Serikali ipitie upya masuala ya kodi kwa makampuni ya kibiashara

Endelea kukariri vitini vya nyambari Nyangwine huna unalojua.

Miliki hata Genge utajua kwanini Wafanyabiashara wanalalamika.
Msameheni huyo ni mwanaccm makini. ukiwa ccm akili yote unaiacha nyumbani unachotakiwa ni kusifu na kuabudu tu hata kama kambba inakaba shingo
 
Hapo pafupi sana ni swala la muda tu itafaahamika , sekta binafsi pamoja na kuwa mlipaji mkubwa wa kodi , inasaidia sana kuajiri, na hivyo kupunguza mzigo wa ajira kuwa serikali kuu , hivi inavyokufa kibudu majibu yataonekanamapema sana
Magufuli anataka atengeneza wamaachinga wengi wasio na contribution kwemye pata la taifa
 
Jibu lake Lipo hapa na hii sio Tz tu
"Provisional tax is not a separate tax from income tax. It is a method of paying the income tax liability in advance, to ensure that the taxpayer does not remain with a large tax debt on assessment. ... A third payment is optional after the end of the tax year, but before the issuing of the assessment by SARS.9 Jul 2020"
KWahiyo umeji contradict mwenyewe sasa au sio?
 
Hata Biashara hujaanza unaambiwa ulipe kodi, sasa hio kodi inatoka kwenye Biashara ipi uliyoifanya? Alafu tunataka tushindane na nchi nyingine ambazo viongozi wake wanajua namna ya kufanya Biashara. Wamsaidie Mzee, wanamuachia mwenyewe na yeye sio mfanya Biashara
Hii inaonyesha kabisa kwamba tunahitaji Viongozi wanaotumia common sense kuliko vitabu.....hii mitaala yenye misingi ya Wazungu inaonesha kabisa kwamba haiendani na hali halisi.

Hawa Watu wenye digrii za kizungu hakuna namna utawabadilisha fikra zao hata kama matokeo ni kinyume chake...ukimwambia biashara zinafungwa yeye anakwambia kuna nyingine zinafunguliwa.

Kwa akili zao hizo za darasani ni kuwa biashara yenu ikifungwa, Wafanyakazi wote mhamie kwenye biashara mpya zinazofunguliwa mkaendee na maisha.
 
Na hawajui Biashara ni kama Mtoto, ukifungua Biashara Mpia itachukua karibia miaka 5 au zaidi kuanza kuzalisha faida.
 
Wewe ndio ulibiiwa mchana kweupe miamala yote ya tigopesa na Mpesa huwa inakatwa kodi automatic hata unaporushiwa commission yako mwisho wa mwezi inakuwa tayari imeshakatwa kodi sasa wewe unakadiriwa kodi gani hi nchi watu wanaibiwa sana
unapoenda kuomba lesseni haiandikwi tigo pesa na mpesa bali inaandikwa license class b kwa ajili biashara ndogo ndogo na mbaya zaidi ukifuata utaratibu kama sheria inavoelekeza haupewi line ya kufanyia kazi kama hauna tin number na lessen,pia ili upewe lessen lazima ulipe ulichokadiliwa kwanza TRA na ukipewa lessen inaendelea kusoma kodi wala biashara yako ya tigo pesa na mpesa hawaitambui wao wanakupa lessen kwa ajili ya biashara ndogo ndogo.
 
Jibu lake Lipo hapa na hii sio Tz tu
"Provisional tax is not a separate tax from income tax. It is a method of paying the income tax liability in advance, to ensure that the taxpayer does not remain with a large tax debt on assessment. ... A third payment is optional after the end of the tax year, but before the issuing of the assessment by SARS.9 Jul 2020"
This doesn't fully address what is explained neither does it justify what happened, please go back read again and understand the contents fully.
There is no need to rush.
 
Wote mnaotetea humu kwa vinotisi vya kugoogle ni wapumbavu.

Mwaka jana nililetewa kodi ya 153 milioni. Tukakaa pamoja ikawa 17 milioni. Yaani almost ten times less.

Kuna matumizi mabaya ya sheria za kodi. TRA ni kama traffic yaani kosa linategenezwa kwa namna yoyote. August na wenzio jinga sana.
Asante sana Mkuu, tatizo kuna watu wanaochanghia humu wala hawana experience yoyote, au wanaonekana ni wakusanyaji wenyewe tunapambana nao humu. Wanachojibu kinafanana kabisa na walichokaririshwa!
 
