Serikali ipitie upya masuala ya kodi kwa makampuni ya kibiashara

Kupunguza Bei ya receipt ni matokeo , chanzo ni mfumo mbaya wa kokokotoa mahesabu, Efd machines haziangaliii gharama zinasimamia mauzo tu , ndo sababu watu wa mbao walikuwa wa kwanza kulalamikia Efd , mbao hadi unaiona buguruni ina gharama kibao amabao Efd haizitambui
 
Wewe ndio ulibiiwa mchana kweupe miamala yote ya tigopesa na Mpesa huwa inakatwa kodi automatic hata unaporushiwa commission yako mwisho wa mwezi inakuwa tayari imeshakatwa kodi sasa wewe unakadiriwa kodi gani hi nchi watu wanaibiwa sana
 
Sasa wapinzani wao ni sao hill , sasa linganisha mahesabu yao utaona wanako piga au wanako pigwa, pili wa uzaji wa vifaa vya ujenzi iwe cement au tiles au nondo n.k price hazipo standard na utoaji wa receipt ni issue
 
Mjinga kweli wewe
 
Sisi wafanyabiashara kuanzia miaka 4 iliyopita tulianza kulalamikia habari za kodi na wafanyabiashara wanavyolipishwa faini kubwa,baadae tukalalamikia kodi kubwa na biashara zinavyoendelea kufungwa kila kona ya nchi. Lakini cha ajabu kipindi hicho ilikuwa hata ukileta tred za malalamiko ya wafanyabiashara hapa ulikuwa unashambuliwa unaambiwa lipeni kodi,mnakwepa kodi. Tukawaambia hii kitu itakuja kwa kila mmoja,sasa hivi nfanyakazi,mpaka kwa mkulima malalamiko ni hayo hayo. Tatizo tra. Nawaambia tena hii kitu itamgusa kila mmoja
 
Sasa wapinzani wao ni sao hill , sasa linganisha mahesabu yao utaona wanako piga au wanako pigwa, pili wa uzaji wa vifaa vya ujenzi iwe cement au tiles au nondo n.k price hazipo standard na utoaji wa receipt ni issue
Ndo kosa lenu , kumlinganisha mchuuzi wa mbao za makambako na sao hill.
Ndo sababu watu wanafunga biashara Ili mbaki na hao wakubwa wakubwa .
 
Serikali inapoteza makampuni ambayo yana mtaji wa takribami 30b inaneda kumweizesha machinga ambao wanachangia kodi isiyozidi 40000 na isiyotoa ajira yoyote kwa mtu mwingien
 
Biashara yako ilikuwa ya aina gani? Sole propriatorship?, Partnership? Au Corporation?
 
Serikali inapoteza makampuni ambayo yana mtaji wa takribami 30b inaneda kumweizesha machinga ambao wanachangia kodi isiyozidi 40000 na isiyotoa ajira yoyote kwa mtu mwingien
Hapo pafupi sana ni swala la muda tu itafaahamika , sekta binafsi pamoja na kuwa mlipaji mkubwa wa kodi , inasaidia sana kuajiri, na hivyo kupunguza mzigo wa ajira kuwa serikali kuu , hivi inavyokufa kibudu majibu yataonekanamapema sana
 
ingekuwa vizuri ukaeleza ni namna gani hiyo kampuni imeshindwa kufanyakazi, pia ungeshauri unapenda marekebisho gani ya kodi yafanyike
 
uko sahihi kabisa binafsi niliamua kuanza biashara nikaenda tra nikakadiriwa kodi kubwa nikawa tayari kuilipa cha kushangaza nikaambiwa siwezi kulipa mtandao umekatika hadi leo miezi miwili eti mtandao hamna, ukienda ofisi za mwanza kahama geita watu wanahangaishwa kupata tax clearence wakati kodi washalipa mtandao umekuwa shida, mara mzuiliwe kuingia ofisini kuna korona, siwaweke sanitizer. Kahama watu wanazuiliwa kuingia tra eti hawana barakoa, jpm mwenyewe katwambia zingine zina madhara

zipo wilaya kama mbogwe msalala busega hazina huduma ya tra, kuna shida gani pale ofisi ya biashara akawepo ofisa mmoja wa tra badala ya kulundikana kahama na bariadi? Umetoka karumwa unaenda kahama unaambiwa mtandao hakuna njoo jumatatu, unatoka masanza ngasamo zaidi ya km200 unaenda tra bariadi unaambiwa hakuna mtandao mara hauna barakoa mji mzima wa bariadi kahuna wanapouza barakoa uitoe wapi? naona kuna juhudi za makusudi za kumkwamisha Rais JPM
 
Ni ngumu sana kueleweka, kodi Kubwa na nyingi ndio chanzo cha umasikini wa nchi hii na hawataki kuelewa sijui wanaishi dunia ya wapi
 
ingekuwa vizuri ukaeleza ni namna gani hiyo kampuni imeshindwa kufanyakazi, pia ungeshauri unapenda marekebisho gani ya kodi yafanyike
Amesema mauzo yamepungua, na kodi Niko pale pale
 
Hata Biashara hujaanza unaambiwa ulipe kodi, sasa hio kodi inatoka kwenye Biashara ipi uliyoifanya? Alafu tunataka tushindane na nchi nyingine ambazo viongozi wake wanajua namna ya kufanya Biashara. Wamsaidie Mzee, wanamuachia mwenyewe na yeye sio mfanya Biashara
 
Tatizo kubwa lilianza kwenye tax audit na examination of books of accounts from 2015 to date. Hapa kampuni na wafanyabiashara walipewa kodi kubwa kubwa sana, nyingine sidhani kama zitakaa zilipike.
 
Nchi ambazo hazijaendelea ndio zina utaratibu huo, hio unachukua kodi kwenye mtaji maana yake unaua hio biashara kabla haijaanza, na ni Biashara ipi unaweza pata faida kwenye Mwaka wa kwanza? ili mfanya Biashara asibaki na deni? kwa nini wasitoe exemption kwa Mwaka mmoja wa kwanza ili akifunga hesabu ndio akadiriwe kodi kutokana na Biashara aliyofanya?
 
Mji mzima wa Baridadi hakuna sehemu wanauza barakoa hata mafundi chereheni ukimpelekea nguo hawezi kukutengenezea?

Kweli mji kama huo hata lami,umeme,maji isingepelekewa tu,ingeachwa iwe ni mapori ya kufugia ng'ombe na mifugo mingine tu.
 
Serikali hii ya meko?
They dont care!
They have nothing to loose.
All are sons of Ibilisi kama Farao tu.
Jitu linauwa watu waZi wazi na haliogopi
 
Tatizo liko kwa wabunge( Kamati ya feza), Waziri wa feza na makatibu wakuu wa wizara ya feza.
 
Lipo tatizo kubwa serikali ichukue hatua na bunge letu la ndio lisione aibu kufanya maamuzi magumu kuishauri serikali pamoja na biashara holela machinga pia.
Bunge lishakuwa praise team unadhani nini kitaendelea hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…