the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,562
- 2,902
daahh hii coment imenichekesha sanKuna wale wanajiita pesa x utapigiwa simu tofauti mara 100, sms mara 500 whatsap kote huko sms zenyewe sasa" tulikuvumilia sana ulipokuja kwetu kuomba mkopo unanuka shida ,ama kweli masikini akipata mku#du hulia mbwata[emoji28][emoji28] tulikupatia mkopo ukaishia kula mikuku na mibia huku ukiimbiwa tajiri huna baya leo kulipa pesa yetu unaona tabu" hapo ni elfu 20 hiyo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]