Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,786
- 19,797
Ukisikia viazi, huyu ni kiazi sasa.
Kwani wamekuwekea sheria kuwa lazima uwasikilize?
Ukiona hivyo, hauna kazi, sababu mtu mwenye kazi zake hana muda huo wa kusikiliza na kufuatilia kipindi, tena kipindi asicho kipenda.
Radio zenyewe bongo zimejaa, kwanini ung'ang'ania radio moja?
Kama ni hivyo basi ingekuwa bora kwa serikali kupiga marufuku mitandao yote iliyozagaa ambayo kwa asilimia kubwa na mambo ya hovyo na wafanyakazi wengi hutumia muda wa kazi kuangalia na kusoma umbeya na udaku.Serikali ipige marufuku vipindi vya michezo redioni asubuhi. Haiwezekani asubuhi muda wa kazi ndio watu waaanza kuchambua michezo toka sa 2 asubuhi hadi sa 5, watu watafanya kazi sa ngapi? Muda wa kufanya shughuli za uzalishaji ndio watu wanasikilizisha watu vipindi visivyo na kichwa wala migui na mbaya zaidi 90% ya huo uchambuzi ni mpira wa ulaya, wachezaji wa ulaya, sijui mambo gani ya hovyo hovyo, watu watafanya kazi sa ngapi?
Serikali iweke taratibu ya hizi programs za kwenye redio stations, vipindi vyote vya michezo viwe jioni au usiku, sio asubuhi.
Serikali iingilie kati radio station programs zisizo na maana.
Yani hawa watu sijui wanashida gani yeye anavotoka nyumbani saa mbili kwenda kazini anajua kila mtu anaingia muda huo.Sio wote wapo kazini asubuhi usikariri
Msamehe kaka kakurupuka usingizini kama samaki aliepoteza viatuNimeandika nimefuta, nikaandika nikafuta, nikaandika tena nikafuta.
Nisamehe kwa niliyoandika na kufuta.
Kwani wamekuja kukuomba hela ya sabuni?Serikali ipige marufuku vipindi vya michezo redioni asubuhi. Haiwezekani asubuhi muda wa kazi ndio watu waaanza kuchambua michezo toka saa 2 asubuhi hadi saa 5, watu watafanya kazi saa ngapi?
Muda wa kufanya shughuli za uzalishaji ndio watu wanasikilizisha watu vipindi visivyo na kichwa wala miguu na mbaya zaidi 90% ya huo uchambuzi ni mpira wa ulaya, wachezaji wa ulaya, sijui mambo gani ya hovyo hovyo, watu watafanya kazi saa ngapi?
Serikali iweke taratibu ya hizi programs za kwenye redio stations, vipindi vyote vya michezo viwe jioni au usiku, sio asubuhi.
Serikali iingilie kati radio station programs zisizo na maana.
Hayo ulioandika mwanzo ukafuta inawezekana umetukana Sana ukaona noma ukafutaNimeandika nimefuta, nikaandika nikafuta, nikaandika tena nikafuta.
Nisamehe kwa niliyoandika na kufuta.
Nikupongeze wewe kwa kuji-edit na kuona ulichokua unakiandika ni uharo ukaamua kufuta. Hii inasaidia kuondoa hovyo hovyo humu ndani.Nimeandika nimefuta, nikaandika nikafuta, nikaandika tena nikafuta.
Nisamehe kwa niliyoandika na kufuta.
Kiazi ni kitamu sana, wewe ni uharo.Ukisikia viazi, huyu ni kiazi sasa.
Kwani wamekuwekea sheria kuwa lazima uwasikilize?
Ukiona hivyo, hauna kazi, sababu mtu mwenye kazi zake hana muda huo wa kusikiliza na kufuatilia kipindi, tena kipindi asicho kipenda.
Radio zenyewe bongo zimejaa, kwanini ung'ang'ania radio moja?
Kumstahi baba yako ndio heshima ya kiafrika. Binti kumvunjia heshima baba yake sio malezi ya kiafrika.Ngoja nikustai
ππππππwe duwanzi unasemaje??
Anzisha mada yako ushauri redio zizimwe, mimi sikushauri hivyo..KAMA NI KUFANYA KAZI KWA NINI USISHAURI RADIO ZIZIMWE KABISA ILI WATU WAFANYE KAZI
Anzisha mada yako ushauri redio zizimwe, mimi sikushauri hivyo mkuu, au kuna mahala nimesema zizimwe?Mawazo ya aina hii sijui huwa mnayatoa wapi? Kwa akili zako unaona ni vema radio na TV zizimwe mpaka saa 9.30 alasiri? Una tofauti gani na waliozima bunge live ili watu wafanye kazi?
Natabiri wewe ni wa Chama cha Giza.