa hayo maelezo yako uliyotoa solution yake sio kuongeza umri wa kustaafu.
Solution yake ni kupeleka wafanyakazi wengine wapya kwa wakati.
Kuna walimu na manesi maelfu hawana kazi inatakiwa waajiriwe wapelekwe huko
Hilo Nalo ni suruhisho shida kiongozi Kuna maenei hawataki kwenda yaani unakuta kzahanati inawatumishu wawili TU au shule iinawalimu watatu TU.
 
Hapana wao ambao wanakataa ni wale ambao bado hawajapigika mtaani waliosota ukiwapeleka wanaenda.
Solution nyingine inatakiwa serikali wafanye mbadilishano wa vituo vya kazi kila baada ya miaka kadhaa labda 2 au 3 unawahamisha unawapeleka sehemu nyingine na wa sehemu nyingine unawaleta hapo ili kuwe na usawa badala ya kuwaaacha sehemu moja kwa miaka zaidi ya 3 mtu lazima atasusia hiyo kazi akishapata unafuu wa maisha.
 
Back
Top Bottom