Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haiwezekani la sivyo tutakuwa na taifa lisilo project future, kuna miradi inafanyika kwa mikopo ambapo hiyo miradi pia inakuwa ni source of capital formation na repayments ya hizo loans unakuta ni ya more than 20 years sasa hapo itakuaje?Huwa nawaza kama pangekuwepo na sheria ya kuwabana hawa wakopaji, ikiwezrkana kila anayekopa arudishe mikopo yake kabla muda wake haujakwisha wa kukaa madarakani.
Hii mikopo imekuja kudumaza akili za viongozi wetu, ndio maana siku hizi wanaona kukopa sifa, kauli kama "tunakopesheka" au "mikopo ya masharti nafuu" zinazidi kutawala.
void and void ab initio. Point yako ilikuwa hiyo "void and void ab initio" ili tujue kuwa na we unajuaWataalam mtanipa elimu kidogo kama nipo tofauti. Ivi hii mikataba ya kuingia mkopo na mabenki makubwa ni nani anaepitisha?
Je, ni kweli bunge tulilonalo linaridhia hivi vitu? Mimi naona hapana vinginevyo hili Bunge Leto litakuwa limelogwa. Hii mikopo mikubwa mikubwa mbona inakuja kwa mlipuko kiasi hiki
Mbona hatuoni matokeo chanya yanaonekana kwa wananchi kutokana na hii mikopo jamani. Nina uhakika wa asilimia mia ipo siku utawala wa huyu mama utaota magamba kila uchafu wanaoficha utakuwa wazi.
Kama Bunge linapitisha hii mikopo kwa kumuogopa Rais kwa kuwa ni mwenyekiti wao wa chama kisheria hii ni undue influence which renders contract void and void ab initio. Nawalipaji wa haya mamikopo ya kihuni ni sisi Watanzania.
Pia soma - Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF
Ipo siku maneno yatakwisha ya kusema tutasema kwa vitendo sasa.
Akili za mswahili zinawaza kejeli tu, kwahiyo wewe ndoulichokionavoid and void ab initio. Point yako ilikuwa hiyo "void and void ab initio" ili tujue kuwa na we unajua
Kweli wewe ni sexlessMleta mada kama siyo Ndugai mwenyewe basi utakuwa na unasaba na Ndugai
hivi wewe hujaona matokeo?Wataalam mtanipa elimu kidogo kama nipo tofauti. Ivi hii mikataba ya kuingia mkopo na mabenki makubwa ni nani anaepitisha?
Je, ni kweli bunge tulilonalo linaridhia hivi vitu? Mimi naona hapana vinginevyo hili Bunge Leto litakuwa limelogwa. Hii mikopo mikubwa mikubwa mbona inakuja kwa mlipuko kiasi hiki
Mbona hatuoni matokeo chanya yanaonekana kwa wananchi kutokana na hii mikopo jamani. Nina uhakika wa asilimia mia ipo siku utawala wa huyu mama utaota magamba kila uchafu wanaoficha utakuwa wazi.
Kama Bunge linapitisha hii mikopo kwa kumuogopa Rais kwa kuwa ni mwenyekiti wao wa chama kisheria hii ni undue influence which renders contract void and void ab initio. Nawalipaji wa haya mamikopo ya kihuni ni sisi Watanzania.
Pia soma - Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF
Ipo siku maneno yatakwisha ya kusema tutasema kwa vitendo sasa.
OBC na Loliondo ni tangulizi tu,iko siku maneno ya Job yatadhihiri.Wataalam mtanipa elimu kidogo kama nipo tofauti. Ivi hii mikataba ya kuingia mkopo na mabenki makubwa ni nani anaepitisha?
Je, ni kweli bunge tulilonalo linaridhia hivi vitu? Mimi naona hapana vinginevyo hili Bunge Leto litakuwa limelogwa. Hii mikopo mikubwa mikubwa mbona inakuja kwa mlipuko kiasi hiki
Mbona hatuoni matokeo chanya yanaonekana kwa wananchi kutokana na hii mikopo jamani. Nina uhakika wa asilimia mia ipo siku utawala wa huyu mama utaota magamba kila uchafu wanaoficha utakuwa wazi.
Kama Bunge linapitisha hii mikopo kwa kumuogopa Rais kwa kuwa ni mwenyekiti wao wa chama kisheria hii ni undue influence which renders contract void and void ab initio. Nawalipaji wa haya mamikopo ya kihuni ni sisi Watanzania.
Pia soma - Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF
Ipo siku maneno yatakwisha ya kusema tutasema kwa vitendo sasa.
Maneno ya ndugai tayari yametimiaOBC na Loliondo ni tangulizi tu,iko siku maneno ya Job yatadhihiri.
Serikali ina akili mukichwa, wanajua wanafanya nini. Natumaini kiasi cha fedha zitatumika kuongeza kasi ya ujenzi wa bwawa la Nyerere na SGR. Lakini tukumbuke hao jamaa wa IMF hawapendelei kutoa mikopo inayosaidia taifa kugharamia miradi mikubwa ya ujenzi/viwanda mikakati inayopunguza utegemezi. Hili ni angalizo tu.Haiwezekani la sivyo tutakuwa na taifa lisilo project future, kuna miradi inafanyika kwa mikopo ambapo hiyo miradi pia inakuwa ni source of capital formation na repayments ya hizo loans unakuta ni ya more than 20 years sasa hapo itakuaje?
Nukta muhimu hapa ni kuwa viongozi wawe na hili swali kichwani "tunakopa ili tufanye nini?" , bila kusahau report za CAG ziwe zina wa hold accountable wafujaji na ikiwezekana CAG apewe mandate ya ku prosecute pengine italeta heshima na fedha za Umma.
Wao wanapiga pesa wanawekeza njeWangekuwa na akili wangemtumia raslimali tele kuendesha nchi na sio kuwatia watu umasikini kwa kukopa
Alaa kwa sababu Tzn Sasa ni Nchi ya ahadi au sio?Wataalam mtanipa elimu kidogo kama nipo tofauti. Hivi hii mikataba ya kuingia mkopo na mabenki makubwa ni nani anaepitisha?
Je, ni kweli bunge tulilonalo linaridhia hivi vitu? Mimi naona hapana vinginevyo hili Bunge Letu litakuwa limelogwa. Hii mikopo mikubwa mikubwa mbona inakuja kwa mlipuko kiasi hiki.
Mbona hatuoni matokeo chanya yanaonekana kwa wananchi kutokana na hii mikopo jamani. Nina uhakika wa asilimia mia ipo siku utawala wa huyu mama utaota magamba kila uchafu wanaoficha utakuwa wazi.
Kama Bunge linapitisha hii mikopo kwa kumuogopa Rais kwa kuwa ni mwenyekiti wao wa chama kisheria hii ni undue influence which renders contract void and void ab initio. Nawalipaji wa haya mamikopo ya kihuni ni sisi Watanzania.
Pia soma - Tanzania yakopa Tsh trilioni 2.4 kutoka IMF
Ipo siku maneno yatakwisha ya kusema tutasema kwa vitendo sasa.
Wewe kama hukopi utaishia kuwa fukara..Tangu UHURU wanakopa tu hadi mwisho wa dunia, anaeweza afrika itaendelea inatakiwa akapimwe akili. Waligombania UHURU kwa maslai yao binafsi na sio kwa maslai ya waafrika
Tangu lini mkopo ukakutia kwenye umaskini?Wangekuwa na akili wangemtumia raslimali tele kuendesha nchi na sio kuwatia watu umasikini kwa kukopa