Serikali irudishe pesa za IMF trilioni 2.4, ni nyingi sana - zote hizi za nini?

Serikali irudishe pesa za IMF trilioni 2.4, ni nyingi sana - zote hizi za nini?

Tanzania ni Nchi TAJIRI mikopo ya nn?

Sir Lanka ikope na sisi tukope?

CCM ikifa tutaweza KUKOPESHA mataifa mengine.

Mlikopa Ili kuhimili mfumuko wa Bei, mbona ndo zinazidi kupaa??

Nani ananufaika na mikopo hiyo?
Mdomo hulipii ndio maana unaropoka
 
Kalunya upo sahihi kabisa Tanzania tuna kila aina ya rasilimali, Sema zinaenda kwa walanguzi
Tanzania tuna bahati kubwa ya kuwa nchi yenye rasilimali nyingi katika hii dunia ila tuna bahati mbaya ya kuwa na watu wasio wazalendo. Kila mtu imani imemtoka kwa kuwakwa na tamaa.

Naweza sema hii nchi ni sawa na familia ilioachiwa utajiri na wazazi ila miongoni mwa watoto
kukaibuka hitiliafu ikiwa wale wakubwa na wasimamizi wa mali wakawa na tamaa ya kuuza mali bila kujali wadogo zao wanahitaji kulelewa kwa msaada wa mali zilizoachwa kwa ubinafsi wauze mashamba, viwanda na nyumba zingine za
kukodisha ili wafanye matanuzi. Mwisho wote wafe maskini.
 
Wasiwasi wangu tunakopa kwa malengo au ni fashion tu kama walivyofanya nchi za wenzetu zilizotangazwa mufilisi?
Ila tuendako kwa ukopaji huu tutanuka madeni!
 
Easy way kuiba kodi zetu ni kupitia loans wao kesho awapo hata wakiiba leo
 
Haka ka mama nimeamini kumbe kweli kalikuwa ka KARANI KA VICOBA
 
Tusilale na Asali tuna lamba? 😆😆
Kupatwa Huwa ni Kwa GHAFULA!!!

Tena usiku wa manane, yule Malaika anapoijia alichotumwa na muweza wa yote.

Siku ya meno ya mbwa kuumana,

Siku Ile ya mtungi kupasuka kisimani,

Siku ya BUNDI kulia Kwa sauti kuu,

Siku hiyo yaja msipogeuka na KUTUBU.

Ameeeen
 
Kupatwa Huwa ni Kwa GHAFULA!!!

Tena usiku wa manane, yule Malaika anapoijia alichotumwa na muweza wa yote.

Siku ya meno ya mbwa kuumana,

Siku Ile ya mtungi kupasuka kisimani,

Siku ya BUNDI kulia Kwa sauti kuu,

Siku hiyo yaja msipogeuka na KUTUBU.

Ameeeen
Naona unajifariji 😆😆😆😆,njaa ni mbaya Sana
 
Back
Top Bottom