Serikali iruhusu video za uchi na ngono mitandaoni na vipindi vya luninga

Soma tena hiyo comment yangu kisha uijibu,hakuna ulichoojibu hapa zaidi ya kujiaminisha kua umejibu.
 

Kwa hiyo wewe jambo ambalo huwezi kuangalia na wazazi wako ndio unaona lisifanywe na wengine au lisifanyike?😃😃😃

Kila jambo lina watu wake, wakati wake, mazingira yake.
 
Kwa hiyo wewe jambo ambalo huwezi kuangalia na wazazi wako ndio unaona lisifanywe na wengine au lisifanyike?😃😃😃

Kila jambo lina watu wake, wakati wake, mazingira yake.
Kama unajua kua kila jambo lina watu wake,mbona hua unawasimanga na kuwasema watu hapa kua hawana akili kisa wameamua kuoa single mothers kwa utashi wao?
Mbona hua unawakejeli wanaooa Wanawake masikini na kuwasema kua hawana akili?

Ushahidi wa hayo masimamngo yako kwa watu wengine upo kwenye nyuzi zako.
 
Dah umesema ziruhusiwe ukanikumbusha mbali kweli kweli .

Nikiwa darasa la tano kuna rafiki yangu alinidanganya ikifika usiku CTN wanarusha mambo ya wakubwa .

Nikajikoki kuwa usiku lazima niamke nivizie washua wamelala nione hayo mambo, nilikesha juma zima ila sikufanikiwa na tukikutana shuleni ananizingua kuwa vipi jana umeona ilivyokuwa mwisho nikavunja urafiki naye kwa kuona sio rafiki asiyependa nifurahi anaishia kunipa muda wa uongo
 
acha kujizima data kwa maswala mengne ya kipuuzi. Unapoangalia na wife ndan hayo ndo maadili sasa. Starehe yako ungana na watoto wako kama ni nzuri maana ni starehe. Mda mwingne hata kama ni kwendana na mda hayaruhusiwi. Wazungu unaweza ukawakuta wanalala na watoto wao chumba kimoja na kwao ni kawaida sasa wewe jaribu ulale na binti yako hata kama anaumwa kivipi kama wife unayeangalia nae porno hajakutangaza mtaani
 
Kamanda wateja wakubwa wa hizo shoo sio watu wenye akili zao timamu bali Rika balehe ukiongeza hiko kichocheo kizazi kitakuwa na uraibu kaka,Wengi wetu hatujui hustarabu....pombe tu Kuna maeneo ni inshu mtu akilewa mtaa mzima tunakosa Raha....ila kwa wenzetu hiyo kitu sina hakika nayooo
 
Bhanaa wee CTN kulikuwa kuna channel walikuwa wanajiunga nayo walikuwa wanaonyesha Mkuu. Kuna siku nimemka saa 9 nikaikuta movie ya Pirate kitu kama hicho halafu nikamfumaniwa kesho yake nimetoka shule nikaulizwa jana ulikiwa unafanya nini sina cha kujitetea nilichapika sana
 
Bhanaa wee CTN kulikuwa kuna channel walikuwa wanaonyesha Mkuu. Kuna siku nimemka saa 9 nikaikuta movie ya Pirate kitu kama hicho halafu nikamfumaniwa kesho yake nimetoka shule nikaulizwa jana ulikiwa unafanya nini sina cha kujitetea nilichapika sana
Dah basi rafiki yangu Ridh ,nilimzingua bure aisee .
Ila kaka nilihangaika sana kufuatilia sikubahatika na mwisho kilichoplekea kuacha kabisa nikawa nafuatilia sioni kitu nakutwa asubuhi ukumbini nimelala hapo hapo ,maswali ni mengi nabaki kutoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango
 
Intaneti haijui mtazamaji ni mtoto au mkubwa.

Kipindi cha luninga hakijui mtazamaji ni mtoto au mkubwa.

Sasa fikiria imeruhusiwa, mtoto wako kawasha zake TV anatafuta channel ya kuangalia anakutana na channel ya ngono.

Wewe mzazi utaketi nae hapo kwenye kochi mtazame wote ngono?

Ukishaweka hizo videosn public hata hao watoto unaosema wazuiliwe kuangalia itakuwa ngumu.

Sasa hivi watoto wadogo wa shule ya msingi wanatumia simu na intaneti vibaya mno.
 
Serikali haina nguvu kwenye hili suala, kiini kipo kwenye utamaduni wetu.

Kitanzania kuna miiko mingi sana kuhusu ngono. Imefanywa kuwa jambo la siri sana. Jamii ya namna hii haiwezi kuwa huru kama unavyotaka.

Hata kwa wenzetu wazungu, miiko bado ina nafasi yake, ponografia na maigizo yenye ngono yanaruhusiwa kwasababu yanachukuliwa kama sanaa(artistic expression)! Kisheria ni maigizo ya ngono na si ngono halisi! Mfano ponografia ni halali marekani nzima ila kuna majimbo hayaruhusu umalaya.

Wenzetu walipitia mageuzi ya kingono kwenye 60s wakapunguza ule unyeti wake, ndio maana wana uwazi kidogo kuhusu mambo kama mapenzi ya jinsia moja na ngono kabla ya ndoa. Sisi bado.
 
CTN kuna channel walikuwa wanajiunga nayo ndio ilikuwa inaonyesha TLC kama sikosei
 
Waone tu, hayahepukiki hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…