Serikali iruhusu video za uchi na ngono mitandaoni na vipindi vya luninga

Wapo watu wa kazi hizo.
Wewe sio mtu wa hizo kazi? kwahiyo hapa hili ombi unawaombea watu wengine ila wewe umejitoa sio?
Sioni shida wakifanya ilimradi kwa hiyari yao.
Wewe huwezi kua na hiyari kujirekodi ukimla mkeo kisha uweke clip hapa?
Vipi siku ukiona mama yako mdogo,shangazi yako,Dada yako wamejirekodi wakiliwa na kutuma hizo clip kwenye social media,utaona ni sawa kisa? kwahiyo hata ile sheria ya mtu kujaribu kujiua iondolewe kisa mtu huyo anafanya kwa utashi wake?
Pili watazamaji wapo.

Hii Dunia hainaga hao watakatifu wala Malaika. Tena hao wanaozuia mambo yao ni ya hovyo kuliko wanayodanganya watu kwamba yasionyeshwe
Ujibu hoja yangu,usikwepe tena kwa kuleta hoja ambazo zipo nje ya swali langu.
 
Nenda Marekani au Ulaya. Utapata hiyo huduma unayohitaji bila vikwazo.
 
Huu Uzi umeandikwa na shetani mwenyewe.
 
Umeandika ngono sio jambo la aibu . Umeandika video za ngono zikionyeshwa kwenye runinga kwa watu wazima hakuna shida. Sasa nakuuliza unaweza kuangalia video za ngono kwenye runinga ukiwa na wazazi wako?


Sio ngono tuu. Hata club siwezi kwenda na wazazi wangu.

Yapo mambo mengi yapo kihalali na huwezi kuyaangalia na wazazi wako

Ndio maana watu wenye upeo mdogo hawajui mipaka ya maadili.
 
 
Wewe jamaa huna hoja,huna uwezo wa kujibu maswali,
Nimekuuliza maswali kwenye comment yangu #23 badala ya kujibu,na wewe unaniuliza maswali,

Tatizo lako kubwa umejiaminisha humu kua wewe una ''Uwezo mkubwa sana wa kujieleza au kufafanua mambo'' ila kiuhalisia uwezo huo huna.
 
🚮
 

Nimekuuliza maswali yenye majibu yako.

Umetoa hoja kuwa mzazi akiamua kucheza hizo video za ngono itakuwaje kwa mtoto wake, mimi au wewe kama mtoto wake itaathiri vipi?

Nikakujibu ishu ni hiyari yake.
Pili athari itatokana na mtazamo wa mhusika kulingana na malezi aliyokuzwa na wazazi wake.

Wewe unafikiri Watoto wa wacheza video za ngono wameathirika kimaadili?
Kwamba hawana maadili au sisi tunawashinda maadili?
 
Sio ngono tuu. Hata club siwezi kwenda na wazazi wangu.

Yapo mambo mengi yapo kihalali na huwezi kuyaangalia na wazazi wako

Ndio maana watu wenye upeo mdogo hawajui mipaka ya maadili.
Kama huwezi kuangalia ukiwa na wazazi wako basi hilo jambo ni la aibu. Ngono ni ngono tu hakuna utalaamu wowote wa kufanya ngono utasema eti jamii ijue ili ifaidike nao. Kuangalia video za ngono kuna chochea kufanya ngono .Ni ngumu kusema eti ni wenye ndoa tu watakao kuwa wanaangalia.

Ukisharuhusu hizo video za ngono umeruhusu kwa jamii ya watu wazima wote.
 
Hoja ya koshoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…