Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
- Thread starter
-
- #61
Anzisha mada yako ushauri zizimwe kabisa. Mimi yangu haisemi hivyo.Kwa nn usiseme radio na TV stations zote zisiwe hewan muda wa kazi??.
Maana kusipokuwa na kipindi cha michezo basi kutakuwa na maswala ya sanaa, siasa, elimu n.k vyote hivi vitakuwa na kundi litakalotegea sikio.
Anzisha mada yako ushauri serikali izime mitandao yote ya kijamii. Mimi mada yangu haisemi hivyo.Kama ni hivyo basi ingekuwa bora kwa serikali kupiga marufuku mitandao yote iliyozagaa ambayo kwa asilimia kubwa na mambo ya hovyo na wafanyakazi wengi hutumia muda wa kazi kuangalia na kusoma umbeya na udaku.
Serikali ipige marufuku vipindi vya michezo redioni asubuhi. Haiwezekani asubuhi muda wa kazi ndio watu waaanza kuchambua michezo toka saa 2 asubuhi hadi saa 5, watu watafanya kazi saa ngapi?
Muda wa kufanya shughuli za uzalishaji ndio watu wanasikilizisha watu vipindi visivyo na kichwa wala miguu na mbaya zaidi 90% ya huo uchambuzi ni mpira wa ulaya, wachezaji wa ulaya, sijui mambo gani ya hovyo hovyo, watu watafanya kazi saa ngapi?
Serikali iweke taratibu ya hizi programs za kwenye redio stations, vipindi vyote vya michezo viwe jioni au usiku, sio asubuhi.
Serikali iingilie kati radio station programs zisizo na maana.
Nimeandika nimefuta, nikaandika nikafuta, nikaandika tena nikafuta.
Nisamehe kwa niliyoandika na kufuta.
[emoji23][emoji23][emoji23] umejifafanua vizuri ww na família yako nzimaMimi nafanya kazi kasino, ni mlinzi, natoka asubuhi, usiku nipo busy , naskiza michezo asubuhi.
Mke wangu ni daktari, akitoka shift anaskiza michezo asubuhi.
MKWE WANGU NI dereva wa mhindi, anaskiza michezo kwenye gari.
Polepole hana kazi maalum anaskiza michezo asubuhi.
Baba mkwe wangu anafanya kazi za kubet na kucheza kamari, anatoka jioni saa kumi anarudi saa sita usiku akiwa amekula hela nyingi tu, anaskiza michzo asubuhi.
Mahakamani kabla ya kesi kuanza tunaanza na michezo.
JIWE-sipangiwi.
sisi: HATUPANGIWI
Ukisoma vizuri utaona kuwa yote sawa ila mimi nimekwenda kwenye suala lililokugusa binafsi tu.Anzisha mada yako ushauri serikali izime mitandao yote ya kijamii. Mimi mada yangu haisemi hivyo.