Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Hii promo imepenya.Serikali ipige marufuku vipindi vya michezo redioni asubuhi. Haiwezekani asubuhi muda wa kazi ndio watu waaanza kuchambua michezo toka sa 2 asubuhi hadi sa 5, watu watafanya kazi sa ngapi? Muda wa kufanya shughuli za uzalishaji ndio watu wanasikilizisha watu vipindi visivyo na kichwa wala migui na mbaya zaidi 90% ya huo uchambuzi ni mpira wa ulaya, wachezaji wa ulaya, sijui mambo gani ya hovyo hovyo, watu watafanya kazi sa ngapi?
Serikali iweke taratibu ya hizi programs za kwenye redio stations, vipindi vyote vya michezo viwe jioni au usiku, sio asubuhi.
Serikali iingilie kati radio station programs zisizo na maana.
asiyeenda kazini kwasababu ya kusikiliza uchambuzi wa habari za michezo atamalizana na HR wa ofisi husika wewe endelea na shuhuli zako acha unaa.Serikali ipige marufuku vipindi vya michezo redioni asubuhi. Haiwezekani asubuhi muda wa kazi ndio watu waaanza kuchambua michezo toka sa 2 asubuhi hadi sa 5, watu watafanya kazi sa ngapi? Muda wa kufanya shughuli za uzalishaji ndio watu wanasikilizisha watu vipindi visivyo na kichwa wala migui na mbaya zaidi 90% ya huo uchambuzi ni mpira wa ulaya, wachezaji wa ulaya, sijui mambo gani ya hovyo hovyo, watu watafanya kazi sa ngapi?
Serikali iweke taratibu ya hizi programs za kwenye redio stations, vipindi vyote vya michezo viwe jioni au usiku, sio asubuhi.
Serikali iingilie kati radio station programs zisizo na maana.
Yani wee jamaa hutulii. Ngoja shemeji yako akufukuze urudi kwa kaka yako uswaz choo passportsizze hamna bundle. Dada yako kaxhoka kukukingia kifuaNimeandika nimefuta, nikaandika nikafuta, nikaandika tena nikafuta.
Nisamehe kwa niliyoandika na kufuta.
Jitibu kwanza Bawasili ndipo uje na hoja zako zisizo na mashiko.Yani wee jamaa hutulii. Ngoja shemeji yako akufukuze urudi kwa kaka yako uswaz choo passportsizze hamna bundle. Dada yako kaxhoka kukukingia kifua