Alistalikopaul
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 720
- 1,995
Unatakiwa ujue story za pande zote mbili ili uweze ku take side , sio kusikiliza hadithi ya upande moja, sasa unatakiwa kuwa na taarifa za mlipa kodi kwa upande moja na taarifa za wakadiria kodi kwa upande mwingine, ndio ujieleweshe, kuhusu wabunge kuongelea hilo jambo ni kawaida yao kupewa taarifa na wapiga kura wao lakini kama nilivyosema hapo awali, taarifa zinakuwa za upande moja wakati mbunge anapo ongelea hilo jamboKinacho zungumzwa na kinacho tendeka field ni vitu 2 tofauti sana mkuu. Uliza hayo makampuni vizuri, hivi ina maana hata kina Msukuma, Nape na yule mbunge wa Mafinga wote waliongea uongo? Yule wa Mafinga alitolea mifano ya makampuni ya mbao, tena akataja hadi idadi ya makampuni yalifunga biashara zao kabisa, remember hiyo ilizungumzwa bungeni, sio kijiweni au sosho midia
Utasikia nyie ndio mlikuwa majiziUshauri mzuri ila pole sana Ndugu hii sio awamu ya kusikiliza maadui (wafanyabiashara)
Wafanyabiashara ni maadui mbele ya macho ya Mtemi Mwanamalundi
Serikali kwa ajiria hawezi basi Sekta binafsi inayobeba maisha ya watanzania wengi isaidini basiHili suala tumelijadili sana humu mtandaoni, wengine wakifikiri ni mfanya biashara wanamkomoa, hadi wakadiriki kusema ,kama hulipi kodi, hata zikiwa za kubambikwa, funga biashara.
Kweli wengi wanafunga biashara na wanaoathirika kikubwa zaidi si mfanyabiashara bali wananchi wanyonge.
Kuna lawama kwa TRA kwa kukiuka maadili wakibambika kodi na ukosefu wa ubunifu wa kikodi. Hili ni la kwao lakini pia kuna tatizo la sheria zisizo rafiki za kodi. Hili ni la mfumo. Yote mawili yanahitaji suluhishoKuna swali la msingi hapa, sina hakika kama huwa tunaogopa kujiuliza ama tu huwa hatulioni. Hivi haya wanayofanya TRA ni kinyume na sheria zilizopitishwa na Bunge letu au wanafuata sheria?
Maana kama wanafuata sheria, kosa la TRA ni nini hasa? Najaribu kufikirisha akili yako msomaji. Usikute tunahangaika na dawa ya Malaria ilhali mgonjwa ana Typhoid!
Acha kubwabwaja, wengi wa watu type yako hawajihusishi na business kabisa, wewe unafanya biashara gani? kama huna biashara yoyote plz better ukae kimyaKwa maelezo yako juu ya kodi ya makampuni , hao watakuwa wameshindwa biashara kwa sababu nyingine. Sababu kodi ya makampuni inatozwa kwenye faida.
Corporate tax . Na kama umezungumzia kodi ya mauzo hiyo ni kitu ingine yenyewe inatozwa kama VAT na kama ni bidhaa za kutoka nje kunaweza kuwepo kwa import duty, hivyo kusababisha bidhaa kuwa bei juu, na labda uongeze pia watu kipato kimeshuka, hivyo mauzo yamekuwa hafifu
Umeeleza vizuri ila kuna kitu una miss, shida kubwa ya kodi zetu ni kwenye ku define hiyo Faida .Kwa maelezo yako juu ya kodi ya makampuni , hao watakuwa wameshindwa biashara kwa sababu nyingine. Sababu kodi ya makampuni inatozwa kwenye faida.
Corporate tax . Na kama umezungumzia kodi ya mauzo hiyo ni kitu ingine yenyewe inatozwa kama VAT na kama ni bidhaa za kutoka nje kunaweza kuwepo kwa import duty, hivyo kusababisha bidhaa kuwa bei juu, na labda uongeze pia watu kipato kimeshuka, hivyo mauzo yamekuwa hafifu.
Pole mkuu naona umelazimishwa kuamini baada ya wewe kuguswa, kiukweli hali ni mbaya kibiashara kutokana na kodi pamoja na adhabu zake, ni swala la muda tu kila mtu ataguswa kwa namna yakeKabisa mi mwenyewe nilikua siamini lakini baada ya kunikuta nimeamini.
