Serikali iruhusu video za uchi na ngono mitandaoni na vipindi vya luninga

Hiyo miiko wameweka sababu ni ufala unawasumbuaga kitambo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
CTN kuna channel walikuwa wanajiunga nayo ndio ilikuwa inaonyesha TLC kama sikosei
Nalaani kutokujuana na wewe ili uwe rafiki yangu unielekeze kwa uzuri kipindi hiko .
Sema nini basi tu mbona sasa hivi naenjoy tu kwa raha zangu tena bila kusubiri sijui nani alale ni mimi na kaPC kangu kila kitu mwaaaav
 
Hata kiafya tu si jambo zuri kuangalia picha za utupu, achana na maadili

Kesho utakuja na mada "mashoga na ushoga uruhusiwe tu kila mtu awe na free choice yake"

Kwa hakika watu tunabadilika
 
Nina mpango wa kuchungua X channel, pay to view channel inakua kutazama hy X channel unalipia 15,000/= kutazama kwa masaa 6 tu, na unapata hiyo channel mpk uwe umelipa king'amuzi Cha Package ya 80,000/=
 
Hiyo miiko wameweka sababu ni ufala unawasumbuaga kitambo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ngono ni hitaji la msingi kabisa la mwanadamu. Ukilidhibiti, umemdhibiti!

Hiyo miiko imetumika kuzipa dhamana taasisi za ndoa na familia, ili kulinda mfumo dume na nuclear families(familia za wazazi wawili), ambayo ni misingi ya jamii za leo!
 
Mtoa mada sometimes unarukwaa,Tena Nilisoma kwenye shule za watu wa Jumamosi, kweli nimeamini sio wote wanitao Bwana, Bwana,hata walimuua Yesu ni wa Jumamosi!
 

Kuna parent control kwa kila device siku hizi
 


Maadili gani? Pangekuwa na maadili watu wasingeishi maisha magumu huku mitaani.

Naelewa pointi zako
 

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Vijana balehe zinawaendesha vibaya kutokana na malezi mabaya ya kufichana fichana. Sasa vijana wakifichua vilivyofichwa lazima pawake
 

Hujui hata maadili ni kitu gani?
Hujui mipaka ya maadili. Ni kwamba hujui maana ya maadili
 
Punguza kuandika nyuzi mara kwa mara, hii ni pumba.

Una hakika zikiruhusiwa mjimwayemwaye ni ninyi tu watu wazima ndo mtaangalia??

Kipindi kile kabla hazijapigwa ban mpaka kwenye vibanda vya kuuza dvd unazikuta wazi kabisa zinauzwa, mtoto au mkubwa anaweza kwenda kununua.

Enzi zetu utotoni tumeangalia sana pilau kwasababu hiyo, lakini watoti wa siku hizi pamoja na utitiri wa mitandao kuzipata ni kidogo uwe mjuzi wa mtandao na inasaidia.

Video za ngono sio vyema kuruhusiwa, zinachochea kufanya ngono, zinachochea watu kujaribu walichokiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…