Serikali ipige marufuku vipindi vya michezo asubuhi redioni

Serikali ipige marufuku vipindi vya michezo asubuhi redioni

Hata wakati wa vita ya Kagera michezo na burudani havikusimamishwa. Nchi ingekua inaongozwa na watu wenye akili na fikra kama za mleta uzi basi ingetokea shida yoyote katika nchi angetaka maisha yasimame kwa ajili ya tatizo la mahali fulani
 
Kuna sehemu, humu jamaa kaandika, jamiiforums, kuna ongezeko la Vilaza.
Ukisikia viazi, huyu ni kiazi sasa.

Kwani wamekuwekea sheria kuwa lazima uwasikilize?

Ukiona hivyo, hauna kazi, sababu mtu mwenye kazi zake hana muda huo wa kusikiliza na kufuatilia kipindi, tena kipindi asicho kipenda.

Radio zenyewe bongo zimejaa, kwanini ung'ang'ania radio moja?
 
Serikali ipige marufuku vipindi vya michezo redioni asubuhi. Haiwezekani asubuhi muda wa kazi ndio watu waaanza kuchambua michezo toka sa 2 asubuhi hadi sa 5, watu watafanya kazi sa ngapi? Muda wa kufanya shughuli za uzalishaji ndio watu wanasikilizisha watu vipindi visivyo na kichwa wala migui na mbaya zaidi 90% ya huo uchambuzi ni mpira wa ulaya, wachezaji wa ulaya, sijui mambo gani ya hovyo hovyo, watu watafanya kazi sa ngapi?

Serikali iweke taratibu ya hizi programs za kwenye redio stations, vipindi vyote vya michezo viwe jioni au usiku, sio asubuhi.

Serikali iingilie kati radio station programs zisizo na maana.
Kama ni hivyo basi ingekuwa bora kwa serikali kupiga marufuku mitandao yote iliyozagaa ambayo kwa asilimia kubwa na mambo ya hovyo na wafanyakazi wengi hutumia muda wa kazi kuangalia na kusoma umbeya na udaku.
 
Sio wote wapo kazini asubuhi usikariri
Yani hawa watu sijui wanashida gani yeye anavotoka nyumbani saa mbili kwenda kazini anajua kila mtu anaingia muda huo.

Wengine sisi walinzi mchana tupo nyumbani.
 
Nimeandika nimefuta, nikaandika nikafuta, nikaandika tena nikafuta.

Nisamehe kwa niliyoandika na kufuta.
Msamehe kaka kakurupuka usingizini kama samaki aliepoteza viatu
 
Serikali ipige marufuku vipindi vya michezo redioni asubuhi. Haiwezekani asubuhi muda wa kazi ndio watu waaanza kuchambua michezo toka saa 2 asubuhi hadi saa 5, watu watafanya kazi saa ngapi?

Muda wa kufanya shughuli za uzalishaji ndio watu wanasikilizisha watu vipindi visivyo na kichwa wala miguu na mbaya zaidi 90% ya huo uchambuzi ni mpira wa ulaya, wachezaji wa ulaya, sijui mambo gani ya hovyo hovyo, watu watafanya kazi saa ngapi?

Serikali iweke taratibu ya hizi programs za kwenye redio stations, vipindi vyote vya michezo viwe jioni au usiku, sio asubuhi.

Serikali iingilie kati radio station programs zisizo na maana.
Kwani wamekuja kukuomba hela ya sabuni?
 
Nimeandika nimefuta, nikaandika nikafuta, nikaandika tena nikafuta.

Nisamehe kwa niliyoandika na kufuta.
Hayo ulioandika mwanzo ukafuta inawezekana umetukana Sana ukaona noma ukafuta
 
Sisi wengine kazi zetu ni kuchunga ng'ombe kwahiyo tunasikiliza redio huku tunafanya kazi .
 
Nimeandika nimefuta, nikaandika nikafuta, nikaandika tena nikafuta.

Nisamehe kwa niliyoandika na kufuta.
Nikupongeze wewe kwa kuji-edit na kuona ulichokua unakiandika ni uharo ukaamua kufuta. Hii inasaidia kuondoa hovyo hovyo humu ndani.
 
Ukisikia viazi, huyu ni kiazi sasa.

Kwani wamekuwekea sheria kuwa lazima uwasikilize?

Ukiona hivyo, hauna kazi, sababu mtu mwenye kazi zake hana muda huo wa kusikiliza na kufuatilia kipindi, tena kipindi asicho kipenda.

Radio zenyewe bongo zimejaa, kwanini ung'ang'ania radio moja?
Kiazi ni kitamu sana, wewe ni uharo.
 
Lost mind
IMG_20190208_141926_610.jpeg
 
Hapa mtoa mada umepuyanga, ni uungwana kukiri kua ulipitiwa ukajikuta umeandika bila kufikiri kwa kina..
 
Mawazo ya aina hii sijui huwa mnayatoa wapi? Kwa akili zako unaona ni vema radio na TV zizimwe mpaka saa 9.30 alasiri? Una tofauti gani na waliozima bunge live ili watu wafanye kazi?
Natabiri wewe ni wa Chama cha Giza.
Anzisha mada yako ushauri redio zizimwe, mimi sikushauri hivyo mkuu, au kuna mahala nimesema zizimwe?
 
Back
Top Bottom