Gentlemen , you nailed itKuna swali la msingi hapa, sina hakika kama huwa tunaogopa kujiuliza ama tu huwa hatulioni. Hivi haya wanayofanya TRA ni kinyume na sheria zilizopitishwa na Bunge letu au wanafuata sheria?
Maana kama wanafuata sheria, kosa la TRA ni nini hasa? Najaribu kufikirisha akili yako msomaji. Usikute tunahangaika na dawa ya Malaria ilhali mgonjwa ana Typhoid!
Bunge la ndiyo huwa halishauri bali hushauriwa.Lipo tatizo kubwa serikali ichukue hatua na bunge letu la ndio lisione aibu kufanya maamuzi magumu kuishauri serikali pamoja na biashara holela machinga pia.
Hapana , formula ni standard, sema bongo suala la kuweka kumbukumbu za mauzo na za kuweka kumbukumbu za matumizi ndio inayoleta shida na mvutano.Umeeleza vizuri ila kuna kitu una miss, shida kubwa ya kodi zetu ni kwenye ku define hiyo Faida .
Mara nyingi formula inayotumika haiangalii gharama kiuhalisia. Matokeo yake kampuni zinaonekana zimetengeneza Faida kubwa kuliko uhalisia .Faida kubwa maana yake ni kodi kubwa pia , matokeo yake makampuni yanaamua kufunga biashara .
Ubaya ni kuwa huwezi kulazimisha kampuni ifanye biashara , na wakifunga pato la taifa direct linapungua . Mbaya zaidi ni kuwa makampuni makubwa yanafunga biashara kwetu na kwenda kuazisha biashara hiyo hiyo nchi za jirani zetu.
Wewe una biashara gani inayo shindwa kulipa provisional tax, au corporate tax .Acha kubwabwaja,wengi wa watu type yako hawajihusishi na business kabisa,wewe unafanya biashara gani?kama hunabiashara yoyote plz better ukae kimya
Kwani baada ya hayo madai ya wabunge, wizara ya fedha au TRA walijibu nini?Unatakiwa ujue story za pande zote mbili ili uweze ku take side , sio kusikiliza hadithi ya upande moja, sasa unatakiwa kuwa na taarifa za mlipa kodi kwa upande moja na taarifa za wakadiria kodi kwa upande mwingine, ndio ujieleweshe, kuhusu wabunge kuongelea hilo jambo ni kawaida yao kupewa taarifa na wapiga kura wao lakini kama nilivyosema hapo awali, taarifa zinakuwa za upande moja wakati mbunge anapo ongelea hilo jambo
Mimi siongelei majibu ya kisiasa, bali naongelea masuala ya kodi, yanayo lalamikiwa na kuzungumziwa na wanasiasa .Kwani baada ya hayo madai ya wabunge, wizara ya fedha au TRA walijibu nini?
Baada ya kuboresha wafanyabiashara na wawekezaji wanafunga biashara..Eti Kitila Mkumbo anasema serikali imeboresha mazingira ya uwekezaji ha ha ha
Wizara na TRA walitakiwa kujibu kitaalamu, na ndio nauliza, kwani wao walijibu nini kuhusu madai ya wale wabunge? Umeniambia nitafute na habari kwa upande mwingine, ndio huo sasa, TRA walitakiwa ku respond haraka kama yale madai ya wabunge yalikua ni ya uongoMimi sio ongelei majibu ya kisiasa, bali naongelea masuala ya kodi , yanayo lalamikiwa na kuzungumziwa na wanasiasa .
Suala linaongelewa Bungeni, na mara nyingi linakuwa sio specific, na linapokuwa specific lazima taasisi husika zipeane muda wa kuleta majibu. Na Majibu yenyewe ili kulinda nafsi za wahusika zinakuwa kimya kimyaWizara na TRA walitakiwa kujibu kitaalamu, na ndio nauliza, kwani wao walijibu nini kuhusu madai ya wale wabunge? Umeniambia nitafute na habari kwa upande mwingine, ndio huo sasa, TRA walitakiwa ku respond haraka kama yale madai ya wabunge yalikua ni ya uongo