Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
- #21
Kama una uhakika sawa
Uhakika gani?
Wewe unaonaje? Tetea mtazamo wako hapa
Kama una uhakika sawa
Kwani kumetokea nini sijaelewa? Wamezuia wapi?😂😂😂Muhimu haki za watoto zilindwe.
Lakini ni ujinga kuzuia video za uchi kwa watu wazima
Wewe sio mtu wa hizo kazi? kwahiyo hapa hili ombi unawaombea watu wengine ila wewe umejitoa sio?Wapo watu wa kazi hizo.
Wewe huwezi kua na hiyari kujirekodi ukimla mkeo kisha uweke clip hapa?Sioni shida wakifanya ilimradi kwa hiyari yao.
Ujibu hoja yangu,usikwepe tena kwa kuleta hoja ambazo zipo nje ya swali langu.Pili watazamaji wapo.
Hii Dunia hainaga hao watakatifu wala Malaika. Tena hao wanaozuia mambo yao ni ya hovyo kuliko wanayodanganya watu kwamba yasionyeshwe
Nenda Marekani au Ulaya. Utapata hiyo huduma unayohitaji bila vikwazo.SERIKALI IRUHUSU VIDEO ZA UCHI NA NGONO MTANDAONI NA VIPINDI VYA LUNINGA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Sisi ni wanadamu. Watu wapo wachache. Watu wanahaki ya kuwa binadamu kama ilivyo binadamu walivyo na haki ya kuwa watu.
Sisi sio Malaika na haitakuja kutokea tukawa Malaika. Hiyo haitakuja kutokea.
Kama Mtibeli, sioni hoja ya kuzuia video za watu wanaocheza uchi, wanaofanya ngono zikirushwa mitandaoni.
Mmomonyoko wa maadili hautokani na hizo video.
Kitendo cha kuukataa ukweli kuhusu hizo video ndio mmomonyoko wenyewe wa maadili.
Fikiria siku moja kwenye channels za televisheni moja ya vipindi vinavyorushwa hewani ni pamoja na kipindi cha maudhui ya video ya ngono. Unafikiri itakuwa na athari gani kwenye maadili yako?
Ngono sio ukosefu wa maadili. Ngono sio jambo la aibu.
Wewe kuangalia watu walioamua kufanya ngono kwako kama burudani sio dhambi na nashangaa waliofanya iwe haramu.
Watoto wadogo ambao hawajafikisha umri wa kufanya ngono nazungumzia watoto ambao hawajabalehe. Hao ndio iwe haramu kuangalia picha na video za ngono kutokana na umri wao bado mdogo.
Lakini kuzuia watu wazima wasiangalie video za ngono au picha za uchi iwe kwenye sites, mitandao ya kijamii au vyombo vya Habari huo ni ukandamizaji, ukatili na uonevu.
Haina tofauti na wanaozuia watu wasinywe pombe, wasiangalie mpira, wasicheze muziki n.k.
Hivi mimi Robert Mtibeli nikiangalia video za ngono inaniathiri vipi kimaadili?
Au wewe mtu mzima na ndevu zako, au mtu mzima inakuathiri vipi kimaadili, kisaikolojia na kiimani unapoangalia video za ngono au picha za ngono?
Jibu la moja kwa moja huathiriki popote.
Muhimu, wacheza hizo video wafanye kwa hiyari yao. Kumaanisha wasilazimishwe.
Pili, vitendo vya ngono viwe kwa kufuata maadili visifanyike kinyume na maambile au kuvunja maadili ya utu wa mwanadamu.
Maudhui ya ngono yasiwe kuhamasisha uzinzi kama vile mtu kutoka na Wake za watu, au kutoka na shemeji zake, wakwe zake, wazazi wake au ndugu zake.
Lakini kama ni video za kuonyesha igizo la mtu na mkewe/mumewe wakifanya ngono, au mtu na mchumba wake, au mtu na Wake zake wanafanya ngono.
Sio tatizo lolote na hakuna tatizo lolote.
Kwa sababu hizo video zitakuwa ni burudani lakini pia zitakuwa zinatoa elimu ya jinsi ya kufanya ngono kwa demo kabisa sio maelezo wala Maandishi kama tulivyozoea.
Watibeli katika saikolojia tulizojifunza ni kuwa, jambo ambalo mwanadamu analiogopa na kulificha mara nyingi ndio huwa linakuwa tatizo lake kuu katika maadili yake.
Mimi nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Kwani kumetokea nini sijaelewa? Wamezuia wapi?😂😂😂
Nenda Marekani au Ulaya. Utapata hiyo huduma unayohitaji bila vikwazo.

Huu ni mjadala eleza upo upande gani kisha tetea hoja
Umeandika ngono sio jambo la aibu . Umeandika video za ngono zikionyeshwa kwenye runinga kwa watu wazima hakuna shida. Sasa nakuuliza unaweza kuangalia video za ngono kwenye runinga ukiwa na wazazi wako?Hiyo ni maadili?
