Mimi nafanya kazi kasino, ni mlinzi, natoka asubuhi, usiku nipo busy , naskiza michezo asubuhi.
Mke wangu ni daktari, akitoka shift anaskiza michezo asubuhi.
MKWE WANGU NI dereva wa mhindi, anaskiza michezo kwenye gari.
Polepole hana kazi maalum anaskiza michezo asubuhi.
Baba mkwe wangu anafanya kazi za kubet na kucheza kamari, anatoka jioni saa kumi anarudi saa sita usiku akiwa amekula hela nyingi tu, anaskiza michzo asubuhi.
Mahakamani kabla ya kesi kuanza tunaanza na michezo.
JIWE-sipangiwi.
sisi: HATUPANGIWI