Serikali ipitie upya Sheria ya 'Mikopo ya Mtandaoni (Online)'

Kuna wale wanajiita pesa x utapigiwa simu tofauti mara 100, sms mara 500 whatsap kote huko sms zenyewe sasa" tulikuvumilia sana ulipokuja kwetu kuomba mkopo unanuka shida ,ama kweli masikini akipata mku#du hulia mbwata[emoji28][emoji28] tulikupatia mkopo ukaishia kula mikuku na mibia huku ukiimbiwa tajiri huna baya leo kulipa pesa yetu unaona tabu" hapo ni elfu 20 hiyo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
daahh hii coment imenichekesha san
 
Kuna wale wanajiita pesa x utapigiwa simu tofauti mara 100, sms mara 500 whatsap kote huko sms zenyewe sasa" tulikuvumilia sana ulipokuja kwetu kuomba mkopo unanuka shida ,ama kweli masikini akipata mku#du hulia mbwata😅😅 tulikupatia mkopo ukaishia kula mikuku na mibia huku ukiimbiwa tajiri huna baya leo kulipa pesa yetu unaona tabu" hapo ni elfu 20 hiyo😅😅😅😅
Mbaya hiyo meseji unaweza tumia hadi usiyehusika na kubatizwa jina la mdhamini 😂😂
 
Kuna wale wanajiita pesa x utapigiwa simu tofauti mara 100, sms mara 500 whatsap kote huko sms zenyewe sasa" tulikuvumilia sana ulipokuja kwetu kuomba mkopo unanuka shida ,ama kweli masikini akipata mku#du hulia mbwata[emoji28][emoji28] tulikupatia mkopo ukaishia kula mikuku na mibia huku ukiimbiwa tajiri huna baya leo kulipa pesa yetu unaona tabu" hapo ni elfu 20 hiyo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hahaha dah
 
Kuna wale wanajiita pesa x utapigiwa simu tofauti mara 100, sms mara 500 whatsap kote huko sms zenyewe sasa" tulikuvumilia sana ulipokuja kwetu kuomba mkopo unanuka shida ,ama kweli masikini akipata mku#du hulia mbwata😅😅 tulikupatia mkopo ukaishia kula mikuku na mibia huku ukiimbiwa tajiri huna baya leo kulipa pesa yetu unaona tabu" hapo ni elfu 20 hiyo😅😅😅😅
Asee kumbe hao jamaa ni pumbaff kias iko, ndo mana ivo vi app ckuiz vimekuwa vingi kweli
 
Unapoweka namba za wadhamin weka namba ambazo hazipatikani au zimefungiwa.

Hao jamaa kipind nikiwa nimepigika nilishawaliza sana
Hio sio Suluhu, Njia sahihi Kuto ALLOW apps zao ku access your contacts list. Uki Allow app ya mkopo ku access your contact list atapigiwa mpaka Baba mkwe wako aambiwe umetapeli tshs. 18,000/ mtandaoni. Hivyo Kuwa makini na Hiko Kipengele next time.
 
Usipo allow hawakupi mkopo
 
Hawa hawakwepeki,ukikopa lazima utalipa deni. Siyo kama wale Tala na Branch wa siku za nyuma
 
Hii mikopo ya online inasaidia Sana, pamoja na kwamba Riba Yao ni kubwa Sana, wakikupa elf 20 unarudisha elf 29 kwa siku Saba

Shida inakuja Kwa wafanyakazi wao ambao wanadai hiyo mikopo

Aisee ni kama vichaa, mkopo ukibakia siku moja Tu Yan kesho yake unatakiwa kulipa utakuta missed call zaidi ya 20

Msg za vitisho kibao, utaitwa majina ya kila Aina kuanzia mwizi tapeli, mzinguaji

Wale vijana hawana Heshima kabisa

Na mkopo ukizidi siku moja basi ujue hizo msg za vitisho zinaenda Kwa watu wako wote ambao umewasave kwenye simu yako

Unashangaa Tu mama mkwe anakwambia unatafutwa na mkopo wako loan umetapeli elf 20

I think serikali ipige stop kwanza ili wajipange vizuri,
Wanazingua sana,kuna Kampuni Moja hiyo nilipata Dharura nikakopa Elfu 51, afu nikapewa 30 ndani wiki Moja , faida ya Elfu 21 kwa wiki , riba ni zaidi ya 48%.

Kabla ya siku Moja kufika nikalipa hela yao, ila kwenye app yao deni halikutoka likawa linaongezeka, aisee jamaa wanapiga simu na meseji za vitisho balaa.

Nimefuta na App yao kabisa , Mikopo Nyonya damu ,
 
Baada ya kufuta app Yao hawakupigii sim?
 
Jamaa wapo serious sana!

20240421_191135.jpg
20240421_190727.jpg
 
Walinitumiaga msg wanamdai jamaa mmoja hv, nikawauliza mbona mlipomkopesha hamkunishirikisha, asa hv mnamdai ndio mnanisumbua, mkome!
 
Hivi Hawa wakopeshaji wsmeshawahi kumpeleka MTU asiyelipa mahakamani?
Asking for a JF friend..
 
Back
Top Bottom