Unajua mada inazungumzia nini?
Umeeleweka Mkuu....Hebu tuma hapa za kwako tuzione...tuanze kuziangalia sasa hivi....
Huu Uzi umeandikwa na shetani mwenyewe.SERIKALI IRUHUSU VIDEO ZA UCHI NA NGONO MTANDAONI NA VIPINDI VYA LUNINGA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Sisi ni wanadamu. Watu wapo wachache. Watu wanahaki ya kuwa binadamu kama ilivyo binadamu walivyo na haki ya kuwa watu.
Sisi sio Malaika na haitakuja kutokea tukawa Malaika. Hiyo haitakuja kutokea.
Kama Mtibeli, sioni hoja ya kuzuia video za watu wanaocheza uchi, wanaofanya ngono zikirushwa mitandaoni.
Mmomonyoko wa maadili hautokani na hizo video.
Kitendo cha kuukataa ukweli kuhusu hizo video ndio mmomonyoko wenyewe wa maadili.
Fikiria siku moja kwenye channels za televisheni moja ya vipindi vinavyorushwa hewani ni pamoja na kipindi cha maudhui ya video ya ngono. Unafikiri itakuwa na athari gani kwenye maadili yako?
Ngono sio ukosefu wa maadili. Ngono sio jambo la aibu.
Wewe kuangalia watu walioamua kufanya ngono kwako kama burudani sio dhambi na nashangaa waliofanya iwe haramu.
Watoto wadogo ambao hawajafikisha umri wa kufanya ngono nazungumzia watoto ambao hawajabalehe. Hao ndio iwe haramu kuangalia picha na video za ngono kutokana na umri wao bado mdogo.
Lakini kuzuia watu wazima wasiangalie video za ngono au picha za uchi iwe kwenye sites, mitandao ya kijamii au vyombo vya Habari huo ni ukandamizaji, ukatili na uonevu.
Haina tofauti na wanaozuia watu wasinywe pombe, wasiangalie mpira, wasicheze muziki n.k.
Hivi mimi Robert Mtibeli nikiangalia video za ngono inaniathiri vipi kimaadili?
Au wewe mtu mzima na ndevu zako, au mtu mzima inakuathiri vipi kimaadili, kisaikolojia na kiimani unapoangalia video za ngono au picha za ngono?
Jibu la moja kwa moja huathiriki popote.
Muhimu, wacheza hizo video wafanye kwa hiyari yao. Kumaanisha wasilazimishwe.
Pili, vitendo vya ngono viwe kwa kufuata maadili visifanyike kinyume na maambile au kuvunja maadili ya utu wa mwanadamu.
Maudhui ya ngono yasiwe kuhamasisha uzinzi kama vile mtu kutoka na Wake za watu, au kutoka na shemeji zake, wakwe zake, wazazi wake au ndugu zake.
Lakini kama ni video za kuonyesha igizo la mtu na mkewe/mumewe wakifanya ngono, au mtu na mchumba wake, au mtu na Wake zake wanafanya ngono.
Sio tatizo lolote na hakuna tatizo lolote.
Kwa sababu hizo video zitakuwa ni burudani lakini pia zitakuwa zinatoa elimu ya jinsi ya kufanya ngono kwa demo kabisa sio maelezo wala Maandishi kama tulivyozoea.
Watibeli katika saikolojia tulizojifunza ni kuwa, jambo ambalo mwanadamu analiogopa na kulificha mara nyingi ndio huwa linakuwa tatizo lake kuu katika maadili yake.
Mimi nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Umeandika ngono sio jambo la aibu . Umeandika video za ngono zikionyeshwa kwenye runinga kwa watu wazima hakuna shida. Sasa nakuuliza unaweza kuangalia video za ngono kwenye runinga ukiwa na wazazi wako?
Wewe sio mtu wa hizo kazi? kwahiyo hapa hili ombi unawaombea watu wengine ila wewe umejitoa sio?
Kila ninachoandika hapa sio lazima kinihusu. Hapa tunazungumzia issues
Wewe huwezi kua na hiyari kujirekodi ukimla mkeo kisha uweke clip hapa?
Vipi siku ukiona mama yako mdogo,shangazi yako,Dada yako wamejirekodi wakiliwa na kutuma hizo clip kwenye social media,utaona ni sawa kisa? kwahiyo hata ile sheria ya mtu kujaribu kujiua iondolewe kisa mtu huyo anafanya kwa utashi wake?
Sasa kama Mama, Shanghai, dada, kaka, dada, baba ndio kazi yao na wamefanya kwa hiyari yao mimi shida itakuwa kwa upande upi?
