mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Duh! Sisi tuliliambulia kulionaMkuu nimetoa tu ushauri,hao TAFICO hata sijawahi kuwasikia
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Sisi tuliliambulia kulionaMkuu nimetoa tu ushauri,hao TAFICO hata sijawahi kuwasikia
Kuna wafanyabiashara wanao nunua hapa na ku export njeSorry wanajamvi Tueleweshane kwanza jamani
Hii biashara ya samaki toka mwanza inafanyikaje!
Wateja toka nje ya Tz wanakuja mwanza kununua na hayo mashirika ya ndege yanakodiwa na hao wafanyabiashara?
Au wafanyabiashara waTz (companies) wanakodi hizo ndege kwenda kuuza huko ulaya?
Au serikali ndo inahusika na hii biashara
Utaona kwamba ulifanikiwa kula fillet kwenye washa ya wazungu, fikiria huyu mwananchi mnyonge ambaye huenda sokoni kujipatia kitoweo kwa ajili ya familia yake ataishia kuambulia dagaa tu kwa sababu hataweza kumudu bei ya sangara au sato kwa sababu wengi wanakuwa processed kwa ajili ya soko la ulaya.Ziwa victoria haikuwahi kuwa na sangara, sangara ilipakdikizwa toka ulaya nadhan ni Norway, hivyo wanachukua kilicho chao
Viwanda vya sangara vilianzia kenya na wengi toka mara waliuza huko kupitia maji na nchi ilikuwa hainufaiki zaidi ya vibali vya wauzaji yaan pasport hiyo ni miaka ya 90 then ikajengwa Mazara pale Musoma daima wahindi wanapeleka kwa magari hadi kenya kisha husafirisha hivyo tz hatujawahi kuexport hii ndiyo mara ya kwanza hivyo lazima tufurahie kwani tunawaza kununua ndege ya mizigo
Tanzania fileti zipo chache nakumbuka mm nilikula 2007 kwenye warsha ya wazungu mjini Musoma
Ebu zirafuteni kwenye malls kubwa
Tuko busy kuivuruga CHADEMA, hayo mengine sio muhimu kwa sasa.
Tatizo kubwa kwa nchi kwa sasa ni Mbowe na si kitu kingine.Hata corona sio tatizo kama alivyo Mbowe.
kama kweli tunawajali wanyonge hizo samaki ziende masoko ya watanzania zikauzwe bei ndogo
hivi lile agizo la kuwauzia nyama ya kifimbo watanzania lilitekelezwa ?
mwambie mama yako aache kwanza kumpa kila tahira chombo chake cha katikati ya Miguu maana matokeo yake ni kuzaa harama kama weweMwambie baba yako akanunue chombo Cha uvuvi kwanza alafu aanze yeye kuuza Bei Rais kwa watanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa taarifa mkuu,sasa kumbe nilichoshauri kimewahi kufanyika lakini kuna watu hapo juu wameniletea kejeli na matusi utadhani kwamba nimeshauri kitu cha kipuuzi,kama kina Nyerere waliwahi kufanya na kika fail basi nadhani kuna haja ya kurudisha na kufanya maboreshoTanzania Fishing Corporation (TAFICO), lilikuwa ni shirika la uvuvi, moja ya mashirika ya Mwalimu yaliyokufa.
Ilikuwa kujua wale wanaopanda ndege na waziri anaenda kushuhudiaKuna wafanyabiashara wanao nunua hapa na ku export nje
Na Kuna wafanyabiashara wananunua huko na kuuza Ndani Sasa hapo walengwa ni wapi
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inafanya watu makini waache kutoa michango wanabaki kuwa wasomaji tu maana unaweza kushauri kitu badala mtu aje na hoja akupinge yeye anakuja na tusiNi shida sana, wanafikiri kila mtu yupo hapa kujifungamanisha na mambo ya ushabiki wa vyama...
Kula mapanki mkuu "ssm mbele kwa mbelee " 😜😜Hivi karibuni hii biashara ya kusafirisha minofu kutoka kanda ya ziwa kwa kutumia mashirika kama Rwanda Air na leo tena nimesikia Ethiopian airways imerudi kwa kasi na kimekuwa kama kitu cha kujivunia hadi waziri anaenda kushuhudia.
Wengi humu tunajua watoto wetu wamedumaa kwa zaidi ya asilimia 35 na tunaelewa samaki wana protini nyingi na madini muhimu kwa ajili ya mama wajawazito na ukuaji wa ubongo wa watoto.
Kwa nini kama watu wameona soko la minofu Ulaya wasifuge hao samaki kibiashara kwenye mabwawa kuliko kushindania hawa samaki wachache wanaovuliwa kwenye maziwa na mito yetu?
