The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Ukiwa na kila aina ya rasilimali ndio hukopi? DishiKalunya upo sahihi kabisa Tanzania tuna kila aina ya rasilimali, Sema zinaenda kwa walanguzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na kila aina ya rasilimali ndio hukopi? DishiKalunya upo sahihi kabisa Tanzania tuna kila aina ya rasilimali, Sema zinaenda kwa walanguzi
Hata mm naona hivyo hivyo mikopo yote inayokopwa ilipwe kwa kuzingatia waliokopaHuwa nawaza kama pangekuwepo na sheria ya kuwabana hawa wakopaji, ikiwezrkana kila anayekopa arudishe mikopo yake kabla muda wake haujakwisha wa kukaa madarakani.
Hii mikopo imekuja kudumaza akili za viongozi wetu, ndio maana siku hizi wanaona kukopa sifa, kauli kama "tunakopesheka" au "mikopo ya masharti nafuu" zinazidi kutawala.
Sasa hivi wataibuka waarabu wengi matajiri kama kina gsm na rostamHizo zinaingia mifukoni mwao
Bucha lipo waziSasa hivi wataibuka waarabu wengi matajiri kama kina gsm na rostam
Kukopa ni umasikini,unakopa unaenda zificha nje bank za Ulaya, wengine wananunulia mabusWewe kama hukopi utaishia kuwa fukara..
Taja Nchi hata moja ambayo haikopi..
Isikope Ili iwaje?
Wapi ulipoona pesa zimefichwa? Kama zinapatikana na wewe kafiche na kanunulie mabasi..Kukopa ni umasikini,unakopa unaenda zificha nje bank za Ulaya, wengine wananunulia mabus
Nipe connection niwe karibu na mzinga uone kama sitolamba asali.Wapi ulipoona pesa zimefichwa? Kama zinapatikana na wewe kafiche na kanunulie mabasi..
Mwisho nauliza tena wapi ulipoona Nchi ikikopa inakuwa maskini? Taja Nchi moja tuu ambayo haikopi.
Kumbe njaa ndio zinakusumbua 😆😆😆😆Nipe connection niwe karibu na mzinga uone kama sitolamba asali.
Nchi za kiafrica tangu UHURU zinakopa mbona bado ni masikini.
Unaongelea bunge gani? Au hili hili la kina Babu Tale na waruka salakasi? " Wapinzani walituchelewesha sana,au nasema uongo ndugu zanguuuuu"? NILETEEEEENI GWAJIMAAAAAAA"Wataalam mtanipa elimu kidogo kama nipo tofauti. Hivi hii mikataba ya kuingia mkopo na mabenki makubwa ni nani anaepitisha?
Je, ni kweli bunge tulilonalo linaridhia hivi vitu? Mimi naona hapana vinginevyo hili Bunge Letu litakuwa limelogwa. Hii mikopo mikubwa mikubwa mbona inakuja kwa mlipuko kiasi hiki.
Mbona hatuoni matokeo chanya yanaonekana kwa wananchi kutokana na hii mikopo jamani. Nina uhakika wa asilimia mia ipo siku utawala wa huyu mama utaota magamba kila uchafu wanaoficha utakuwa wazi.
Kama Bunge linapitisha hii mikopo kwa kumuogopa Rais kwa kuwa ni mwenyekiti wao wa chama kisheria hii ni undue influence which renders contract void and void ab initio. Nawalipaji wa haya mamikopo ya kihuni ni sisi Watanzania.
Pia soma - Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF
Ipo siku maneno yatakwisha ya kusema tutasema kwa vitendo sasa.
Kuelekea ktk kuandika KATIBA mpya, Pawepo na CHECKS and BALANCE, Rais Si lazima amalizie miaka MITANO.Wataalam mtanipa elimu kidogo kama nipo tofauti. Hivi hii mikataba ya kuingia mkopo na mabenki makubwa ni nani anaepitisha?
Je, ni kweli bunge tulilonalo linaridhia hivi vitu? Mimi naona hapana vinginevyo hili Bunge Letu litakuwa limelogwa. Hii mikopo mikubwa mikubwa mbona inakuja kwa mlipuko kiasi hiki.
Mbona hatuoni matokeo chanya yanaonekana kwa wananchi kutokana na hii mikopo jamani. Nina uhakika wa asilimia mia ipo siku utawala wa huyu mama utaota magamba kila uchafu wanaoficha utakuwa wazi.
Kama Bunge linapitisha hii mikopo kwa kumuogopa Rais kwa kuwa ni mwenyekiti wao wa chama kisheria hii ni undue influence which renders contract void and void ab initio. Nawalipaji wa haya mamikopo ya kihuni ni sisi Watanzania.
Pia soma - Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF
Ipo siku maneno yatakwisha ya kusema tutasema kwa vitendo sasa.
We umeshibaKumbe njaa ndio zinakusumbua 😆😆😆😆
Mataahira hamtakuja kuisha Duniani..Wataalam mtanipa elimu kidogo kama nipo tofauti. Hivi hii mikataba ya kuingia mkopo na mabenki makubwa ni nani anaepitisha?
Je, ni kweli bunge tulilonalo linaridhia hivi vitu? Mimi naona hapana vinginevyo hili Bunge Letu litakuwa limelogwa. Hii mikopo mikubwa mikubwa mbona inakuja kwa mlipuko kiasi hiki.
Mbona hatuoni matokeo chanya yanaonekana kwa wananchi kutokana na hii mikopo jamani. Nina uhakika wa asilimia mia ipo siku utawala wa huyu mama utaota magamba kila uchafu wanaoficha utakuwa wazi.
Kama Bunge linapitisha hii mikopo kwa kumuogopa Rais kwa kuwa ni mwenyekiti wao wa chama kisheria hii ni undue influence which renders contract void and void ab initio. Nawalipaji wa haya mamikopo ya kihuni ni sisi Watanzania.
Pia soma - Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF
Ipo siku maneno yatakwisha ya kusema tutasema kwa vitendo sasa.
Chadema wamekusikia
Wataalam mtanipa elimu kidogo kama nipo tofauti. Hivi hii mikataba ya kuingia mkopo na mabenki makubwa ni nani anaepitisha?
Je, ni kweli bunge tulilonalo linaridhia hivi vitu? Mimi naona hapana vinginevyo hili Bunge Letu litakuwa limelogwa. Hii mikopo mikubwa mikubwa mbona inakuja kwa mlipuko kiasi hiki.
Mbona hatuoni matokeo chanya yanaonekana kwa wananchi kutokana na hii mikopo jamani. Nina uhakika wa asilimia mia ipo siku utawala wa huyu mama utaota magamba kila uchafu wanaoficha utakuwa wazi.
Kama Bunge linapitisha hii mikopo kwa kumuogopa Rais kwa kuwa ni mwenyekiti wao wa chama kisheria hii ni undue influence which renders contract void and void ab initio. Nawalipaji wa haya mamikopo ya kihuni ni sisi Watanzania.
Pia soma - Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF
Ipo siku maneno yatakwisha ya kusema tutasema kwa vitendo sasa.
Tanzania ni Nchi TAJIRI mikopo ya nn?Tangu lini mkopo ukakutia kwenye umaskini?
Hata kwenye saccos yenu huko kamahamkopi mtaishia kuwamafukara hivyo hivyo hadinafukiwa.
Wanasiasa wanaangaliaga the easiest ways za kujichotea hela. Sasa kama akishakuwa na access ya kuiba via loans kwanini aumize kichwa.Wangekuwa na akili wangemtumia raslimali tele kuendesha nchi na sio kuwatia watu umasikini kwa kukopa