kulagha nenga
JF-Expert Member
- Jan 1, 2026
- 690
- 1,375
kufa uone kama pengo lako halitazibw faster sana .......una akili ndogo.Kutokana na uzoefu nilionao nimgundua kuwa Kuna watumishi ambao ni muhimu na wakistafu kupatikana mwingine wakuziba pengo ni ngumu, mfano watumishi wakada ya ualimu na afya. Naleta maelezo na ufafanuzi kama ifuatavyo
1. Huko vijijini ambako mazingiria ni magumu utamkuta nesi na tabibu ambao wamejitolea kufanya kazi hapo, wananchi wanafaidika na wanaridhika na utendaji kazi wao ,Sasa kimbembe kinakuja muda wakustaafu umefika anastaafu tabibu au nesi kuja kuletwa mwingine inachukua muda mrefu wakati huyo anaye staafu Bado ana nguvu.
Hali hii inawaumiza sana wananchi kwakukosa mtaalamu WA kuwahudumia waongezewe umri wa kustaafu ili waendelee kutoa huduma, Kuna sehemu zingine watumishi wakipangiwa hawataki kwenda wapo tayari hata kuacha kazi.
2. Walimu nao ni kada muhimu yakuangaliwa kwenye umri wa kustaafu, tunaenda shule huko vijijini ina wanafunzi mianne au miatano LAKINI walimu waloajiliwa na serikali wapo watatatu harafu Kuna walimu wanne wakujitolea, inafika wakati mwalimu anastaafu , kumbuka hayo maeneo hakuna watumishi wako tayari kwenda kufanya kazi Sasa kama hao waliopo wana nguvu na wamejitolea kufanya kazi hapo kwenye mazingiria magumu unamtafishaje wakati uwezekano wakum nileta mwalimu mwingine ni mgumu.
Mapendekezo yangu Kwa serikali yangu tukufu ni kuwa Kuna kada ni muhimu sana na wapo karibu nchi nzima katika maeneo mbalimbali ambayo mengine Yana mazingiria magumu ya kuishi na kufanya kazi kama wapo tayari kuendelea kufanya kazi waongezewe umri wa kustaafu kwasababu wakistafu kumpata mbadala inachukua muda mrefu wakati huo wananchi wanakuwa wanaumia Kwa kukosa huduma za elimu na afya.
Ingawa baadhi ya wadau watasema Kwa nini serikali isiajili LAKINI ukweli ni kwamba hata ikiajiri Bado Kuna watumishi hawako tayari kwenda kufanya kazi baadhi ya maeneo. Naomba tuwashikilie waliopo wakati tunatafuta mbadala
Mkuu Wakati Mimi nikijiaandaa kustafu at 55 ,maana 60 naiona ni mingi sana ,wewe unasema 65!?Kutokana na uzoefu nilionao nimgundua kuwa Kuna watumishi ambao ni muhimu na wakistafu kupatikana mwingine wakuziba pengo ni ngumu, mfano watumishi wakada ya ualimu na afya. Naleta maelezo na ufafanuzi kama ifuatavyo
1. Huko vijijini ambako mazingiria ni magumu utamkuta nesi na tabibu ambao wamejitolea kufanya kazi hapo, wananchi wanafaidika na wanaridhika na utendaji kazi wao ,Sasa kimbembe kinakuja muda wakustaafu umefika anastaafu tabibu au nesi kuja kuletwa mwingine inachukua muda mrefu wakati huyo anaye staafu Bado ana nguvu.
Hali hii inawaumiza sana wananchi kwakukosa mtaalamu WA kuwahudumia waongezewe umri wa kustaafu ili waendelee kutoa huduma, Kuna sehemu zingine watumishi wakipangiwa hawataki kwenda wapo tayari hata kuacha kazi.
2. Walimu nao ni kada muhimu yakuangaliwa kwenye umri wa kustaafu, tunaenda shule huko vijijini ina wanafunzi mianne au miatano LAKINI walimu waloajiliwa na serikali wapo watatatu harafu Kuna walimu wanne wakujitolea, inafika wakati mwalimu anastaafu , kumbuka hayo maeneo hakuna watumishi wako tayari kwenda kufanya kazi Sasa kama hao waliopo wana nguvu na wamejitolea kufanya kazi hapo kwenye mazingiria magumu unamtafishaje wakati uwezekano wakum nileta mwalimu mwingine ni mgumu.
Mapendekezo yangu Kwa serikali yangu tukufu ni kuwa Kuna kada ni muhimu sana na wapo karibu nchi nzima katika maeneo mbalimbali ambayo mengine Yana mazingiria magumu ya kuishi na kufanya kazi kama wapo tayari kuendelea kufanya kazi waongezewe umri wa kustaafu kwasababu wakistafu kumpata mbadala inachukua muda mrefu wakati huo wananchi wanakuwa wanaumia Kwa kukosa huduma za elimu na afya.
