hahaah Chief kitambo sana sikuoni humuHeshima yako chief ,nafurahi kukuona .
Thanks for your presence
Ila hiyo ni exception ya Specialists tu nafikiri. Wengine ni 60 kama kawaida.umekaribia kustaafu nini hahahah
by the way ni hoja nzuri sana
kwa sisi afya tayari ilianza kutumika kitambo sisi ni 65
yeah uko sahihi kabisaIla hiyo ni exception ya Specialists tu nafikiri. Wengine ni 60 kama kawaida.
Yeah na watu wa afya ujuzi unakua mkubwa kwa zoefu mbalimbali, hivyo ni kama wine kadri inavyozidi kukaa inakua bora na tamu zaidiumekaribia kustaafu nini hahahah
by the way ni hoja nzuri sana
kwa sisi afya tayari ilianza kutumika kitambo sisi ni 65
Mkuu Wakati Mimi nikijiaandaa kustafu at 55 ,maana 60 naiona ni mingi sana ,wewe unasema 65!?
Hakuna cha weledi kwenye ujenzi wa taifa ,kikubwa ni uwajibikiji wa wananchi na serikali.
Haya mawazo mabaya ya kuamini katika utendaji wa mtu binafsi badala ya mifumo iliyowekwa,ndo maana Kuna watu walianza kutetea JPM aongezewe muda badala ya kutetea uboreshwaji wa mifumo ili kufanya Kila raia awajibike
Shule Gani hiyo,Mimi shuleni kwangu Kuna walimu 7 wa hesabu na wanafundisha kwa kugawana topiki wakati walimu wa kingereza wapo wawili tu.NIKUKUMBUSHE TU KUWA, TANZANIA INATATIZO KUBWA SANA LA UKOSEFU WA WAALIMU WA HESABU HASA KWA SHULE ZA MSINGI IKIFUATIWA NA SEKONDARI. KWA HIYO, UNGESEMA WAALIMU WA HESABU NDIO WAONGEZEWE MUDA; UNGEELEWEKA.
WAALIMU WA MASOMO YA ARTS WAPO KWA MAELFU, MTAANI HAWANA AJIRA
Nipo kaka sema ndiyo vile tunapishana mkuuhahaah Chief kitambo sana sikuoni humu
NakaziaNasema kucheleweshwa kustaafishwa ni mbaya sana,mtu anatakiwa ang’oke akiwa na nguvu
Waalimu wa hesabu shule za msingi waliopo ni takriban 20% ya mahitaji; huku masomo ya Arts wakiwa 90%+Shule Gani hiyo,Mimi shuleni kwangu Kuna walimu 7 wa hesabu na wanafundisha kwa kugawana topiki wakati walimu wa kingereza wapo wawili tu.
Tuache kukariri
Solution; serikaL kuboresha mazingira ya vijijini & pawepo na posho za watumish wa vijijini Na Kuajiri watumishi wengi zaidi..Waalimu wa hesabu shule za msingi waliopo ni takriban 20% ya mahitaji; huku masomo ya Arts wakiwa 90%+
na ndio sababu kila mwaka takribani 75 to 80% ya wanafunzi hupata alama sifuri kwenye Hesabu.
Nafikiri hiyo shule yako itakuwa ipo Iran au China ambapo Hesabu ni kipaumbele namba moja....
Solution; serikaL kuboresha mazingira ya vijijini & pawepo na posho za watumish wa vijijini Na Kuajiri watumishi wengi zaidi..
Pasipo kuboresha mazingira ya vijijini kazi bure, wataajiriwa kisha watakaa kwa muda na kuhama_Hizi Sifuri za Hesabu za kila mwaka, zikiwekewa mkakati wa kuajiri Waalimu wenye pass za Hesabu, kwa ajili ya kufundisha Hesabu; ndani ya miaka 3, zinafutika
Pasipo kuboresha mazingira ya vijijini kazi bure, wataajiriwa kisha watakaa kwa muda na kuhama_
Wakiajiri kwa mtindo huo itasaidia pakubwa, _ sasa mfumo wa sasa mtu toka sumbawanga anapangiwa musoma, ni ngumu kudumuKwa sasa kila wilaya ina vijana waliosoma kidato cha nne na kupata ufaulu wa kawaida.
Wanaweza kuajiri waalimu wa Hesabu wanaotokea maeneo yenye upungufu, mfano kwa huku kwetu Sumbawanga, watokee maeneo ya kwetu; wala hakuna atakayehama...aende wapi?
Mfano; waseme Vijana 40 kutoka sumbawanga vijijini wenye pass za hesabu...mbona wapo?