Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya Mtandaoni (Online)'

Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya Mtandaoni (Online)'

Wabongo sisi waaminifu sana hasa linapokuja suala la ukopaji halafu kingine riba za hawa jamaa nao ni changamoto pia elfu 9 ni 45% ya mkopo mzima.
 
Kukopa ni shida, na Ile ni huduma ndio maana mtu anachukua elf 20 anarudisha elf 29 because wote tunapata faida

Kila mtu anakopa Kwa sehemu Yake mwingine bank mwingine vikoba mwingine Kwa ndugu yake

Tunachozungumza hapa ni the way wanadai, hivi kweli mkopo wa elf 15 ambao umechelewa kulipa Kwa masaa 3 inapaswa atumiwe msg mkwe wako?

Tena wanaangalia Yale majina umesave vizuri ndio wanatuma msg za kudhalilisha
Vipi ulilipa deni Lao
 
Watu wanashindwa kulipa deni sababu ya riba kuwa kubwa
 
Uncle hp4510 huwa sikurupuki.
Nanunua itel mpya, line mpya halafu contacts ninazoingiza Ni za matapeli na wazee wa ndagu tu. Halafu nawapigia ionekane Ni jamaa zangu.
Kisha naomba mkopo. Napewa nalipa, naomba Tena nalipa Tena , Tena na Tena mpaka tunafikishana kwenye milioni.
Mpaka ufikishe hiyo milioni si itakuwa sehemu kubwa ni ile hela yako ya riba unayolipa mara kwa mara?
 
Back
Top Bottom