Nchi ambazo hazijaendelea ndio zina utaratibu huo, hio unachukua kodi kwenye mtaji maana yake unaua hio biashara kabla haijaanza, na ni Biashara ipi unaweza pata faida kwenye Mwaka wa kwanza? ili mfanya Biashara asibaki na deni? kwa nini wasitoe exemption kwa Mwaka mmoja wa kwanza ili akifunga hesabu ndio akadiriwe kodi kutokana na Biashara aliyofanya?
Jibu zuri sana mkuu maana kadhania anaulewa wa jambo baada tu ya kukariri. Alichoandika inaonekana wazi ni elimu ya kukariri. Kinachoshangaza kuna wakati makampuni ya kigeni yalikuwa yanapewa Tax holidays, kile kipindi kikiisha wanaondoka. Nadhani walipokuja kuzinduka ndipo wakaja na huu utaratibu unaoumiza wafanyabiashara wazalendo.
 
Serikali inafilisi mpaka misaada ya inayotolewa na wafadhili kwa ajili ya watoto yatima,kisa haijalipiwa kodi.
 
Jibu zuri sana mkuu maana kadhania anaulewa wa jambo baada tu ya kukariri. Alichoandika inaonekana wazi ni elimu ya kukariri. Kinachoshangaza kuna wakati makampuni ya kigeni yalikuwa yanapewa Tax holidays, kile kipindi kikiisha wanaondoka. Nadhani walipokuja kuzinduka ndipo wakaja na huu utaratibu unaoumiza wafanyabiashara wazalendo.
Hawa ndio wanaenda kuajiriwa ili watunge sera,sheria na kufanya maamuzi juu ya uchumi, hatuwezi enda popote mpaka tupate viongozi wa juu watakaokubaliana na wafanya biashara kwani wao ndio wanaojua, Hayo makampunu yalikua yanakimbia kwa sababu wakipiga hesabu baada tax holiday kwisha hakuna faida, ndio maana nchi za wenzetu wanatoa tax holiday kutokana na jinsi kampuni inavyokua, hio inasababisha kampuni kubwa kuendela na kusapoti kampuni ndogo ambazo ndio serikali inachukua kodi kupitia kwao, na kuzivutia kampuni ndogo kujitahidi kufanya vizuri ili wafikie kiwango cha kupata punguzo/kulipa kodi kidogo.
 
Hii inaonyesha kabisa kwamba tunahitaji Viongozi wanaotumia common sense kuliko vitabu.....hii mitaala yenye misingi ya Wazungu inaonesha kabisa kwamba haiendani na hali halisi.

Hawa Watu wenye digrii za kizungu hakuna namna utawabadilisha fikra zao hata kama matokeo ni kinyume chake...ukimwambia biashara zinafungwa yeye anakwambia kuna nyingine zinafunguliwa.

Kwa akili zao hizo za darasani ni kuwa biashara yenu ikifungwa, Wafanyakazi wote mhamie kwenye biashara mpya zinazofunguliwa mkaendee na maisha.
Kuestablish biashara mpy sio swala la kitoto mpaka biashara inakuwa na inakuwa na unalipa kodi ya uhakika sio swala jepesi .unafungua biashara yenye mtaji wa billion 15 unafurahi mpya iliyofunguliwa yenye mtaji usiozido milioni 9 hiyo ni akili ya wapi
 
Hii inaonyesha kabisa kwamba tunahitaji Viongozi wanaotumia common sense kuliko vitabu.....hii mitaala yenye misingi ya Wazungu inaonesha kabisa kwamba haiendani na hali halisi.

Hawa Watu wenye digrii za kizungu hakuna namna utawabadilisha fikra zao hata kama matokeo ni kinyume chake...ukimwambia biashara zinafungwa yeye anakwambia kuna nyingine zinafunguliwa.

Kwa akili zao hizo za darasani ni kuwa biashara yenu ikifungwa, Wafanyakazi wote mhamie kwenye biashara mpya zinazofunguliwa mkaendee na maisha.
Ati degree za kizungu!!
Degree za kwenu kwa Kalimanzira vipi?
 
Back
Top Bottom