Kwamba unahofia kuona mamaako/mamaangu akicheza video za ngono?😃😃
Hiyo ndio hofu yako?
Ujibu hoja yangu,usikwepe tena kwa kuleta hoja ambazo zipo nje ya swali langu.
Huu Uzi umeandikwa na shetani mwenyewe.
🚮SERIKALI IRUHUSU VIDEO ZA UCHI NA NGONO MTANDAONI NA VIPINDI VYA LUNINGA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Sisi ni wanadamu. Watu wapo wachache. Watu wanahaki ya kuwa binadamu kama ilivyo binadamu walivyo na haki ya kuwa watu.
Sisi sio Malaika na haitakuja kutokea tukawa Malaika. Hiyo haitakuja kutokea.
Kama Mtibeli, sioni hoja ya kuzuia video za watu wanaocheza uchi, wanaofanya ngono zikirushwa mitandaoni.
Mmomonyoko wa maadili hautokani na hizo video.
Kitendo cha kuukataa ukweli kuhusu hizo video ndio mmomonyoko wenyewe wa maadili.
Fikiria siku moja kwenye channels za televisheni moja ya vipindi vinavyorushwa hewani ni pamoja na kipindi cha maudhui ya video ya ngono. Unafikiri itakuwa na athari gani kwenye maadili yako?
Ngono sio ukosefu wa maadili. Ngono sio jambo la aibu.
Wewe kuangalia watu walioamua kufanya ngono kwako kama burudani sio dhambi na nashangaa waliofanya iwe haramu.
Watoto wadogo ambao hawajafikisha umri wa kufanya ngono nazungumzia watoto ambao hawajabalehe. Hao ndio iwe haramu kuangalia picha na video za ngono kutokana na umri wao bado mdogo.
Lakini kuzuia watu wazima wasiangalie video za ngono au picha za uchi iwe kwenye sites, mitandao ya kijamii au vyombo vya Habari huo ni ukandamizaji, ukatili na uonevu.
Haina tofauti na wanaozuia watu wasinywe pombe, wasiangalie mpira, wasicheze muziki n.k.
Hivi mimi Robert Mtibeli nikiangalia video za ngono inaniathiri vipi kimaadili?
Au wewe mtu mzima na ndevu zako, au mtu mzima inakuathiri vipi kimaadili, kisaikolojia na kiimani unapoangalia video za ngono au picha za ngono?
Jibu la moja kwa moja huathiriki popote.
Muhimu, wacheza hizo video wafanye kwa hiyari yao. Kumaanisha wasilazimishwe.
Pili, vitendo vya ngono viwe kwa kufuata maadili visifanyike kinyume na maambile au kuvunja maadili ya utu wa mwanadamu.
Maudhui ya ngono yasiwe kuhamasisha uzinzi kama vile mtu kutoka na Wake za watu, au kutoka na shemeji zake, wakwe zake, wazazi wake au ndugu zake.
Lakini kama ni video za kuonyesha igizo la mtu na mkewe/mumewe wakifanya ngono, au mtu na mchumba wake, au mtu na Wake zake wanafanya ngono.
Sio tatizo lolote na hakuna tatizo lolote.
Kwa sababu hizo video zitakuwa ni burudani lakini pia zitakuwa zinatoa elimu ya jinsi ya kufanya ngono kwa demo kabisa sio maelezo wala Maandishi kama tulivyozoea.
Watibeli katika saikolojia tulizojifunza ni kuwa, jambo ambalo mwanadamu analiogopa na kulificha mara nyingi ndio huwa linakuwa tatizo lake kuu katika maadili yake.
Mimi nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Wewe jamaa huna hoja,huna uwezo wa kujibu maswali,
Nimekuuliza maswali kwenye comment yangu #23 badala ya kujibu,na wewe unaniuliza maswali,
Tatizo lako kubwa umejiaminisha humu kua wewe una ''Uwezo mkubwa sana wa kujieleza au kufafanua mambo'' ila kiuhalisia uwezo huo huna.
Tutapa faida gani kama taifa.
Kama huwezi kuangalia ukiwa na wazazi wako basi hilo jambo ni la aibu. Ngono ni ngono tu hakuna utalaamu wowote wa kufanya ngono utasema eti jamii ijue ili ifaidike nao. Kuangalia video za ngono kuna chochea kufanya ngono .Ni ngumu kusema eti ni wenye ndoa tu watakao kuwa wanaangalia.Sio ngono tuu. Hata club siwezi kwenda na wazazi wangu.
Yapo mambo mengi yapo kihalali na huwezi kuyaangalia na wazazi wako
Ndio maana watu wenye upeo mdogo hawajui mipaka ya maadili.
Hoja ya koshogaSERIKALI IRUHUSU VIDEO ZA UCHI NA NGONO MTANDAONI NA VIPINDI VYA LUNINGA.