Ingawa baadhi ya wadau watasema Kwa nini serikali isiajili LAKINI ukweli ni kwamba hata ikiajiri Bado Kuna watumishi hawako tayari kwenda kufanya kazi baadhi ya maeneo. Naomba tuwashikilie waliopo wakati tunatafuta mbadala
Umesema kweli. Miaka 60 Bado unapambana na wagonjwa sijui watoto wa shule.....😂😂wee,usiambie upo serious mkuu??
Hapana, hapana kwa kweli…miaka 65 ni mingi mno…at least watumishi wastaafu na 45 yrs old…65?!!?😳
Hii ni mbaya sana! Watustaafishe mapema tufanye mambo mengine aiseeUmesema kweli. Miaka 60 Bado unapambana na wagonjwa sijui watoto wa shule.....
Tatizo ni utumwa wa mshahara kunawafanya watu waogope kustaafu
umekaribia kustaafu nini hahahahKutokana na uzoefu nilionao nimgundua kuwa Kuna watumishi ambao ni muhimu na wakistafu kupatikana mwingine wakuziba pengo ni ngumu, mfano watumishi wakada ya ualimu na afya. Naleta maelezo na ufafanuzi kama ifuatavyo
1. Huko vijijini ambako mazingiria ni magumu utamkuta nesi na tabibu ambao wamejitolea kufanya kazi hapo, wananchi wanafaidika na wanaridhika na utendaji kazi wao ,Sasa kimbembe kinakuja muda wakustaafu umefika anastaafu tabibu au nesi kuja kuletwa mwingine inachukua muda mrefu wakati huyo anaye staafu Bado ana nguvu.
Hali hii inawaumiza sana wananchi kwakukosa mtaalamu WA kuwahudumia waongezewe umri wa kustaafu ili waendelee kutoa huduma, Kuna sehemu zingine watumishi wakipangiwa hawataki kwenda wapo tayari hata kuacha kazi.
2. Walimu nao ni kada muhimu yakuangaliwa kwenye umri wa kustaafu, tunaenda shule huko vijijini ina wanafunzi mianne au miatano LAKINI walimu waloajiliwa na serikali wapo watatatu harafu Kuna walimu wanne wakujitolea, inafika wakati mwalimu anastaafu , kumbuka hayo maeneo hakuna watumishi wako tayari kwenda kufanya kazi Sasa kama hao waliopo wana nguvu na wamejitolea kufanya kazi hapo kwenye mazingiria magumu unamtafishaje wakati uwezekano wakum nileta mwalimu mwingine ni mgumu.
Mapendekezo yangu Kwa serikali yangu tukufu ni kuwa Kuna kada ni muhimu sana na wapo karibu nchi nzima katika maeneo mbalimbali ambayo mengine Yana mazingiria magumu ya kuishi na kufanya kazi kama wapo tayari kuendelea kufanya kazi waongezewe umri wa kustaafu kwasababu wakistafu kumpata mbadala inachukua muda mrefu wakati huo wananchi wanakuwa wanaumia Kwa kukosa huduma za elimu na afya.
Ingawa baadhi ya wadau watasema Kwa nini serikali isiajili LAKINI ukweli ni kwamba hata ikiajiri Bado Kuna watumishi hawako tayari kwenda kufanya kazi baadhi ya maeneo. Naomba tuwashikilie waliopo wakati tunatafuta mbadala
Ni mbaya kama huna maandalizi.Hii ni mbaya sana! Watustaafishe mapema tufanye mambo mengine aisee
Nasema kucheleweshwa kustaafishwa ni mbaya sana,mtu anatakiwa ang’oke akiwa na nguvuNi mbaya kama huna maandalizi.
Hayo mambo Mengine yaanze mapema mpka unafika muda wa kustaafu tayari mizizi ya Hela imekomaa.
NimekuelewaNasema kucheleweshwa kustaafishwa ni mbaya sana,mtu anatakiwa ang’oke akiwa na nguvu
Nasema kucheleweshwa kustaafishwa ni mbaya sana,mtu anatakiwa ang’oke akiwa na nguvu
Kwa hayo maelezo yako uliyotoa solution yake sio kuongeza umri wa kustaafu.Kutokana na uzoefu nilionao nimgundua kuwa Kuna watumishi ambao ni muhimu na wakistafu kupatikana mwingine wakuziba pengo ni ngumu, mfano watumishi wakada ya ualimu na afya. Naleta maelezo na ufafanuzi kama ifuatavyo
1. Huko vijijini ambako mazingiria ni magumu utamkuta nesi na tabibu ambao wamejitolea kufanya kazi hapo, wananchi wanafaidika na wanaridhika na utendaji kazi wao ,Sasa kimbembe kinakuja muda wakustaafu umefika anastaafu tabibu au nesi kuja kuletwa mwingine inachukua muda mrefu wakati huyo anaye staafu Bado ana nguvu.
