Serikali ipige marufuku vipindi vya michezo asubuhi redioni

Ha haaaa ……...mind your own business
 
Acha ushamba

Hata hivo vipind vya michezo asubuhi ni kipi kinazungumzia michezo ya ulaya kwa sehemu kubwa?

Maana efm wao mambo ya ulaya ni SAA 11:45 has SAA 12:00

Muda mwing wanadajadili mpira pori wa afrika



Wengine hata tukiwa kazin tunapenda kusikiliza michezo hususani ya ulaya
 
stop snitching you snitch
 
Mawazo ya aina hii sijui huwa mnayatoa wapi? Kwa akili zako unaona ni vema radio na TV zizimwe mpaka saa 9.30 alasiri? Una tofauti gani na waliozima bunge live ili watu wafanye kazi?
Natabiri wewe ni wa Chama cha Giza.
 
Mkuu sio kweli kwamba watu wote wameajiriwa na wanafanya kazi asubuhi....lakini pia wapo wanaofanya kazi/ shughuli zao jioni sasa usiishi kwa mazoea. Pia nafikiri zipo radio stations nyingi hazina vipindi vya michezo asubuhi unaweza ukatune hizo stations.
 
KAMA NI KUFANYA KAZI KWA NINI USISHAURI RADIO ZIZIMWE KABISA ILI WATU WAFANYE KAZI
 

Mimi nafanya kazi kasino, ni mlinzi, natoka asubuhi, usiku nipo busy , naskiza michezo asubuhi.
Mke wangu ni daktari, akitoka shift anaskiza michezo asubuhi.
MKWE WANGU NI dereva wa mhindi, anaskiza michezo kwenye gari.
Polepole hana kazi maalum anaskiza michezo asubuhi.
Baba mkwe wangu anafanya kazi za kubet na kucheza kamari, anatoka jioni saa kumi anarudi saa sita usiku akiwa amekula hela nyingi tu, anaskiza michzo asubuhi.
Mahakamani kabla ya kesi kuanza tunaanza na michezo.

JIWE-sipangiwi.
sisi: HATUPANGIWI
 
Gazeti Citizen.
70% ya wafanyakazi ni masikini
 
Kwani MEMKWA ulishamaliza? samahani lakin
 
Kwa nn usiseme radio na TV stations zote zisiwe hewan muda wa kazi??.

Maana kusipokuwa na kipindi cha michezo basi kutakuwa na maswala ya sanaa, siasa, elimu n.k vyote hivi vitakuwa na kundi litakalotegea sikio.
 
Mkubwa sisi wakulima ambao ni zaidi ya asillimia 70 ya Watz ambao tunaingia shambani saa kumi na moja asubuhi na redio zetu kiunoni una lipi la kusema
 

mashabiki wa Man U, utawajua, mwaka huu wanashida sana, kila wanachokigusa wanawashwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…