Sisi tuna vitu vingi twaweza kula lakini hatuna vitu vingi vya kutuletea fedha za kigeni so tukipata bidhaa ya kuuza nje tuuze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wazabanga ngoja nikutajie mboga ambazo zinaliwa kwa kubadirisha mara kwa mara na watu wa hali ya chini.Mkuu kwanini nipotoshe ? nimesema tu nilichokiona,najua faida hizo,lakini naomba nikuulize swali ,je ki Afya inaruhusiwa mtu kula dagaa,mchicha,kabeji,chinese kila siku miaka na miaka bila kuwa anakula na mboga zingine mfano nyama nk ? yani mtu awe anapata virutubisho vya mboga hizo za majani tu na samaki aina ya dagaa tu bila hata matunda ? mkuu ukinijibu nitashukuru
basi mkuu itakua mimi niliowaona ni tofauti au tuseme Tz ni kubwa sana sehemu zinatofautiana chiefwazabanga ngoja nikutajie mboga ambazo zinaliwa kwa kubadirisha mara kwa mara na watu wa hali ya chini.
nyama.
maharage.
samaki.
mboga zoote za majani(mboga za majani zinafanana bei).
dagaa.n.k
utumbo.
nenda sasa hivi maeneo wanayokaa watu wa hali za chiini kabisa utakuta kuna mabucha zaidi ya kumi na kila asubui wanaleta nyama mpya buchani.
tanzania ni masikini sawa lkn sio kiivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
yap pia hiyo ni point.tz ni kubwa sana.basi mkuu itakua mimi niliowaona ni tofauti au tuseme Tz ni kubwa sana sehemu zinatofautiana chief
mwambie mama yako aache kwanza kumpa kila tahira chombo chake cha katikati ya Miguu maana matokeo yake ni kuzaa harama kama wewe
kwahiyo mkuu haya Maisha tunayoishi tunaona ni magumu kuna watu kumbe wanayatamani wao wanaona ni mazuri sana ?, kuna mtu pia humu aliwahi kuniambia kwamba huko nje Mb za internet ni bei sana yani huku tunafaidiyap pia hiyo ni point.tz ni kubwa sana.
ila nikwambie kitu wazabanga ukilinganisha na maisha ya masikini wa nchi jirani tanzania tuna nafuu mara mia nakwambia.
izi nchi jirani nimegusa gusa ila tafuta watu tofauti kwa nyakati tofauti ambao wanauzoefu wa kwenda izi nchi za jirani watakupa majibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kwenye upande wa mawasiliano hakuna kama tz.tuna unafuu wa vifurushi pia na muda wa ku expayer vifurushi.kwahiyo mkuu haya Maisha tunayoishi tunaona ni magumu kuna watu kumbe wanayatamani wao wanaona ni mazuri sana ?, kuna mtu pia humu aliwahi kuniambia kwamba huko nje Mb za internet ni bei sana yani huku tunafaidi
mbinu ipi hiyo mkuu ?kweli kwenye upande wa mawasiliano hakuna kama tz.tuna unafuu wa vifurushi pia na muda wa ku expayer vifurushi.
tanzania ni rahisi sana tena sana kwa masikini kumiliki ardhi.tanzania ardhi unapata mpaka chini ya milioni.
kuna nchi za jirani masikini hana nafasi ya kumiliki ardhi.
nakupa mbinu ambayo best yangu alitumia na akapata mkopo bank wa milioni 15 kwa kumiliki ardhi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muongo huyobasi mkuu itakua mimi niliowaona ni tofauti au tuseme Tz ni kubwa sana sehemu zinatofautiana chief
Kuna furu, dagaa, nembe, gogogo, ngerengere, changu n.k, hawa wanatutosha!
Agustino87, siyo asli katika ziwa victoria
Mkuu hao samaki huwa unawaona kwenye masoko yetu, na kwa tabia za ulaji za watoto unaweza kumlisha mtoto wa chini ya miaka 5 dagaa na hivyo visamaki vilivyojaa miiba, labda kama unatafuta kumuua huyo mtoto...Kuna furu, dagaa, nembe, gogogo, ngerengere, changu n.k, hawa wanatutosha!
Umeambiwa kazi pekee zilizopo hapa nchini ni kuuza minofu ulaya, hizi ndo akili mgando na unaweza kukuta wewe ni miongoni mwa matunda ya udumavu wa ubongo uliotokana na kukosa kitoweo cha samaki wakati wa ukuaji wako...Alafu hivyo viwanda Vikifungwa Utawalipa hao wafanya kazi wewe
Utawawekea ugali mezani
Utawalipia watoto wao Ada
Utalipa Kodi Ya nchi wewe
Wacha Ujinga
Kwa tabia za ulaji za watoto, unaweza kumlisha mtoto wa chini ya miaka 5 dagaa kweli? hawa wa chini ya miaka 18 wenyewe kula dagaa ni mtihani. Kwa hiyo mmeamua kupeleka minofu ulaya ili mjihalalishie kula dagaa, perege, furu, nembe, gogogo, pale morogoro huwa kuna visamaki vidogo huwa vimejazwa chumvi nimesahau jina lake. Hii biashara inabaki kuwanufaisha wafanyabiashara hasa wahindi wenye viwanda kule mwanza, haina maslahi kwa ustawi wa afya za wananchi....hasa watoto na akina mama wajawazito..Kama unazungumzia suala la nutrition, dagaa ni bora kuliko sangala au samaki wengine wakubwa katika ziwa Victoria
ingawaje radha ya mdomoni ni vise versa. Hivyo siyo vibaya kufanya biashara ya kigeni ya sangala.