Yaani wananchi wetu washindane na wanunuaji wa Ulaya, kweli? naamini Rais ataliona hili kwa manufaa mapana ya vizazi vya watanzania.
acha tu upotoshe maana hamna namna kuna mikoa ukienda watu masikini wanakula nyama mwanzo mwisho mpaka kero.una uhakika gogogo na hao samaki wengine wapo masoko yote Tanzania ? mimi nimeishi zaidi ya mikoa 5 wananchi wengi wanaoenda sokoni huenda kununua mboga za majani na dagaa tu,na hata wachache wanaonunua nyama na samaki hulia bei ni kubwa
Mkuu kwanini nipotoshe ? nimesema tu nilichokiona,najua faida hizo,lakini naomba nikuulize swali ,je ki Afya inaruhusiwa mtu kula dagaa,mchicha,kabeji,chinese kila siku miaka na miaka bila kuwa anakula na mboga zingine mfano nyama nk ? yani mtu awe anapata virutubisho vya mboga hizo za majani tu na samaki aina ya dagaa tu bila hata matunda ? mkuu ukinijibu nitashukuruacha tu upotoshe maana hamna namna kuna mikoa ukienda watu masikini wanakula nyama mwanzo mwisho mpaka kero.
alafu hivi unajua faida za kula mboga za majani na dagaa.unajua dagaa ina asilimia ngapi za protini ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Walishe wanao dagaa na kauzu au hata nguru. Nao ni samaki pia.
Mvuvi aache kwenda kuuza kilo kwa dola 100 aje akuuzie masikini jamba kunuka kilo 10,000/=????Hivi karibuni hii biashara ya kusafirisha minofu kutoka kanda ya ziwa kwa kutumia mashirika kama Rwanda Air na leo tena nimesikia Ethiopian airways imerudi kwa kasi na kimekuwa kama kitu cha kujivunia hadi waziri anaenda kushuhudia.
Wengi humu tunajua watoto wetu wamedumaa kwa zaidi ya asilimia 35 na tunaelewa samaki wana protini nyingi na madini muhimu kwa ajili ya mama wajawazito na ukuaji wa ubongo wa watoto.
Kwa nini kama watu wameona soko la minofu Ulaya wasifuge hao samaki kibiashara kwenye mabwawa kuliko kushindania hawa samaki wachache wanaovuliwa kwenye maziwa na mito yetu?
Yaani wananchi wetu washindane na wanunuaji wa Ulaya, kweli? naamini Rais ataliona hili kwa manufaa mapana ya vizazi vya watanzania.
Hiyo biashara ya minofu ya samaki ipo miaka mingi tu na itaendelea kuwepo, inshu sio kuwa eti nao wafuge, je wewe mbona export ni ndogo kuliko import, kwanini hizo bidhaa usizitengeneze mwenyewe, sukari tu kila mwaka mnalia hadi ikaanza kuingizwa ndio mnapata unafuu!!! Samaki wanaoenda ulaya ni sangara tu, mbona kuna aina sana ya samaki wanaovuliwa?!! Kudumaa kwa watoto Tz, wala sio inshu ya eti samaki kwenda nje, ni mambo mengi sana, yakiwemo elimu na umasikini ktk jamii. Hayo maziwa ya ng'ombe kila sehemu yapo ni wangapi ambao wanakunywa, yaani wastani wa unywaji maziwa kwa mtanzania kwa mwaka hata lita 5,hazifiki!!!kuna nini hapo?!!!Hivi karibuni hii biashara ya kusafirisha minofu kutoka kanda ya ziwa kwa kutumia mashirika kama Rwanda Air na leo tena nimesikia Ethiopian airways imerudi kwa kasi na kimekuwa kama kitu cha kujivunia hadi waziri anaenda kushuhudia.
Wengi humu tunajua watoto wetu wamedumaa kwa zaidi ya asilimia 35 na tunaelewa samaki wana protini nyingi na madini muhimu kwa ajili ya mama wajawazito na ukuaji wa ubongo wa watoto.
Kwa nini kama watu wameona soko la minofu Ulaya wasifuge hao samaki kibiashara kwenye mabwawa kuliko kushindania hawa samaki wachache wanaovuliwa kwenye maziwa na mito yetu?
Yaani wananchi wetu washindane na wanunuaji wa Ulaya, kweli? naamini Rais ataliona hili kwa manufaa mapana ya vizazi vya watanzania.
Hivi unajua samaki wanaovuliwa ziwa victoria ni 20% tuu ya samaki waliomo kwenye ziwa
Unafahamu samaki wanaovuliwa ziwa Tanganyika ni 8% tuu ya samaki waliomo kwenye ziwa
Na unafaham samaki wanaovuliwa kwenye Pwani zetu za bahari ya Hindi ni 0.8% ya samaki waliopo eneo hilo
Kwahiyo mtoa mada pambania serikal ifanye uwekezaji mkubwa kwenye maeneo hayo ili samaki hao wato angalau tuvune samaki 60% ya waliopo kwenye maeneo hayo nauhakika tutalisha samaki dunia nzima
Fanya utafiti kabla ya kuweka bango.
Sent using Jamii Forums mobile app