Serikali iruhusu video za uchi na ngono mitandaoni na vipindi vya luninga

Serikali iruhusu video za uchi na ngono mitandaoni na vipindi vya luninga

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
SERIKALI IRUHUSU VIDEO ZA UCHI NA NGONO MTANDAONI NA VIPINDI VYA LUNINGA.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Sisi ni wanadamu. Watu wapo wachache. Watu wanahaki ya kuwa binadamu kama ilivyo binadamu walivyo na haki ya kuwa watu.

Sisi sio Malaika na haitakuja kutokea tukawa Malaika. Hiyo haitakuja kutokea.

Kama Mtibeli, sioni hoja ya kuzuia video za watu wanaocheza uchi, wanaofanya ngono zikirushwa mitandaoni.

Mmomonyoko wa maadili hautokani na hizo video.
Kitendo cha kuukataa ukweli kuhusu hizo video ndio mmomonyoko wenyewe wa maadili.

Fikiria siku moja kwenye channels za televisheni moja ya vipindi vinavyorushwa hewani ni pamoja na kipindi cha maudhui ya video ya ngono. Unafikiri itakuwa na athari gani kwenye maadili yako?

Ngono sio ukosefu wa maadili. Ngono sio jambo la aibu.
Wewe kuangalia watu walioamua kufanya ngono kwako kama burudani sio dhambi na nashangaa waliofanya iwe haramu.

Watoto wadogo ambao hawajafikisha umri wa kufanya ngono nazungumzia watoto ambao hawajabalehe. Hao ndio iwe haramu kuangalia picha na video za ngono kutokana na umri wao bado mdogo.

Lakini kuzuia watu wazima wasiangalie video za ngono au picha za uchi iwe kwenye sites, mitandao ya kijamii au vyombo vya Habari huo ni ukandamizaji, ukatili na uonevu.

Haina tofauti na wanaozuia watu wasinywe pombe, wasiangalie mpira, wasicheze muziki n.k.

Hivi mimi Robert Mtibeli nikiangalia video za ngono inaniathiri vipi kimaadili?

Au wewe mtu mzima na ndevu zako, au mtu mzima inakuathiri vipi kimaadili, kisaikolojia na kiimani unapoangalia video za ngono au picha za ngono?
Jibu la moja kwa moja huathiriki popote.

Muhimu, wacheza hizo video wafanye kwa hiyari yao. Kumaanisha wasilazimishwe.

Pili, vitendo vya ngono viwe kwa kufuata maadili visifanyike kinyume na maambile au kuvunja maadili ya utu wa mwanadamu.

Maudhui ya ngono yasiwe kuhamasisha uzinzi kama vile mtu kutoka na Wake za watu, au kutoka na shemeji zake, wakwe zake, wazazi wake au ndugu zake.

Lakini kama ni video za kuonyesha igizo la mtu na mkewe/mumewe wakifanya ngono, au mtu na mchumba wake, au mtu na Wake zake wanafanya ngono.
Sio tatizo lolote na hakuna tatizo lolote.

Kwa sababu hizo video zitakuwa ni burudani lakini pia zitakuwa zinatoa elimu ya jinsi ya kufanya ngono kwa demo kabisa sio maelezo wala Maandishi kama tulivyozoea.

Watibeli katika saikolojia tulizojifunza ni kuwa, jambo ambalo mwanadamu analiogopa na kulificha mara nyingi ndio huwa linakuwa tatizo lake kuu katika maadili yake.

Mimi nimemaliza.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Eeeh! 😲 Aiwandah


FB_IMG_17839260008135180.jpg
 
Times are really changing, miaka ya 2000 mdada akivaa kimini hadi balozi anaitwa kuhusu binti kuwa mtupu mtaani na anapewa onyo, ila leo unakuta balozi ndio anakula hapo😁

sasa hivi utupu nje nje, wadada kila picha wanajebinua makebo yao.

Instagram yenyewe ishakuwa soft porn

This generation is cooked!
 
Times are really changing, miaka ya 2000 mdada akivaa kimini hadi balozi anaitwa kuhusu binti kuwa mtupu mtaani na anapewa onyo, ila leo unakuta balozi ndio anakula hapo😁

sasa hivi utupu nje nje, wadada kila picha wanajebinua makebo yao.

Instagram yenyewe ishakuwa soft porn

This generation is cooked!


Muhimu haki za watoto zilindwe.

Lakini ni ujinga kuzuia video za uchi kwa watu wazima
 
Wewe unapata faida gani kuangalia mpira au muziki?
acha kulinganisha mpira au mziki na huo ujinga bro. Mda mwingne hata kama ni mada za hivi ndugu yangu tuache ushabiki sasa. Kuna mtu kauliza kama unaweza kumwambia baba/mamako kuwa unaenda kum...mba mke wako. Kama unaweza kuwaambia hivyo inabidi watafute kama za manila wakufunge kabisaa ukisubiria ambulance.
 
Siku ukirekodi vdo clip unamla mkeo,tuwekee hiyo clip hapa ili tuione,
Itakua vizuri sana coz utakua unaongoza kwa vitendo na kuonyesha mfano.

Wapo watu wa kazi hizo.
Sioni shida wakifanya ilimradi kwa hiyari yao.
Pili watazamaji wapo.

Hii Dunia hainaga hao watakatifu wala Malaika. Tena hao wanaozuia mambo yao ni ya hovyo kuliko wanayodanganya watu kwamba yasionyeshwe
 
acha kulinganisha mpira au mziki na huo ujinga bro. Mda mwingne hata kama ni mada za hivi ndugu yangu tuache ushabiki sasa. Kuna mtu kauliza kama unaweza kumwambia baba/mamako kuwa unaenda kum...mba mke wako. Kama unaweza kuwaambia hivyo inabidi watafute kama za manila wakufunge kabisaa ukisubiria ambulance.

Huo ni ubinafsi.
Kwa hiyo starehe ya mwingine kwako ni ujinga?
Hujasikia wengine wakiita muziki ni haramu? Hujasikia wengine wakiona mpira ni upuuzi?

Tukirudi kwenye hoja yako ya kumshirikisha mzazi mambo ya ngono hayo kwako ni maadili?

Mimi nikiangalia ngono nikiwa nyumbani kwangu pekeangu au na mke wangu, navunja maadili gani?

Hujui hata maadili ni kitu gani.
Jambo baya kwako sio jambo baya kwa mwingine.

Ndio maana kuingia bar kwa baadhi ya watu ni ukosefu wa maadili lakini kwa wanywaji na walevi sio tatizo.
 
Back
Top Bottom