Hali hii inawaumiza sana wananchi kwakukosa mtaalamu WA kuwahudumia waongezewe umri wa kustaafu ili waendelee kutoa huduma, Kuna sehemu zingine watumishi wakipangiwa hawataki kwenda wapo tayari hata kuacha kazi.
2. Walimu nao ni kada muhimu yakuangaliwa kwenye umri wa kustaafu, tunaenda shule huko vijijini ina wanafunzi mianne au miatano LAKINI walimu waloajiliwa na serikali wapo watatatu harafu Kuna walimu wanne wakujitolea, inafika wakati mwalimu anastaafu , kumbuka hayo maeneo hakuna watumishi wako tayari kwenda kufanya kazi Sasa kama hao waliopo wana nguvu na wamejitolea kufanya kazi hapo kwenye mazingiria magumu unamtafishaje wakati uwezekano wakum nileta mwalimu mwingine ni mgumu.
Mapendekezo yangu Kwa serikali yangu tukufu ni kuwa Kuna kada ni muhimu sana na wapo karibu nchi nzima katika maeneo mbalimbali ambayo mengine Yana mazingiria magumu ya kuishi na kufanya kazi kama wapo tayari kuendelea kufanya kazi waongezewe umri wa kustaafu kwasababu wakistafu kumpata mbadala inachukua muda mrefu wakati huo wananchi wanakuwa wanaumia Kwa kukosa huduma za elimu na afya.
Ingawa baadhi ya wadau watasema Kwa nini serikali isiajili LAKINI ukweli ni kwamba hata ikiajiri Bado Kuna watumishi hawako tayari kwenda kufanya kazi baadhi ya maeneo. Naomba tuwashikilie waliopo wakati tunatafuta mbadala
😂😂wee,usiambie upo serious mkuu??
Hapana, hapana kwa kweli…miaka 65 ni mingi mno…at least watumishi wastaafu na 45 yrs old…65?!!?😳
Kutokana na uzoefu nilionao nimgundua kuwa Kuna watumishi ambao ni muhimu na wakistafu kupatikana mwingine wakuziba pengo ni ngumu, mfano watumishi wakada ya ualimu na afya. Naleta maelezo na ufafanuzi kama ifuatavyo
1. Huko vijijini ambako mazingiria ni magumu utamkuta nesi na tabibu ambao wamejitolea kufanya kazi hapo, wananchi wanafaidika na wanaridhika na utendaji kazi wao ,Sasa kimbembe kinakuja muda wakustaafu umefika anastaafu tabibu au nesi kuja kuletwa mwingine inachukua muda mrefu wakati huyo anaye staafu Bado ana nguvu.
Hali hii inawaumiza sana wananchi kwakukosa mtaalamu WA kuwahudumia waongezewe umri wa kustaafu ili waendelee kutoa huduma, Kuna sehemu zingine watumishi wakipangiwa hawataki kwenda wapo tayari hata kuacha kazi.
2. Walimu nao ni kada muhimu yakuangaliwa kwenye umri wa kustaafu, tunaenda shule huko vijijini ina wanafunzi mianne au miatano LAKINI walimu waloajiliwa na serikali wapo watatatu harafu Kuna walimu wanne wakujitolea, inafika wakati mwalimu anastaafu , kumbuka hayo maeneo hakuna watumishi wako tayari kwenda kufanya kazi Sasa kama hao waliopo wana nguvu na wamejitolea kufanya kazi hapo kwenye mazingiria magumu unamtafishaje wakati uwezekano wakum nileta mwalimu mwingine ni mgumu.
Mapendekezo yangu Kwa serikali ya
Hilo Nalo ni suruhisho shida kiongozi Kuna maenei hawataki kwenda yaani unakuta kzahanati inawatumishu wawili TU au shule iinawalimu watatu TU.Kwa hayo maelezo yako uliyotoa solution yake sio kuongeza umri wa kustaafu.
Solution yake ni kupeleka wafanyakazi wengine wapya kwa wakati.
Kuna walimu na manesi maelfu hawana kazi inatakiwa waajiriwe wapelekwe huko
Anakuwa amefanya ,astaafu mapema ili hivyo alivyowekeza avisimamie vyema mkuuYaani kama mtu hajafanya kitu 30years ya utumishi wake, Hiyo 5 ndo italeta differrence gani?
Heshima yako chief ,nafurahi kukuona .umekaribia kustaafu nini hahahah
by the way ni hoja nzuri sana
kwa sisi afya tayari ilianza kutumika kitambo sisi ni 65
Hapana wao ambao wanakataa ni wale ambao bado hawajapigika mtaani waliosota ukiwapeleka wanaenda.Hilo Nalo ni suruhisho shida kiongozi Kuna maenei hawataki kwenda yaani unakuta kzahanati inawatumishu wawili TU au shule iinawalimu watatu TU.