Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,590
- 31,133
Mimi naongea na chadema hapa, mbona unatesa sana akili yako.Chadema wamekusikia
Warudishe tu, mamiradi mangapi yamewashinda. Hivyo viwanda walivyokuwa wanajimwambafai viko wapi? Royal tour ilvyoyeyuka kama barafu.Unashauri serikali ifanyie nini hizo pesa za mikopo? Tatizo sio kukopa tazizo unakuta mtu amekoppa anaenda kufanyia sherehe😛 Maana yake hela inatumika sio katika uzalishaji. .
Ningefurahi kama ungeshauri wafanyie nini hizo hela. Ili mkopo uwe na tija. Mie nashauri wanajeshi wangepewa wafugie nguruwe hizo hela, baada ya miezi mitatu mpaka sita tutakuwa tunawauza nje huko tutapiga hela sana. Nguruwe wanalipa pesa mingi kwa return. .
utungie story nyingine tena... watu kwa sasa hatutaki mambo magumu magumu....Mimi naongea na chadema hapa, mbona unatesa sana akili yako.
Ndio watapeleka hoja yako bungeni au kwenye MaridhianoMimi naongea na chadema hapa, mbona unatesa sana akili yako.
Uongozi ni ajira binafsi kwa ajili ya kutatua matatizo binafsi ya kiongozi na sio ya jamii.Hii nchi sisi ni Watanzania ni wazembe kiwango cha SGR, na kwa kulijua hilo wanafanya mambo ya hovyo wakijua wajinga sisi hatuna la kufanya zaidi ya wachache kulia lia mtandaoni.
Kila kiongozi anaeingia anapiga dili zake anapotea, hakuna mzalendo, hakuna anaejali tanzaniia ya kesho, sababu tanzania ya leo wanaila na kesho wameshawatengenezea watoto wao sio watanzania, ni watoto zao.
Hizo zinaingia mifukoni mwaoUnashauri serikali ifanyie nini hizo pesa za mikopo? Tatizo sio kukopa tazizo unakuta mtu amekoppa anaenda kufanyia sherehe😛 Maana yake hela inatumika sio katika uzalishaji. .
Ningefurahi kama ungeshauri wafanyie nini hizo hela. Ili mkopo uwe na tija. Mie nashauri wanajeshi wangepewa wafugie nguruwe hizo hela, baada ya miezi mitatu mpaka sita tutakuwa tunawauza nje huko tutapiga hela sana. Nguruwe wanalipa pesa mingi kwa return. .
Mi na wewe tu ndo hatujui, wapo wanaojua na ten % wameshapokea.Mamndenyi nimekuelewa lakini vigezo na mashart ya hii mikopo ingekuwa inawekwa wazi kwa watanzania kabla ya kukopa kwanza maana sisi ndowalipaji sasa nakuwaje mlipaji halafu sijui nilikopaje na sijui chochote nyuma ya pazia