Serikali ipige marufuku biashara ya minofu ya samaki kwenda Ulaya

Kuna wafanyabiashara wanao nunua hapa na ku export nje
Na Kuna wafanyabiashara wananunua huko na kuuza Ndani Sasa hapo walengwa ni wapi

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaona kwamba ulifanikiwa kula fillet kwenye washa ya wazungu, fikiria huyu mwananchi mnyonge ambaye huenda sokoni kujipatia kitoweo kwa ajili ya familia yake ataishia kuambulia dagaa tu kwa sababu hataweza kumudu bei ya sangara au sato kwa sababu wengi wanakuwa processed kwa ajili ya soko la ulaya.
 
Walishe wanao dagaa na kauzu au hata nguru. Nao ni samaki pia.
 
Tanzania Fishing Corporation (TAFICO), lilikuwa ni shirika la uvuvi, moja ya mashirika ya Mwalimu yaliyokufa.
Ahsante kwa taarifa mkuu,sasa kumbe nilichoshauri kimewahi kufanyika lakini kuna watu hapo juu wameniletea kejeli na matusi utadhani kwamba nimeshauri kitu cha kipuuzi,kama kina Nyerere waliwahi kufanya na kika fail basi nadhani kuna haja ya kurudisha na kufanya maboresho
 
Ni shida sana, wanafikiri kila mtu yupo hapa kujifungamanisha na mambo ya ushabiki wa vyama...
Hii inafanya watu makini waache kutoa michango wanabaki kuwa wasomaji tu maana unaweza kushauri kitu badala mtu aje na hoja akupinge yeye anakuja na tusi
 
Kula mapanki mkuu "ssm mbele kwa mbelee " 😜😜
 
una uhakika gogogo na hao samaki wengine wapo masoko yote Tanzania ? mimi nimeishi zaidi ya mikoa 5 wananchi wengi wanaoenda sokoni huenda kununua mboga za majani na dagaa tu,na hata wachache wanaonunua nyama na samaki hulia bei ni kubwa
acha tu upotoshe maana hamna namna kuna mikoa ukienda watu masikini wanakula nyama mwanzo mwisho mpaka kero.
alafu hivi unajua faida za kula mboga za majani na dagaa.unajua dagaa ina asilimia ngapi za protini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha tu upotoshe maana hamna namna kuna mikoa ukienda watu masikini wanakula nyama mwanzo mwisho mpaka kero.
alafu hivi unajua faida za kula mboga za majani na dagaa.unajua dagaa ina asilimia ngapi za protini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwanini nipotoshe ? nimesema tu nilichokiona,najua faida hizo,lakini naomba nikuulize swali ,je ki Afya inaruhusiwa mtu kula dagaa,mchicha,kabeji,chinese kila siku miaka na miaka bila kuwa anakula na mboga zingine mfano nyama nk ? yani mtu awe anapata virutubisho vya mboga hizo za majani tu na samaki aina ya dagaa tu bila hata matunda ? mkuu ukinijibu nitashukuru
 
Mvuvi aache kwenda kuuza kilo kwa dola 100 aje akuuzie masikini jamba kunuka kilo 10,000/=????

Kavue mwenyewe ukalishe familia yako ikue....stop this nonsense!
 
Hivi hizi akili gani,mtu kama hawezi kununulia samaki familia yake hiyo ni tatizo la nani?samaki sokoni wapo kilo ya sangara ni 7000-10000,inatofautiana kidogo na bei ya nyama,mtakuja kusema hata nyama isiuzwe ,baadaye mtasema hata dagaa wasiuzwe ,achane kulalamika kila kitu
 
Hiyo biashara ya minofu ya samaki ipo miaka mingi tu na itaendelea kuwepo, inshu sio kuwa eti nao wafuge, je wewe mbona export ni ndogo kuliko import, kwanini hizo bidhaa usizitengeneze mwenyewe, sukari tu kila mwaka mnalia hadi ikaanza kuingizwa ndio mnapata unafuu!!! Samaki wanaoenda ulaya ni sangara tu, mbona kuna aina sana ya samaki wanaovuliwa?!! Kudumaa kwa watoto Tz, wala sio inshu ya eti samaki kwenda nje, ni mambo mengi sana, yakiwemo elimu na umasikini ktk jamii. Hayo maziwa ya ng'ombe kila sehemu yapo ni wangapi ambao wanakunywa, yaani wastani wa unywaji maziwa kwa mtanzania kwa mwaka hata lita 5,hazifiki!!!kuna nini hapo?!!!
 

Naomba source ya data zako
 
Mi nilipo soma huu Uzi nikashangaa hivi kweli ni jambo baya kuuza samaki nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…